wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CCM imekosa vijana wenye sifa mpaka kumpa kazi Mzee Kinana mwenye miaka 71?

    Habari Wana JF, Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni? Karibuni tujadili.
  2. JamiiForums Tanzania Kupanda bei za bidhaa ni kaa la moto kwa wenye vipato vya chini

    Hali ya maisha mtaani ni tia maji tia maji kwa misemo ya watu wa kipato cha chini, yaani hali ni tete kweli kweli. Kila ukienda kununnua bidhaa unakuta bei mpya ikiwa imepanda maradufu. Yaweza kuwa hata mara mbili ya bei ya awali uliyonunua kipindi cha mwisho. Jambo hili linafanya maisha kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna ongezeko la watu wenye homa, kukohoa, mafua, maumivu ya mwili

    Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani wenye kujua maswali ya position ya recovery loan specialist.

    Nimeitwa kwenye interview bank ya access micro finance nikafanye written interview lakini mwenye a,b,c ya maswali naomba anisaidie
  5. T

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama kikubwa lakini kimekosa viongozi wenye ushawishi

    Waswahili wanasema wasiwasi ndio akili. Leo nami nina wasiwasi mkubwa juu ya Chama changu. Naamini CCM ni chama kikubwa sana naweza kukifananisha na mbuyu, unaweza usikatwe na shoka lakini ikipatikana zana nzuri unakatwa. Nyakati za sasa wanaCCM wanaamini katika ukubwa wa chama kuliko uwezo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye Mahusiano Upande Wenye Nguvu Ni Ule Uliowekeza Kidogo

    Hakuna mahusiano yaliyo balance 50/50. Lazima kuna upande unaogharamia/wekeza kwenye mahusiano zaidi ya upande mwingine. Anayewekeze zaidi kwenye mahusiano ndiye anayemuhitaji mwenzie kuliko mwenzie anavyomuhitaji yeye, na mara nyingi ndiye mwanzilishi wa hayo mahusiano. Kwenye uhusiano kati ya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Uzi mahsusi wenye picha za Inspector Mwala akiwa na marafiki zake mbalimbali

    Hamjamboni nyote! Nimeambatanisha picha mbalimbali Niwatakie Sabato Njema Karibuni
  8. JamiiForums Tanzania Orodha ya wilaya 10 zinazoongoza Kwa kuwa na watu wenye furaha Tanzania

    Herehoa Wakuu! Baada ya kusoma orodha ya mataifa ishirini yanayoongoza Kwa furaha Duniani. Nikaona nami nilete orodha ya wilaya za watu wenye furaha hapa TANZANIA. Ni Kama ifuatavyo; 1. Wilaya ya Morogoro Mjini. Kama ulikuwa haujui Morogoro ndio sehemu pekee ambapo watu wake wanaishi Kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na Ajira za serikalini kupitia Utumishi

    Habari zenu waheshimiwa.Leo nimeona tangazo la kuitwa watu kwenye usaili NHC & TPC kupitia utumishi kama ilivyo kwenye document niliyo attachment hapo chini , MimiBinafsi niliomba nafasi ya Systems Administrator shirika la NHC ila kwenye kuitwa kwenye sahili Systems Administrator haipo...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye michepuko huwa mnawachukuliaje mnaochepuka nao?

    TGIF, Hi guys Naomba niulize wanaume swali ambalo laweza kuwa la kijinga ila kwetu sisi wanawake lina mantiki kubwa sana. Hii hasa ni kwa wale baadhi ya wanaume ambao wapo tayari kwenye Ndoa na Mahusiano committed lakini huko nje wanaruka ruka zao kama popcorn! Hivi huwa mnawachukuliaje...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye uelewa wa haya masuala

    Habari za muda huu Naomba kuuliza kwa wetu wenye uelewa wa haya masuala Inapotokea nimeajiriwa na kampuni ya kigeni ambayo mfano ipo Uganda kisha ikafungua tawi lingine hapa Tanzania na kuendesha shughuli zake. Ikitokea kampuni ikashindwa kujiendesha baada ya muda fulani na kupelekea kufungwa...
  12. JamiiForums Tanzania Watumishi wazoefu ndio wapelekwe Wizarani

