wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sisi Tanzania na mataifa mengi ya Afrika tunakabiliwa na hatari ya kuwa watumwa wa kiuchumi na kidiplomasia kwa China miaka siyo mingi

    Fikiria hili: unapomtegemea mtu kwa kila jambo bila kufanya juhudi za kujitegemea, ipo siku utakuta umegeuka mtumwa wake. Hali hii inadhihirika wazi kupitia uhusiano wetu na China, ambapo nchi yetu na nyingine nyingi za Afrika zimewekwa katika hali ya utegemezi mkubwa. Sekta zetu muhimu kama...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali iliruhusu Mahakama ya Kadhi. Lakini ikasema Waislamu wajilipie wenyewe

    Hapa nadhani ndugu zanguni tupambane ipatikane mahakma ya kadhi. Misikitikini au tuangalie namna ya kuchangishana pesa.after all wafanyabiashara wengi wakubwa ni waislamu. Kweli watashindwa ilipia mahakma ya kadhi? Tuacheni kuwa walalamishi. Tujianzishie mahakma ya kadhi kama kweli tuna nia...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Biashara mavyuoni zikifundishwa na wafanyabiashara, vijana/wahitimu hawatolalamika suala la kujiajiri?

    Nimekutana na discussion moja msomi mmoja anasema jamaa yake Ana masters in business Adminstration na Anakuomba amtufatie kazi jamaa akamuuliza mbona si utumie hiyo masters ku-develop ideas na kufanya "innovation mkuu" Jamaa ame-condemn na kutupia mzigo wa lawama moja kwa moja walimu wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyanganyilo cha serikali za Mitaa

    CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyanganyilo cha serikali za Mitaa Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani. Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
  5. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyang’anyiro cha serikali za Mitaa

    CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyang’anyilo cha serikali za Mitaa Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani. Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
  6. JamiiForums Tanzania Ukoloni na Umisionari umechangia kustaarabisha na kuiunganisha Afrika kuliko Waafrika wenyewe (sisi)

    Najua nitakachoandika hapa kitaleta ukakasi kwa watu wengi, lakini ukweli lazima usemwe. Wakoloni kutoka Magharibi walitumia nguvu zao za kijeshi na kiuchumi kutanua himaya zao, wakitafuta rasilimali na maeneo ya kutawala kote duniani. Walivuka bahari na kufika mabara mbalimbali, wakifanya...
  7. JamiiForums Tanzania Walebanon waamua wenyewe kuwaua Magaidi kwa mikono yao

  8. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ataka watanzania kuamua hatima yao wenyewe kwa kukataa kuburuzwa

    Tundu Lissu ataka watanzania wachukue hatua kukataa ongezeko la ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania Na Jumatano, Oktoba 30, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amewataka raia kukomesha vitendo vya kutokujali na ukatili wa polisi kwa kuwachagua viongozi...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wanakufa wameacha legacy, wenyewe wanakufa wameacha kisilani. Hata kama ni ngazi ya ukoo!

    Na kalaga baho Nongwa Wazee sina neno kubwa leo, nimekumbuka sana uwepo wa advanced marginalised Community nchini. Niliwah kuandika habari zao humu ndani kwamba, hao watu wametokea katika makalio ya dunia. Yani huko ndugu zangu kila kisanga kisanga, wamakonde wanaitaga "ng'anya". Huko ukikaa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mnapaswa kujilaumu kwa wananchi kujiandikisha daftari badala ya kutumia kadi za kura

    Zoezi hili limekuwa la AIBU kubwa kwa nchi inayoongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni. Iweje marehemu, watoto wenye umri wa chini ya miaka 18, walioachana na waume zao na hawapo kwenye eneo hilo mfano Wilaya ya Tarime waandikishwe?. Mimi niliitwa na CHAMA fulani kuwa niorodheshwe lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wanatafuta hela kwa lengo la kutupindua wanaume ili waishi wenyewe iwe rahisi kuongeza maasi duniani

