wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

    Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu. Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa. Na mwanamke priority yake ni kupenda...
  2. Shetani, kwa nini haukuomba msamaha yaishe? Ulipewa nafasi ya kujirudi au basi tu na wewe ulikuwa mhanga wa Matrix? Au ni kiburi chako tu?

    Eeh Mungu nisamehe kama ninakufuru!! Like nini haswa kilikuwq nyuma ya shetani kuasi. Alipata hamasa binafsi au kulikuwapo na mamlaka nyingine iliompa hamasa ili washirikiane kumpindua Mungu pamoja kwa ahadi ya vikubwa zaidi ya vile mwenyezi Mungu alivyokuwa amempa. Is lucifer, satan? Au...
  3. Jinsi ninavyotengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia ujuzi wa graphics design, na wewe unaweza kujaribu

    Unatafuta njia ya kubadilisha ujuzi wako kuwa pesa? kupitia Ujuzi wa graphics design unaweza kupata kipato online. Kama umewahi kufikiria jinsi ya kufanya kazi unayoipenda, ukiwa na uhuru wa kuifanyia mahali popote, basi makala hii ni kwa ajili yako. Katika ulimwengu wa leo, ujuzi wa...
  4. Mwanamke haulizwi kama yupo single wewe fanya hivi

    Guys, Acha kumuliza Manzi kama yupo Single. Wewe mtoe out, mnunulie chakula, mfanye afurahi, mpe pesa, Then mwachie aamue kama yupo single au la. ✍
  5. Nafikiri hivi ndivyo mambo yatakavyo kuwa kama ikitokea kwa asilimia kubwa ulimwengu ukawa chini ya influence ya Russia, China, Iran na marafiki zao

    GEOGRAPHICALLY North Korea atamvamia South Korea ili kutengeneza Korea ya Mamlaka yao China itazichukua Taiwan na Hong Kong kwa asilimia 100. Russia atamchukua Ukraine, Georgia na vinchi vidogo vidogo vya ulaya vile ambavyo vilikuwa chini ya USSR. Iran atamtoa muisrael huku akitengeneza nchi...
  6. Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida

    Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida, kuna namna anaamini kuwa huyu mtoto wangu anacho tu! Hivyo, mara nyingi anachukua matatizo ya ndugu wengine na kukuletea! Ndiyo maana ndugu wengi sana watamfuata kumuomba msaada...
  7. Pesa sio kitu pekee cha kumfanya mwanamke atulie na wewe kwenye ndoa au mahusiano

    Siku hizi kuwa na pesa sio kigezo cha kumfanya mwanamke wako au mke wako atulie kwenye ndoa au mahusiano yenu. Hili limethibitishwa na alichokifanya yule afisa wa Equatorial Guinea ambae ametembea na wanawake wengi na kufanikiwa kuwarekodi wote na kibaya zaidi hata wale wanawake wenyewe walikua...
  8. Simu yako inazungumza zaidi kuhusu wewe

    Katika pitia pitia yangu mitandaoni nimekutana na hili jambo ambalo binafsi lili nifanya nicheke usiku huu, nikaona hapana malegend huwa vitu vizur tunapenda kushare na wenzetu. Inasemwa simu yako inaongea vizuri kuhusu wewe, hapa haizungumzwi brand ya simu,au ama iwe ya gharama au laa,hiyo...
  9. Dalili saba zinazoonyesha kwamba wewe ni mtu wa maana au mwenye thamani

    Mosi,unajua unaweza usikubaliane na watu baadhi ya mambo bila kuvunjiana heshima,na unaweza usikubaliane nao bila kupandisha sauti yako. Naam pamoja na kutokubaliana na watu katika baadhi ya mambo lakini haikupi sababu ya kuwavunjia watu heshima yao. Pili,unaweza kuhudhuria sehemu kwa muda...
  10. Kama wewe ni Muhenga, huyu janja anaitwa nani?

    KAMA WEWE NI MUHENGA,HUYU JANJA ANAITWA NANI?
  11. Hiki ndio kipimo cha Uswahili. Jipime, je wewe ni Mswahili?

