wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mabaraza ya watu wenye heshima wanalitambua jina la Rais Samia

    Waswahili wana msemo Tabia hushawishi kwenye kundi mkitembea wacha Mungu na wewe utakuwa mwenye kumcha Allah, mkitembea Wezi pamoja na wewe utakuwa miongoni mwa wezi, Ukitembea na viongozi bora na wewe utakuwa miongoni mwa viongozi bora. Msemo huu unaumba kwa muktadha huu. 1. Rais Samia...
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna watu wenye roho nzuri kama walevi

    Wakuu kwanza mimi siyo mlevi, Ila Hakuna watu wenye ubinadamu kama walevi. Anzia wachungaji, maaskof mpaka polisi. Ukipata shida fulani watafute kwanza walevi. Walevi wa pombe, bangi n.k Hawa watu wakisaidia wanasaidia kweli kweli bila kinyongo. Hongereni sana walevi.
  3. JamiiForums Tanzania Inamaana hakuna watu wenye sifa

    Huwa nafikiria sana sipati majibu mbunge wangu amekuwa mbunge tangu 2000 mpka leo 2022 na mwaka 2020 alipita bila kupingwa inamaana jimbo zima ni yeye tu mwenye sifa zakuwa mbunge ?ina maana anauchungu sana na hili jimbo ndo maana hataki kuachia ubunge ifike mahala hawa watu wawe na ukomo wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Tanzania ni matokeo ya mfumo mbovu wa Elimu yetu, kujaza wenye Degree mtaani ni ujinga mkubwa sana

    Nchi yetu ni Maskini sana na wananchi wake ni maskini sana ,kiasi kwamba bado kuna wanakufaa kwa kukosa Matibabu ,Njaa na kukosa malazi. Najiuliza sana Hawa Wasomi waliopo serikalini na kwenye Uongozi wanatudia kweli? Sababu kubwa ikiwa ni Siasa ndani ya mfumo Elimu .Nchi yetu ina Mali asili...
  5. JamiiForums Tanzania Ni Wendawazimu kujificha kwenye Kichaka Cha Dini. Ni kupoteza Uelekeo na kufunika Kichwa Ardhini Ukidhani wenye akili Hatukuoni

    assalaam alaikum wa rahmatullahi wabalakatuh... huu naandika nikiwa nimekasirishwa na matukio ya watu kadhaa kuamua kujificha katika dini ili kudendeleza tabia cao chafu za njaa, unafiki na chuki. ni aibu kuwa sasa hivi kama Mtu atamkosoa Rais Samia itadaiwa ni sababu ya Dini yake. Huu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Rais anataka Kumsamehe Sabaya atoke aliko amsamehe, ila haya Maigizo ya Kitoto Mahakamani wenye akili tumeyachoka

    Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri. Siku zote Sabaya huwa akipelekwa Mahakamani hatuoni...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujua wanajeshi wanawake wenye vyeo vya juu JWTZ

    Uzi huu ni mahususi wa kuwataja na kuwatambua akina mama zetu wenye vyeo vya juu jeshini, ambao wanaanzia vyeo vya Brigedia Jenerali na Meja Jenerali. Kuna hesabu nazifanya hapa. Mwisho wa mwezi huu kuna jambo letu.
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wenye past paper ya Operation officer TAA

    Msaada wenye past paper ya Operations Officer TAA
  9. JamiiForums Tanzania Wenye Magazeti anzisheni vyumba vya kusomea Mitaani

    Ni dhahiri kabisa kuwa kuja kwa teknolojia hakujaiacha salama sekta ya uchapishaji wa Magazeti, maana kwa sasa ni rahisi kwa mtu kupata taarifa papohapo tofauti na miaka ya nyuma. Pamoja na changamoto hii yote lakini bado wapo watu wanaoamini na wanapenda kusoma Magazeti. Kama si Mgeni basi...
  10. JamiiForums Tanzania Wenye magari hii ni kweli?