    Salaam sana " Watakuja masingle maza hapa na wanawake mafeminist pamoja na wanaume wajinga na wavivu kuwajibika kupinga waraka huu wa kweli kuhusu hawa viumbe wazuri malaika na mauwa ya duniani zawadi kwa wanaume, wanao tafuta hela zao wenyewe" Ndugu zangu kama tujuavyo tokea enzi na enzi...
  12. JamiiForums Tanzania Wajue:Wanaume Wanaokwenda Njia Yao Wenyewe (Men Going Their Own Way- MGTOW )

    Wanaume Wanaokwenda Njia Yao Wenyewe (MGTOW )ni jamii ya mtandaoni yenye msimamo dhidi ya wanawake na yenye mtazamo wa chuki dhidi ya wanawake, ikihamasisha wanaume kujitenga na wanawake na jamii, ambayo wanaamini imeharibiwa na harakati za ukombozi wa wanawake (feminism). Jamii hii ni sehemu ya...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Tumeyataka wenyewe, ukiwa kwenye nyumba ya vioo usianze kurusha mawe

    Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe. Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi. 1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani. 2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel. 3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza. 4. KGB - Shirika...
  14. JamiiForums Tanzania Lema: Nilitegemea mpaka sasa baada ya statement ya Rais Samia kuhusu mauaji ya Ally Kibao basi Waziri Masauni, IGP wawe wamejiuzulu

    Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini akieleza kushangazwa kwake mpaka sasa kwanini Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni na IGP kutujiuzulu kufuatia tukio la kutekwa na kuuawa kwa Ally Mohammed Kibao. Niliposikia Ali amekamatwa ameshushwa kwenye basi...
  15. JamiiForums Tanzania Watibeli tunalaani matukio ya utekaji na watekaji wenyewe

    Mpo salama Wakuu! Watibeli tuliuchukia ûtawala wa awamu ya Tano siô Kwa sababu Hakuna mazuri àmbayo hayakufanywa na ûtawala huo. Yapo. Lakini màtukio ya utekaji, Mateka kuuawa, miili kuokotwa mahalimahali NI Moja ya mambo yaliyotufanya Sisi kuuchukia ûtawala wa awamu ya Tano Ñàona utekaji Kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Maharusi mnajichoresha wenyewe

    Maharusi wa siku hizi pasua kichwa. Kuna wakati unatazama hizo video unabaki kukuuliza hawa maharusi waliwaza nn? Mtu anamsifia mwenza wake mpaka unaona soo aisee. Bora kunyamaza kuliko kusifia vitu vya uongo.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi polepole wameanza kuandamana wenyewe

    Serikali ilikuwa inafikiri maandamano nchini ya Chadema hayana tija. Sasa bila Chadema kuna maandamano makubwa matatu kwenye ngome za CCM! 1. Kuhusu kutekwa watu huko Simuyu 2. Ngorongoro-kuhamishwa 3. Simanjiro kudai maji
  18. JamiiForums Tanzania Wamasai wameweza. Umoja waliouonyeshea ndîo Ushindi wenyewe

    Kwema Wakuu! Sitaki kujua Nani yupo Sahihi na Nani hayupo Sahihi. Nafuatilia wanachofanya Wamasai Huko Ngorongoro. Nimevutiwa na umoja waô, hii inamaanisha soon watakuwa na Ñguvu. Nakumbuka Mwezi wa nne mwaka huu nilikiwa naenda kumzika Bibi yàngu mzaa Mama, ndàni ya Basi Siti ya Kulia kwetu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni tafsiri ya maendeleo kutoka Kwa lazern muisraeli aliyeishi sana Cameroon,

    "watu duni kifikra hudhani ujenzi wa miundombinu ni maendeleo, yaani barabara, reli, madaraja, hayo sio maendeleo ni mahitaji ya eneo husika tu" Hayo hapo juu ni maneno ya rafiki yangu mmoja kutoka moja ya nchi zilizoendelea na katika maongezi aliendelea kueleza yafuatayo. Mtazamo wa maendeleo...
  20. JamiiForums Tanzania Kama Viongozi wa Chama Cha Upinzani wenyewe ndo hawa akina NTOBI.. CCM kutoka Madarakani sio rahisi

    Huyu ni kiongozi wa CHADEMA anaeneza uzushi ambao sijui lengolake ni lipi NTOBI @Ntobi_ · 14h Kumekucha! Air Tanganyika
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…