    TAFSIRI YA MANENO YANAYOTOKA NA “KISWAHILI” KWA MUJIBU WA WASWAHILI WENYEWE. “Saa ya Kiswahili”: Saa isiyozingatia muda wa miadi (ni kinyume cha, “saa ya kizungu” ambayo humaanisha, “Juu ya alama”) “Uswahili”: Tabia ya ubabaishaji, iliyopungukiwa weledi na ustaarabu! “Uswahilini (au...
  12. Michae Maluwe kumbe na wewe hujui Kingereza?

    Mechi ya KenGold inaisha Mtangazaji Michael Maluwe anamuuliza kocha mzungu ""You create the chance....... Badala ya ''you created some chances..... Kweli lugha ngumu
  13. G

    Wanaume! Ukiona unazaa watoto wasiofanana na wewe ujue mkeo ni kicheche ama alikuwa kicheche.

    Wanawake waliojitunza vyema huzaa watoto waliofanana na baba zao. Kinyume na hapo mwanaume mwenzangu ujue umeoa kicheche mstaafu. Huu ndiyo ukweli mchungu kwa wanaume walio wengi.
  14. Ukimkopesha mtu laki tatu kushuka chini wewe tegemea umemsaidia wewe unazani atafanyia nini?

    Huwa nashangaaga sana taasisi, watu binafsi, kausha damu, kwanini umkopeshe mtu hiyo pesa alafu utegemee akulipe hebu vaa viatu vya mkopaji unamkopesha mtu elfu 50 alafu unakaa wiki mbili zikipita unategemea malipo? Ni biashara gani atafanya apate faida akupe hiyo elfu hamsini muwe na huruma...
  15. Magori bhana yaani unaacha Kumlaumu Beki Kelvin Kijiri kwa Kujifunga, Wewe kwa Kutuzuga jinsi mnavyoiharbu Simba SC umekimbilia Kumlaumu Kipa Camara

    Nimetizama kiumakini kabisa Goli la Yanga SC na sijaona na sioni kwanini Poti wangu kutoka Mkoani Mara (Musoma) Crescentius Magori umekimbilia Kumlaumu Kipa Camara. Magori ingekuwaje kama Kipa Camara asingeenda Kuupangua ule Mpira kwa Kusimama na Goli kuingia? Si ungemuua kabisa Kijana wa Watu...
  16. Kusikiliza ni sehemu ya kujisaidia wewe na watu wengine pia

    Kama ilivyo kuongea ni tiba kwa muongeaji basi hata kusikiliza nako ni muhimu kwa kusaidia wengine na kujisaidia wewe pia Kuongea na kusikiliza ni mambo ambayo yote yana uzito wake na yana umuhimu wake,kwahiyo asitokee mtu akasema kuongea ni bora kuliko kusikiliza laa! Anafeli bali yote mawili...
  17. M

    Wewe halisi upo kwenye matendo ufanyayo ukiwa mbali na anayekuamini

    Kama mkiwa wote unaongea tofauti na matendo ufanyao pindi akiwa hakuoni jua wewe ni muigizaji tu na uhalisia wako upo kwenye hayo matendo ukiwa mbali. Wengi hutafuta KUAMINIKA kuoitia maneno yao ila uhalisia haupo hivyo na wewe ni yule ambaye unafanya yale ambayo huonekani mbele za...
  18. K

    Ukikubaliana na Uchawa, na wewe ni Chawa

    UKISHINDWA KUJIBU HOJA, TAFSIRI YAKE HOJA ZILE NI HOJA ZA UKWELI Hoja nyingi huwa na uchungu kwa sababu zinabeba ukweli unaoumiza. Hatupaswi kuukwepa ukweli, kwani ukweli wa jambo ndio haki yenyewe. Haki hutetewa, na tukishindwa kuitetea haki, tunakuwa viumbe wa ajabu kabisa, ambao tunapaza...
  19. Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje? Wewe si ndio Rais

    Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa. Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi...
  20. Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje ? Wewe si ndio Rais

    Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa. Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…