wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania JE KUJICHORA MICHORO MWILINI(TATTOO)KUNA FAIDA GANI ?

    Habari wanajamvi! BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos. Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wenye ufahamu na Z3X easy JTAG

    Nlikua nnahitaji ninunue JTAG but kwa kua bubget yangu ndogo nlitaka nichukue bila ufs socket lakini nna swali kwa WENYE kutumia JTAG.Hivi nikiwa na hiyo package ambayo Haina ufs socket nitaweza kufanya kazi za simu za ufs kwa isp au mpk ninunue socket ya ufs?
  3. JamiiForums Tanzania Darasa Maalum Kwa Wanawake Wote Wenye Kusumbuliwa Na Chunusi Sugu

    Je Wewe Ni Mwanamke Unaesumbuliwa Na Chunusi Sugu Kwa Muda Mrefu Uso Wako Umeharibika Kwa Chunusi Kubwa Na Ndogo Na Zinakufanya Ukose Kujiamini Kusimama Mbele Za Watu.... Si Hivyo Tu Pia Umefanya Mabaka Na Madoa Kiasi Cha Uso Kukosa Nuru ... Vile Vile Uso Una Mafuta Mengi Na Umefanya Vitundu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Watu wenye nia njema, mapenzi ya kweli na thabiti na nchi yetu Tanzania ni hawa

    1. Askofu Bagonza 2. Freeman Mbowe 3. Ansbert Ngurumo Kuna mmoja , lakini his recent dealings zinanipa mashaka!. Sitamtaja kwa sasa.
  5. JamiiForums Tanzania Kuna mambo huwa kama ndio basi ikipita siku,mwezi,mwaka wanajua ni kelele za chura sababu wao ndio wenye nchi

    Nikikumbuka Tukio la RPC Liberatus Barlow wa Mwanza aliuwawa mwanza yani wahusika walipatikana muda si mchache.Ila ukiangalia matukio kama ben sanane,Tundu Lisu kupigwa risasi na wanaharakati au ambao wanapinga mambo ambayo utawala ufanya upotea kwa maelezo rahisi ambayo utolewa. Tofauti...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wale wenye familia.

    Ni hivi , Baba Mkubwa wangu alikuwa na mke na akapata naye watoto ,mwishowe akamfukuza huyo mwanamke . Lakini kutokana yule mwanamke alipendwa sana na Bibi yangu ( Mama yake Baba mkubwa ) alimsaidia sehemu ya kuishi akawa jirani tu .Baadae yule mwana mama alizaa watoto wengine 3 na watu...
  7. JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

    KWanza Fanya ku like thread hii, kisha uliza swali kali au jibu maswali. Post yako ikipata reaction nyingi (20 reactions) basi tutakutambua kama Genius! Nb. Kiswahili na English vinaruhisiwa. Tuanze.
  8. JamiiForums Tanzania Nchi ya Tanzania ina wananchi wenye udumavu wa akili

    Kuna shirika moja la kiutafiti liliwahi kufunga mjadala kwa kusema 3/4 au tuseme 75% ya Watanzania ni wendawazimu. Yawezekana ni zaidi ya 75% ila waliogopa tu kusema ukweli. Mwaka wa uchaguzi mkuu Tanzania kuanzia JANUARI mpaka November kuna mambo mengi sana yanafanyika ambayo yanadhihirisha...
  9. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa huduma rafiki kwa Watu wenye mahitaji maalumu katika Mabasi ya mwendokasi umeyeyuka?

    Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART) ilijipambanua kwa kuzingatia kipaumbele cha huduma rafiki kwa makundi hayo suala ambalo lilipigiwa chapuo...
  10. JamiiForums Tanzania Dar es salaam ina kumbi nzuri za gharama rahisi, kwa nini chadema wanakodi Mlimani City wenye gharama ya mamia ya mamilioni?

    Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City. Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama changu kikodi ukumbi kwa zaidi ya milioni mia moja (100, 000,000/) wakati juzi tu wamelia hawana...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Vichwa Panzi wanaaminiwa sana na kuheshimiwa ila watu wenye akili na hawazitumii wanadharauliwa?

