wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ujembe huu unawalenga na kuwahusu wale wote wenye akili timamu tu na si vinginevyo

    Ukweli ndo huu wewe kama unajiona unapendwa mwambie wife naomba tuuze hii nyumba au kitu chochote Cha thamani. Akiuliza sababu mwambie nadaiwa nilikuwa nimekuficha Kwa muda mrefu. Kaa na msimamo huo hata wiki Kisha leta wateja wa mchongo waje wazuge zuge kununua Kisha mshindwane bei Utaona...
  2. JamiiForums Tanzania Inasemekana watu wenye akili nyingi ni waaminifu

    Inasemekana watu wenye akili nyingi ni waaminifu. Kwaiyo ukiona una mpenz kiruka njia jua yaliyomo hayamo!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya chadema, Nawashauri wenye busara wamuombe mbowe kwa hekima akinusuru chama asigombee

    Naamini mzee mbowe ni mzee mwenye maono makubwa sana. Kwa busara zake nashauri apate ushauri mwingine kutoka kwa wazee asigombee amuunge mkono Tundu lissu kama baba mlezi wa chama! Chadema ni mtoto aliyezaliwa na mgumba na kutelekezwa matunzo; Mbowe ni mama mzazi wa mtoto na Tundu lissu ni...
  4. JamiiForums Tanzania Miaka 63 ya uhuru wenye ukoloni wa mtu mweusi.

    Kwanza kabisa poleni na pilika za mwisho wa mwaka, mambo yamekuwa mengi ajali, magonjwa na kila aina ya ubaya unaotulenga sisi binadamu. Tuwe na mwisho mwema. Hili suala la uhuru kiukweli mimi sioni kama ni uhuru wenye haki na kufuatwa kwa misingi ya katiba kama inavyoagiza. Kama haitoshi...
  5. JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu takriban 14 wafariki dunia katika ajali ya Lori na Coaster eneo la Mikese

    Inasemekana kuna ajali imetokea Mikese ikihusisha bus dogo Coaster na kuua watu wengi, wenye taarifa zaidi tuambizane --- AJALI MBAYA MOROGORO, WATU 14 WAFARIKI, 7 WAJERUHIWA. Watu 14 wamefariki dunia na wengine 7 kujeruhiwa baada ya gari kubwa la mizigo kugongana uso kwa uso na gari dogo...
  6. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere kusifia wenzie wenye ‘connections’ na Abdul ina maana haoni shida wananchi kupewa stahiki zao kwa milango ya nyuma

    Yericko Nyerere katika andiko lake refu juzi ambalo lililenga kumjenga zaidi Mbowe katika namna ya kumshusha thamani Lissu ili kumpigia kampeni Mbowe katika nafasi ya uenyekiti Chdema alisema kitu kimoja ambacho wasomaji wengi hawajakigusia. Katika jaribio lake lake la kutaka Lissu asiaminike...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Jitahidi utafute kiwanja maeneo ya wenye connections, huduma muhimu hubanwa mitaa ya wasiojiweza ili kuhudumia wenye sauti

    Jaribu kujenga sehemu iliyojaa watu wenye connections aidha wamejaa waajiriwa wa serikali kuanzia ngazi za kati au wafanyabiashara wa kuanzia vipato vya kati, n.kl., haimaanishi wawe matop sana ila si haba wawe na uwezo flani sauti,kuwa nakaji uwezo hata kwa mbali kanakoweza ku influence...
  8. JamiiForums Tanzania Matibabu ya chemotherapy hupelekea vifo zaid kwa wenye saratani

    Wakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza viungo ndani ya miili yetu kama moyo ini figo nk Wagonjwa walio wengi baada ya kupiga hiyo mionzi huanza...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na rain gun

    Nahitaji rain gun yenye radius ya kurusha maji metres kuanzia 40 hadi 60. Inauzwa bei gani
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa ametangaza Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari wamepangiwa Shule za sekondari ambao wataanza Januari 2025. Waziri Mchengerwa ametangaza matokeo hayo mbele...
  11. JamiiForums Tanzania Jarida la Forbes: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jar

    Jarida la Forbes Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jarida la Forbes. Ushawishi wake katika masuala ya Diplomasia na kuwa kinara wa Nishati safi Duniani ni baadhi ya sababu, namna anavyoendesha nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Jamii ya Kiarabu ni watu wakorofi, washari, wenye ukatili na wasio na utu?

    Angalieni na fanyeni tathmini. Teams zetu za Simba na Yanga wakienda cheza. Morocco, Tunisia,Algeria,Egypt, Libya. Kisha wakienda kucheza Botswana,Zambia,Congo,Zimbabwe, nk Lakini angalieni pia matches hata zinazochezwa hapa Tz na teams toka kwa nchi za Kiarabu. Leteni majibu.
  13. JamiiForums Tanzania Samia atajwa na Forbes kama moja ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani kwenye mwaka 2024

    Wakuu, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa kwenye orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani. Samia ambaye alitajwa pia mwaka 2023 amewekwa kwenye nafasi ya 91 katika list hiyo ambayo pia ilihusisha viongozi na wanawake mbalimbali maarufu duniani...
  14. JamiiForums Tanzania Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizun

    Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City. Lissu alitumia fursa hiyo kutangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
  15. JamiiForums Tanzania Hii Ngoma ya Joel Lwaga Imekua ni National Anthem. Wachawi haeakosekani hata wenye chuki pia, lakini imeenda

    Yes! No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message. Hii hapa... Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani? And the rest is this thread. Keep it Up
  16. JamiiForums Tanzania Timu ya kampeni Prof. Janabi WHO ijumuishe wataalamu wenye uzoefu

    Prof Janabi anatosha WHO. Nashauri timu ya kampeni iwe na watu wenye exposure ya Kimataifa haswa. Huku Peramiho tunawaunga mkono. PIA SOMA - Ikitokea tukapewa nafasi nyingine, Prof. Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndugulile DG-WHO
  17. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Ujumbe wa Kodi wenye picha ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wafika kilele cha Mlima Kilimanjaro

    Bendera yenye nembo ya TRA na picha ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa na ujumbe wa kodi wa “TUWAJIBIKE kulipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya Taifa letu” imefika katika kilele cha mlima Kilimanjaro tarehe 09 Desemba, 2024, mlima mrefu kuliko yote...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine Trump akataa kulipwa mshahara wa Urais, Ataugawa kwa wenye uhitaji

    Ni kwa mara nyingine Trump anaukataa mshahara wa Urais, dola 400,000 kwa mwaka (shilingi bilioni 1 na milioni 40) ili usaidie wenye uhitaji na shughuli za kimaendeleo. Kama ilivyokuwa katika muhula wake wa kwanza (2916 - 2020) mshahara wake utaendelea kusaidia wahitaji kwenye idara ya afya...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa na kupewa heshima

    Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa wenye msimamo mkali wanakaribia Kushinda, Kuongoza CHADEMA kuelekea 2025?

    Harakati ndani ya Chadema zinachangamka siku hadi siku.. CCM wamepuuza siasa za majadiliano na maridhiano ndani ya CDM na nje ya CDM.. Sio ACT wala vyama vidogo kwamba vinapatiwa ahueni... Upande wa Chadema shida inaonekana Freeman Mbowe amekuwa mpole sana kwa dola hadi kufika kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…