wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtendaji wa kata ama kijiji anapaswa kuwa na degree ya utawala, au sheria ama associate degree kwa mambo ya uongozi. Siyo hawa watoto wenye vyeti

    Hivi kuna tatizo gani kwenye vichwa vya viongozi wetu? Yaani leo hii unaajiri mtendaji wa kijiji ama mtaa mwenye elimu ya kidato cha nne na cheti cha taaluma alichosomea mwaka mmoja ama miwili ? Halafu huyo mtu anakwenda kumsimamia mkuu wa shule mwenye shahada moja ama shahada ya uzamivu...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hii mada ni kwa Wanaume miaka 50 na kuendelea: Uhusiano kati ya Kuongezeka kwa Tezi Dume na Ukosefu wa Nguvu za Kiume kwa wenye umri zaidi ya 50

    Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:- i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi; ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume. Utangulizi: Nilihamasika kuanzisha...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna Member hapa kaja na uzi wenye kuhitaji Akili Kuuelewa akisitika kuwa Mama yake anaendesha Familia yao vibaya, Watu wameshindwa kwenda nje ya Box

    Na ninajua huko aliko anawacheka tu Watu waliokurupuka Kuujibu bila ya kutumia Akili Kubwa kuuelewa na kumuelewa.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mafundisho ya kisabato yanadumaza mafanikio, utajiri, umaarifu, ni ngumu sana kuwakuta wasabato wenye mafanikio makubwa.

    Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi wao katika ngazi za juu za maamuzi na ushawishi kama vile siasa, uchumi, mfumo wa utawala...
  5. JamiiForums Tanzania Mungu ambaye tunamuomba na anayesifika kuwa na UPENDO sifikirii kama ndo Mungu huyu huyu wanayesema atachoma watu wenye dhambi.!

    Kwa uelewa Wangu kuhusu Mungu. Namtafsiri Kama mwenye UPENDO huruma na UTU. , hii nadharia kuwa atachoma watu wenye dhambi naona Kama ni UONGO. Kwakuwa sisi Binadamu tupo dhaifu , kwenye kuyaendea mambo na asilimia kubwa tupo unconscious. Hivyo dhambi Kama uzinzi , N.k zinafanywa Sana na WATU...
  6. JamiiForums Tanzania Tamaduni huchochea tabia za watu. Unaposema kabila Fulani linawatu wenye tabia mbaya kama umalaya au roho mbaya. Jiulize; je tamaduni zao zinachochea

    Hamjambo! Imekua desturi kumsikia MTU akisema Kabila Fulani Malaya Sana. Au kabila fulani wachawi Sana. Au kabila Fulani Wana roho mbaya. Kabla ya kutoa hitimisho kuhusu tabia za watu wa jamii Fulani lazima ujiulize Maswali yafuatayo; 1. Je tabia asili yake ni ipi? 2. Je mambo gani huathiri...
  7. JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikitafuta wimbo wenye lyrics hii naomba mwenye kuujua

    Ni miaka sasa natafuta huu wimbo sijui bali huu mlio ndio nautambua naomba sana anayejua Ninaamini mtanisaidia. Ni kumbukumb yangu kubwa sana.
  8. JamiiForums Tanzania Mbosso ameingia kwenye orodha ya wasanii wenye album bora za muda wote kwenye bongofleva

    Album 5 bora za muda wote ni 1. Mapinduzi Halisi - Prof Jay 2. Aka Mimi - Mangwea 3. A boy from Tandale - Diamond 4. Binti - Lady Jaydee 5. Room Number 3 - Mbosso Mbosso amefanikiwa kuingiza kwenye hii orodha EP yake baada ya kumuangusha Jay Moe n album yake y Ulimwengu ndio Mama. Hongera...
  9. JamiiForums Tanzania Ubunge sio ajira? Mbona wenye ajira ndio wanao kuomba wasio na ajira hawaombi

    Vijana wasio na ajira mbona hawajitokezi kuomba ujira UO? Mbona wenye ajira ndio wanao omba ubunge? Kasoro king msukuma ndo Hana ajira maana Hana elimu
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Biblia imewapiga vita wenye Pepo wa Utambuzi? Na tofauti yao na wachawi ni ipi?