    Sikiliza…
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge wa CHADEMA ang'aka kuhusu wahujumu uchumi kuachwa huku wenye kesi ndogo wapo jela

    👇 Haiwezekani watu wana kesi ndogo ndogo wako ndani halafu wenye kesi ya uhujumu uchumi unakaa nao tu (Waziri wa Nishati), huwezi kutofautisha suala la kusababishia hasara serikali katika suala la Symbion na uhujumu uchumi" @halimamdee, Mbunge viti Maalum #LeoBungeni https://t.co/PcCNggoZJ
  12. JamiiForums Tanzania Sababu za wanaume kupenda wanawake wenye makalio makubwa

    Kwanini Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Makalio makubwa? Unashangaa kwa nini wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa? Mbali na urembo wao wa uso, nywele nzuri, tabia, na jinsi wanavyovutia, kuna sababu pia kwa nini wavulana wanapenda wasichana wakubwa. Wanawake wenye matako makubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

    Jana tuliambiwa hukumu ya kesi iliahirishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi, Arusha. kwa kile kilichodaiwa kuwa hakimu alikuwa anatimiza majukumu mengine ya kiofisi,mahali ambapo hatukutajiwa. Leo asubuhi tunasikia taarifa ya Sabaya kuhamishiwa alfajiri,kutoka Gerezani Kisongo,na kupelekwa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

    Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi? Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Bar/pub na mziki mkubwa: Wenye bar tambua kuajiri mameneja na ma dj maskini wa kufikiri inawaharibia biashara

    Heshma kwa wadau rika zote. Nadhan tumeshakubaliana kuwa hasa tuishio mjini imeshakuwa tabia mbaya kurudi nyumban mapema sana baada ya mihangaiko. Isitoshe mipango hufanyika bar sio kufuatana majumban! Na hivi wenye wake wanakwepa visiran vya wenza ili zisitolewe saba mkupuo. Unakuta mke...
  16. JamiiForums Tanzania Mke na Mama ndio wenye Mamlaka na uhalali WA kuitaka pesa ya Mwanaume

    Kwema Wakuu! Tunakumbushana tuu! MWANAMKE pekee mwenye mamlaka na uhalali WA kuitaka pesa ya Mwanaume ni Mama yake mzazi na Mke wake tuu, wengine ifanyike biashara. Kama ni kuuziana muuziane, Kama ni kununua mnunue iwe Kwa masaa Kwa siku au wiki. Wanawake msikubali kukaa kwenye mahusiano...
  17. JamiiForums Tanzania Unaweza kufanya Uwekezaji gani kwa Milioni 50-500 na wenye faida ya kueleweka?

    Mkuu, Kuna watu/mtu ambaye wanaohitaji kufanya uwekezaji serious? Je unaweza kufanya nini ukiwa na access ya Kiasi cha Milioni 50-500?Uwekezaji uwe endelevu,uzalishe ajira,uhifadhi mazingira uzalishe kwa soko la nje na la ndani. Kama una wazo zuri hapa ndo pahala pake
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na Elimu ya Nje naomba kufahamishwa haya

    Habari wadau, Naomba kufahamishwa kitu kimoja, Mimi nikipata admission kwenda kufanya master University of Texas na tayari nimepata F1 visa last week, ila chuo kitafunguliwa Katikati ya August ninachotaka kufahamu ni je naweza kusafiri 60 days before program state date? Je kwenye pot of...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Huawei yaimarisha mafunzo ili kupanua kundi la watu wenye ujuzi wa TEHAMA nchini Kenya

    Ofisa mkuu wa mahusiano ya umma wa tawi la kampuni ya Huawei ya China nchini Kenya Bw. Dalmar Abdi amesema, nchi hiyo imeimarisha utoaji wa mafunzo, ili kupanua kundi la watu wenye ujuzi wa TEHAMA nchini Kenya. Bw. Abdi amesema hayo wakati akitembelea kituo cha mafunzo cha Huawei, na kueleza...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaccm wenzangu tambueni takwa la katiba Sio la CHADEMA ni la wananchi na wenye nchi ambao hata Mwenyekiti anawajibika kwao

    Makomredi Tusipoteze muda kwa kupiga sarakasi na kufanya uharamia kwa vyama vya siasa vya upinzani nchini. Tutambue takwa la katiba ni la wananchi na wenye nchi ambao Mwenyekiti wetu anawajibika kwao. Tumshauri aachane na sarakasi za kuzuia mchakato huo kwa visingizio visivyo na mashiko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…