wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA, nimeshangazwa na kuvunjwa moyo na kauli ya Baadhi ya makada wa chama

    Tunapoelekea kwenye Uchaguzi mkuu wa chama nimeshangazwa na kuvunjwa moyo na kauli ya Baadhi ya makada wa chama. Hususan Yeriko, Boniface, Kigaila miongoni mwa wengine. Tangu makamu mwenyekiti TL alivyotangaza nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti hao makada wamejitokeza hadharani na kumshambulia...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo ya Msingi Sana katika maisha

    (1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili. (2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula. (3) Ukienda nyumbani kwa mtu, hususan rafiki, usitangaze madhaifu utakayoyaona. Mfano: Watoto wao wanashindia nguo zilizochanika au...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanapoona ukuta wewe ona njia

    WANAPOONA UKUTA WEWE ONA NJIA 😊 Njia wanazopita mashujaa ni zile ambazo watu dhaifu waliona ukuta, jicho la shujaa sio rahisi kuona ukuta bali litaona namna ya kuruka huo ukuta 😊 Moja sababu inayofanya matajiri karibu wote waitwe washirikina ni kwa sababu walipita njia ambazo zilionekana...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

    Huu ndio uhalisia wa wanaume wengi wapumbavu kwenye mahusiano na girlfriends au wapenzi wao Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye birthday yake malaya hamnunulii zawadi yoyote. Anaishia tu kumuwish bday then she only opens legs for...
  5. JamiiForums Tanzania Kipimo: Kama wewe sio kichaa usikomenti hapa

    Kama una changamoto ya afya ya akili komenti chochote. Madaktari wa akili kaeni karibu mnaweza pata wateja.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kabudi nimeipitia vizuri CV yako, wewe ni mwanahabari mzuri

    Wakuu, Kama ulikuwa unajiuliza kwanini Kabudi amechaguliwa kwenye Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo hivi leo Rais Samia ametoa sababu ya kumchagua Kabudi kwenye nafasi hiyo. Rais Samia akiwa anawaapisha viongozi wapya leo, amesema kuwa ameipitia CV ya Kabudi na ameona kuwa yeye ni...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

    Nyieee Wanaume viumbe rahisi sana Alafu wanaume wanatoa sana hela Mwanaume kutumia mil 2 kwa siku kwasabaabu amevutiwa na wewe ni kitu kidogo sana Ushauri: Wanawake wote na wadada, mlioolewa na ambao hamjaolewa Jamani 1. Jipendeni, vaa kama mwanamke, jipende - be feminine 2. Usitoe mzigo...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wangu tupe utaratibu wa kuwasiliana na wewe Moja kwa Moja kabla mambo hayajaharibika zaidi nahisi watendaji wako Wanakupotosha hawakwambii ukweli

    Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
  9. JamiiForums Tanzania Polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele je wewe mwana jamiiforum unaliona hilo aliloliona humphrey polepole likitimia?

    Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
  10. JamiiForums Tanzania Afande Sele FT Mr. Nice - Mimi na wewe basi

    AFANDE SELE FT MR. NICE ( MIMI NA WEWE BASI) CHORUS ( MR NICE) Ahadi yangu mimi na wewe ilikuwa ni kuishi wawili/ ( afande sele) - "Aah" Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi /... ( Afande sele) - "Basi" ×2 Nakupenda sana na bado Roho yaniuma/ eeeh Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi/ ("...
  11. JamiiForums Tanzania Wewe ambaye maisha yanakutandika mjini chukua hii password

    Uko mjini wazazi wako hasa Maza wako yuko kijijini na maisha yanakuswaga kila siku? Mpigie simu maza wako muulize mama una chakula ndani? Muulize mama umekula nini leo? Muulize hayo maswali mawili halafu uone maisha ya mama yako yalivyo huko kijijini. Halafu fanya maamuzi magumu, angalia ni...
  12. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni smart na una akili, kwanini hujafanikiwa kuwa Tajiri? Inageukia kwamba wewe ni mjinga

    Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa. Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini nice guys huwa wanaangukia mikononi mwa demaged women

    Unapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe ukikosa vigezo mwanamke Hawezi kuwa na wewe, ila ujinga wa wanaume tunalegeza kamba

    kwa staili hii wanawake wataendelea kutuburuza sana wanaume katika masuala ya maslahi na mustakabali wa ustawi wa maisha yetu. Wanawake wengi wanawinda Mali tu na pesa kwa mwanaume, sasa kama huna kitu ni nadra sana kukidhi vigezo mbele ya wanawake wengi.
  15. JamiiForums Tanzania Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
  16. JamiiForums Tanzania Ukiona ndugu na watu wanamdharau Mkeo ujue wewe mwenyewe Wanakudharau

    UKIONA NDUGU NA WATU WANAMDHARAU MKEO UJUE WEWE MWENYEWE WANAKUDHARAU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Huwezi kuwa Mwanaume mwenye heshima kama Mkeo anadharaulika, na kudharauliwa na watu wengine. Iwe ni wazazi au ndugu zako ukiona Wanamdharau Mkeo ujue hata wewe wamekudharau...
  17. JamiiForums Tanzania Vita ya tatu ya Dunia (WWIII) wewe upo upande gani

    Ndio kwanza Umoja wa Ulaya haupendi kuiona Urusi ikiwa na nguvu. Kwa vyovyote vile lazima wazichape ili kumpunguza nguvu Urusi. Ndio hivyo wanamtumia Ukraine kuanzisha ugomvi ili wamzibue Urusi kirahisi. Haya twende Marekani, Biden na Umoja wa Ulaya ni kitu kimoja kama Biden akiondoka...
  18. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Unaenda kupiga kura uchaguzi Serikali za mtaa bila hata kuonyesha uthibitisho kama kweli wewe ndiye mhusika wa jina hilo

    Nilifika asubuhi kituo nilichojiandikisha kupiga kura nikakuta orodha ya majina yamebandikwa nje kwenye kuta nikatafuta jina langu nikaliona Baada ya hapo nikaingia kupiga kura msimamizi wa uchaguzi akaangalia jina langu kwenye orodha ya daftari lake akalitiki bila hata kupata uthibitisho kama...
  19. JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la makobazi, utakubali wewe mzee

    Na kalaga baho Aseee nina furaha kubwa ya kujadili na wafanyabiashara wenzangu. Poleni sana watanzania kwa kumpoteza Mzee Ndugulile kigamboni. Aseee nilkuwa nimelala hapa nimepigiwa simu na kijana wangu Ahkmed wa Reflexes anadai mzigo ushafika pale Msimbazi. Jengo la Simba ndipo anapopatikana...
  20. JamiiForums Tanzania Wewe ndio Mfalme wa story yako hapa Duniani

    WEWE NDIO MFALME WA STORY YAKO HAPA DUNIANI : Hapa Duniani unavyoishi Tambua,wewe ndio kiongozi wa story yako😎 Na story yako inaandikwa na wewe mwenyewe maana,ndiye mwenye ufahamu wa halisi wa hali na mapito yako😎 Wengine wote ni wapenzi watazamaji,na wengine ni wapenzi waburudikaji,na wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…