    Kwenye biblia agano la kale utaona ya kwamba Bwana alitukataza kuambatana na wenye pepo ya utambuzi na akatukataza pia kuambatana na wachawi, ili tusipate unajisi. Kwa maisha ya sasa, tumeona ya kwamba bado tuna watu wenye pepo ya utambuzi (sasa sijui hawa ndo waganga?) Na si kuna hawa manabii...
  11. JamiiForums Tanzania Tuna Askari Police wenye akili kama huyu?Hii ndio maana ya jamii iliyoelimika

    Askari mlio humu...je hutakiwi kutafakari au kuhoji amri yoyote unayopewa?Hebu msikilize mwenzenu hapa👇
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kisa ubunge 2025 wenye nia ovu waanza kumchafua Mkurugenzi wa Msama promotion!

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amewataka Watanzania kutozitilia maanani na kuzipuuza habari zinazosambaa mitandaoni kwamba, amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam. Msama amesema hayo leo jijini Dar es Salam kuwa kuna baadhi ya watu wenye...
  13. JamiiForums Tanzania Tukubaliane tu kuwa ukiwa na Watu wenye 'Nuksi' iwe katika Familia au Kazini au Michezoni sahau kabisa Kufanikiwa kwa lolote

    Hili wala halina Ubishi kuwa Suala la Bahati na Nuksi itokayo kwa Mtu au Watu fulani ina Nguvu Kubwa mno katika Mafanikio ya Jambo au Mkakati fulani. Kuna Watu ukiwa nao katika Familia au Taasisi fulani utaona Mambo yanaenda vyema ila pia kuna Watu ukiwa nao huko huko katika hizo Taasisi...
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi

    Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi. Hakuna uchaguzi bila mabadiliko bali maigizo.
  15. JamiiForums Tanzania Kuna mwamba humu sijawahi kuona ame comment chochote, yeye ni dose after dose ya mapicha ya mademu wenye mout kilimanjaro🤣

    Swahili AI salamu zako ndugu🤣 Vijana wengi wanafurahia picha zako quality kwenye kile kijiwe pendwa ni basi tu wanajifanya hawataki kuku-appreciate
  16. JamiiForums Tanzania uzi maalum kwa ajili ya connection za kazi; Bara, Zanzibar & Uarabuni, wenye Elimu na wenye ujuzi.

    Ugonile, Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu. Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza. NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa. AVAILABLE POSITIONS...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wenye mabasi ya mikoani

    Ninapenda kuwaeleza watoa huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani kwamba sisi abiria tunapenda kusafiri kwa raha na kufika salama. 1. Hatujawahi kuwaambia kwamba tuna haraka ya kufika hivyo acheni speed zisizokuwa na ulazima. 2. Kutokana na sisi kutokuwa na haraka huu mtindo wa kusimama dakika...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Zungu: Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB itazalisha wahitimu wenye ujuzi

    Dar es Salaam. Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB basi itakapokamilika na kuanza kupokea wanafunzi itazalisha wahitimu...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo

    Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea! Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo wa ziada badala ya kukuinua. Hapa kuna alama za mwanamke anayeweza kuwa mzigo (liability) kwako: 1. Mwanamke Asiyekuwa na Pesa za Usafiri Anadai...
  20. JamiiForums Tanzania Wenye nyumba mtuhurumie aisee

    Aisee kuna appartment hapa ziko 6 kwenye compaund, Kuna nyumba ya faza house pia. Alijenga hizi apaartment akiwa kashajenga nyumba yake tayari. Issue inakuja hizi appartment zina tank za maji na zote zinashea mita moja na mwenye nyumba(maajabu), Ana watoto 7 na watoto 5 wana familia zao maeneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…