    Wenye akili ambao hawazitumii akili zao km watu wengine walivyotarajiwa. Wanaitwa Washamba. Wanadharauliwa. Wanaonekana hawafai kwenye jamii wanayoishi. Hawasikilizwi hata kwenye kikao cha familia. Wakitaka kuchangia popote kwenye kikao wanaambiwa subiri amalize yule pale kichwa panzi mmoja wewe...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

    Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani. LIST YANGU: 1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci. 2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI Ushimen, KENZY...
  13. JamiiForums Tanzania Kama kuna wanaotaman kesho iwe April wenye lodge na wauza kitimoto kwa sasa wanateseka SANA sana

    YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA alikuwa lodge sinza na Gen z MMOJA GAFLA akaniambia nimsubiri SEHEMU ya vinywaji nikajiagizia wine...
  14. JamiiForums Tanzania Mnadeal vipi na hawa wenza wenye masharti kibao wakati wa tendo?

    Unakuta mtu ana masharti kama IMF hadi unakereka. Ukiingiza yote anakwambia so hivyo. Toa nikuelekeze unatoa anakuambia haya weka hapo juujuu tu. Ukienda kasi kidogo tu anakwambia aah so hivyo bwana. Mwingine unamkuta mbonge la mshepu tacotaco unamwambia akae doggy style anakugomea kabisa...
  15. JamiiForums Tanzania Vilaza ukuza viungo Wenye akili ukuza akili

    Vilaza ndo utawakuta gyms wanakuza vidali,shingo,mgongo,Makario,mapaja na wanafanya kegel Watu wenye I Q kubwa kuanzia 100+ utawakuta wanafanya squash, jogging , cycling,hiking,ping pong,chess na golf Vilaza wanakuza mwili,, Wenye IQ wanakuza Akili ONLY FACTS
  16. JamiiForums Tanzania Serikali iongeze umri wa kuanza kubeti (na sisi wenye miaka 14 tupewe nafasi

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Nimeona serikali ikisema kubeti kuanzia ni miaka 18+. Sasa miaka 18+ niwazee hao na sisi vijana wa miaka 17- tunaitaka hii fursa ya mama samia ya kucheza kamari ambayo katuletea. Maana leo vituo vya habari vya taifa vyote vinahamasisha sasa hii inatunyima...
  17. JamiiForums Tanzania Mnasema wanawake wenye makalio makubwa wana confidence ila kiukweli ni arrogance

    Imagine mtu anatembea bara barani sehemu finyu then akuoneshi motion ya kupishana kama vile wewe unavyomuonesha, anatembea towards you kama vile presence yako haipo hio yote ili wewe umpishe kwa kujibana bana coz yeye ndio pisi kali matawi ya juu mwenye wiggle wiggle. Sasa wakikutana na no...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake Singo Mama, wanawachukulia Wanaume wenye watoto (Singo Baba) kama wanaoendana .!

    Ushawahi Jiuliza kwann Mwanamke mwenye mtoto au watoto, akiwa anatafuta Mume ,kigezo chake Cha kwanza ni 'Mwanaume awe pia na mtoto au watoto'?. Hiyo mbinu inaitwa Kusahihisha kosa Kwa Kumfanya MTU naye ajihisi alifanya makosa . Yaan hapo mnakua mko Kwa mizani sawa !! Mwanamke mwenye mtoto...
  19. JamiiForums Tanzania Taasisi ya ZAMHSO yatembelea Iringa Girls, yaelezea kuguswa na ushirikiano wanaopata wenye mahitaji maalum

    Sisi Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO)Tulipata nafasi ya kutembelea Iringa Girls, shule ya mjumuisho inayowakaribisha Wanafunzi wa kawaida na wale wenye mahitaji maalum. Ni jambo la kuvutia kuona jinsi shule hii inavyokuza usawa na mshikamano kupitia elimu. Wakati wa kutoa...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Ni Sifa Gani Wanayo wanawake wenye ulimi Mrefu kwenye mapenzi?

    Mwanadada akionyesha ,Ulimi wake Ulivyo kuwa Mrefu Sana tofauti na Wana damu wengine Wanaume Wengi Wana Penda nyash Ila kuna ulimi pia Hivi Ni Sifa Gani Wanayo wanawake wenye ulimi Mrefu kwenye mapenzi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…