wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nipo upande wa Manara 100% wenye akili watamuunga mkono

    Nawasalimuni nyote wanamichezo. Kwanza kabisa mimi ni shabiki wa Simba kabisa ila kuna kitu hakiko sawa. Sitaki kuongelea mambo yooote sababu hayataisha ila nalenga chanzo tu. Kumekuwa na hoja nyingi sana kuhusu Manara kuwa anafanyaje kazi simba huku akitangaza bidhaa za Azam, hilo lipo sahihi...
  2. JamiiForums Tanzania Wanasimba wenye 51% ya umiliki na maamuzi wako wapi? Mo mwenye 49% ana nguvu mno kiasi hiki?

    Mo anawapelekea sana moto simba. Ni kama vile ana 100% ya hisa. Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli?? Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k Hawa wenye 51% wako...
  3. JamiiForums Tanzania Mji wenye baridi kali sana duniani

    Leo ngoja nije na mada ya aina yake, kuna huu mji unaitwa YAKUTSK / YAKUTIA, huu mji unapatikana Siberia nchini Russia/Urusi ya Mheshimiwa Vladmir Putin. Maajabu ya huu mji kwa upande wa hali ya hewa baridi yake inacheza kwenye -71°C, -96°F na wakati mwingine unapungua kidogo ila baridi yake...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube

    Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube 1. #DIAMOND 5.44M 2. #RAYVANNY 3.03 3. #HARMONIZE 2.68M 4. #MBOSSO 1.71M 5. #ZUCHU 1.44M 6. #ALIKIBA 1.03M 7. #LAVALAVA 1.01M 8. #NANDY 847K 9.#ASLAY 805K 10. #ROMA 442K CC @chartdatatz
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa mazoezi na faida zake kwa watoto wenye changamoto ya ulemavu wa akili

    Ulemavu wa akili: Ni ile hali ya mtu kushindwa kutumia viungo vyake sawasawa na kushindwa kutumia akili yake sawasawa kutokana na athari ya ubongo wake.Sababu za ulemavu zinaweza kutokea katika nyakati kuu tatu ambazo ni. (a)Kabla ya Kuzaliwa. (b) Wakati wa kuzaliwa. (c) Baada ya kuzaliwa. (A)...
  6. JamiiForums Tanzania Watu wenye umri mkubwa wanataokea Moshi, mikoa mingine hawatangazwi au hakuna?

    Ukifuatilia taarifa nyingi watu wengi wenye umri mkubwa naskia tu Moshi, wengi wao hujulikana baada ya kufa. Ajuza afariki Moshi akiwa na miaka 106 | Mwananchi Je mikoa mingine hautangazwi au hakuna wenye umri huo? Baada ya kufa wanafanyiwa sherehe. Milardayo, BBC Swahili na gazeti la...
  7. JamiiForums Tanzania Hii shida kwenye baadhi ya VICOBA , itaisha lini?

    Nimekuwa nikishuhudiwa kuhusu mafanikio makubwa, Waliyopata, Kutokana na huu mfumo wa kifedha,maarufu kama VICOBA Lakini hata hivyo, Wengine mfumo huu umesababisha maumivu makali kwao, Na kuwaacha wakilia, Mfano, nimekuwa nikipata taarifa toka kwa watu wangu wa karibu, ambao...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jamii kuhusu watu wenye changamoto ya ulemavu wa akili

    Ulemavu ni nini!Ni hitilafu ya Kidumu ambayo inaweza kumkuta mtu yoyote yule awe mtu mzima au mtoto kwa nyakati tofauti ambapo inaweza kuwa wakati wa kuzaliwa kabla na baada ya kuzaliwa Walemavu ni kundi ambalo limetengwa sana na kusahaulika katika Jamii zetu ambapo watu wengi sana tumekuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Mahausiboi' wakitembea na Wake za Watu huwa ni Wasiri, ila kwa 'Mahausigeli' hugundulika mapema na wenye Waume?

    Inakuwaje 'Houseboi' hata akiwa 'anakukanyagia' Mkeo bado atakuwa 'Msiri' Kwako mwenye Mke na tena kazi ataendelea Kuzifanya ila kwa 'Hausigeli' akishaanza tu 'Kutinduliwa' na Mume hawawezi Kujificha na atajulikana tu upesi na Mke wa Mhusika? Nasubiri tu uzoefu wenu nijifunze zaidi.
  10. JamiiForums Tanzania Wenye draft la dalmax wekeni hapa file lake naona Google play wameshalifuta

    Wakuu msaada tafadhari nataka Tena niumize kichwa na hili gemu.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Uraia na Haki inahitajika sana Tanzania!

    Nimeanza kuona umuhimu wa watu kusoma na kuelimika. Angalia sisi ndani humu tulivyomakondoo mpaka vyombo vya nje cnn, aljazeera, sky news nk ndo wanatusaidia kudai haki na inaonekana wao neo wameguswa zaidi na uonevu na ni kama wanaandamana invisibly lakini sisi hakuna tunachojua hata...
  12. JamiiForums Tanzania Kadiri ninavyokutana na watu wenye tabia kama zangu, ndio nazidi kuwasamehe niliodhani wananichukia

    nilikua ni mtu wa matani mengi, hata jambo la serious mimi nilikua naleta utani, nilikua na tabia ya sura mbili, nikiwa nyumbani ni mwema nikiwa mtaani wanavunjia adabu watu, nilikua na vitabia ambavyo vinakera ingawa mimi sikuona hili, nilidhani naonewa. 1. Tukio la kwanza Siku moja nikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…