    Ukienda Wizara ya Afya, utakuta kuna watumishi kedekede, wanaosimamia jambo ambalo hawajawahi lifanya. Kuna wafamasia, ambao hawajawahi toa hata kidonge kimoja kwa mgonjwa, kuna madaktari ambao hata ndugu yake akiumwa Typhoid atapiga simu kwa daktari mzoefu hospitalini amtajie dawa nzuri. Kuna...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa kufanya kazi na wahindi jamani

    Jamani nataka nitoke kwa mswahili nikafanye kazi na mhindi. Naombeni ushauri, tahadhari na maonyo niweze kufanya hiyo kazi. Muongee uhalisia ili nisije nikatupa mbachao. Uzi umeisha
  14. JamiiForums Tanzania Wamarekani Wenye Asili ya Afrika waamua kurejea Nyumbani hasa hasa Tanzania

    Tanzania imefanikiwa kupokea baadhi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika ambao baada ya miongo kadhaa ya kuishi huko wameona warejee kwenye asili yao na kuichagua Tanzania kama sehemu watayoita nyumbani. Hii ni fursa adhimu kwa Tanzania kuendelea kuboresha huduma mbali mbali ili kuendelea kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

    Asilimia kubwa ya Mabraza wenye miaka 40+ huwa Wana assume wanajua wanawake vizuri kuliko mtu yoyote. Wakikaaga na vijana wa miaka 20+ na 30+ huwa wanawashauri na kuwafundisha kuvumilia/kustahimili na kupuuzia mambo ya hovyo na yasiyo faa yanayo fanywa na wanawake katika mahusiano au katika...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania tujiulize: Ikiwa sisi ndiyo wenye mali, nini kinatukimbiza nje kutafuta wa kuja kuzila (eti kuwekeza)?

    Watanzania wenzangu, kuna kitu hakiko sawa! Tutachanganyiwa lugha zote kuwa tunafungua nchi kumbe kuna hila ndani yake. Sikubaliani kabisa viongozi kuzunguka dunia nzima kuomba pesa na uwekezaji. Tunajidhalilisha! Tuna bunge, Mawaziri, Wasomi, Wanasiasa, Wafanyabiashara maarufu nk...
  17. JamiiForums Tanzania Ukraine: Wafungwa wenye uzoefu wa kijeshi kuachiwa ili wasaidie kupambania nchi yao

    Muendesha Mshataka Mkuu wa Serikali ya Ukraine ametangaza kuwaachia wafungwa wote wenye uzoefu wa kijeshi ili wasaidie kuipigania nchi yao Baadhi ya wafungwa wameshaanza kuachiwa. Ili kuweza kupambana na majeshi ya Urusi ambayo yameendelea kupiga nchi hiyo Aidha wanawake wa nchi hiyo wamesema...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali, wadau waombwa kuwasaidia wanaohudumia watoto wenye kiharusi na kupooza

    Mkurugenzi wa Sadeline Health Care, Bi Sara Kitainda akizungumza katika Mchana wa Tabasamu, leo Februari 26, 2022. Serikali na wadau wameombwa kuwawezesha na mitaji ya kibiashara akina mama na walezi wenye watoto wenye kiharusi na waliopooza kwani hutumia muda mwingi kuwahudumia watoto hao na...
  19. JamiiForums Tanzania Wenye tatizo la nguvu za kiume, tiba imefika Aga Khan

    Wanaume wanaokabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, sasa watapata ahueni baada ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKUH) kufanikisha upasuaji wa kupandikiza uume kutibu tatizo hilo. Upasuaji huo ambao ni wa kwanza kufanyika katika ukanda wa Afrika Mashariki, umekuja wakati...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ukurasa Maalumu wenye picha za Rais wa Urusi, Vladimir Putin

    Yuko kikazi zaidi. Kama wanadhani ana-beep, basi wasubiri kupigiwa. Russian Prime Minister Vladimir Putin rides a horse during his vacation outside the town of Kyzyl in Southern Siberia on August 3, 2009. AFP PHOTO / RIA-NOVOSTI / ALEXEY DRUZHININ (Photo credit should read Alexsey Druginyn/AFP...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…