wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wenye kujua hii biashara ya LSSC

    Habarini wapendwa Niko mkoani kidogo nimekutana na mate wangu KTK story za hapa na pale akaninijuz biashara ya LSSC Binafsi huko nyuma nilishawahi wekeza sehemu nkapigwa nkaona nimuulize mwenye idea NAYO. Humuuu... Nahisi n network business Mwenye idea tujulishane... Ruksa HATA kujielexa...
  2. JamiiForums Tanzania Kijiweni leo: kwanini hakuna wazee wenye majina ya kelvin?

    Habari tena! Leo kijiweni mzee mjuaji sana (Kamugisha) alikuja na jibu baada ya kuulizwa jana kuwa kwanini hawajawahi kusikia Mzee yeyote anaitwa KELVIN. SABABU! Baada ya mzee kufikiria akaja na jibu kuwa, jina la KELVIN lilikuja Tanzania miaka ya 90's hivyo lilianza kutumika kuanzia mikoa ya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini kuipeleka Tanzania uchumi wa kati juu 2050 wenye Pato la TZS50,000 Kwa kila Mtu kwa siku.

    Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa ikikua kwa wastani wa 9% mpaka 10% ambapo jumla ya mchango wake katika pato la taifa kwa kipindi cha...
  4. JamiiForums Tanzania Haya wale Wanaume wenzangu tunaopenda Wanawake wenye Mizigo (Makalio) na hatuwapendi Mbaumbau (Wasionayo) tumepewa Ukweli Kamili na Mtaalam

  5. JamiiForums Tanzania Bati za Sundar ni bora? Kwa wenye uzoefu tafadhali

    Swali langu
  6. JamiiForums Tanzania Kwa watu wenye changamoto ya vipara

    Wakuu hope mpo wazima wote. Na wagonjwa Mungu awafanyie wepesi. Uzi wangu unawahusu wanaume wenye changamoto ya kutoka upara wakiwa bado vijanana wadogo. I mean kuna mtu nywele zinaanza kuisha yupo early 30 au 20 hili ni tatzo sana kwa jamii nyingi ya watu. Na inawafanya watu wanakosa...
  7. JamiiForums Tanzania Naona mechi ya single na wenye ndoaaaaaa naoita tuu...

    SASA tulioachika sijui TUKO kundii. Ganii na linii tutachezaaa NAWATAKIA MECHI njemaaa wote mtakaoshirikiiii All d best Maswali mengi sitakii
  8. JamiiForums Tanzania Watu wenye maono na utafiti wa kina kama Polepole wanafaa kutuongoza katika nafasi ya Rais

    Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nilimsikiliza jana Polepole, ni wanaccm wachache sana wanaweza kuchambua mambo kama yeye, na nathubutu kusema kwa dhati kabisa, hata Rais Mama Samia hawezi na hatoweza kufanya hayo. Wala hawezi kuweka mdahalo na Polepole. Ningependa siku moja hawa...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wenye tabia zifuatazo watachelewa sana au hawataweza kuwa matajiri kwenye uzao wao wote

    1. Watu wenye tabia za uoga 2. Watu wenye fikra za kimaskini 3. Watu wanaopenda kuzaa watoto wengi. 4. Watu wanaopenda kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na watu wengi. 5. Watu wanaoamini kuwa utajiri ni bahati. 6. Watu wasiomwamini MUNGU
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa wana simba wote wenye mapenzi na nia njema kwa timu yetu

    Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui. Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi. Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima na Pole pole , ni kama walituambia watekaji ni kina nani, wananchi tunadhani Wenye power waahusika

    Ni kweli nataka kuanza na sisi wananchi, njoo mtaani uone reaction ya watu kuhusu utekaji , wanadhani watu wa usalama wapo Kila kona mtaani , hivyo raia wengi wamekuwa waoga kuongea ,na ukiuliza chochote watatuambia Mimi sitaki kuongea kitu unataka nitekwe, maofisini pia watu wamekuwa waoga...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Gwajima akisema CHADEMA wapewe 'minimum reforms' anatuambia CCM ni wenye hati milki ya Katiba na kuwaamulia vyama vingine wapewe nini, kwa kiasi gani?

    Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima. Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima...
  13. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya vitendo kwa kutumia Mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) uliounganishwa na teknolojia

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe akiangalia mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) ambao umeunganishwa na teknolojia inayowezesha mdoli huo kujieleza namna inavyoumwa wakati huduma ikitolewa. Midoli hii ambayo inatumika kwa mafunzo kwa vitendo (Skills Lab) katika Chuo Kikuu cha...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, wanaoomba huruma ni wenye hatia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu amesema "Mimi siombi Huruma ya Mahakama, Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, nachotaka na ambacho nakisimamia utaratibu wa Mahakama usichezewe"
  15. JamiiForums Tanzania Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas awahutubia wakazi wa Gaza!!!

    Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas wenye makao yake makuu mjini Rafah, anawahutubia wakazi wa Ukanda wa Gaza katikati ya matakwa ya Hamas katika mazungumzo kuhusu Ukanda wa Morag: “Hamas haitatia saini mkataba huo. Morag Corridor inawatia hofu. Hawataki...
  16. JamiiForums Tanzania Unajiuliza, huko CCM na Dola yake, Kuna wenye akili kweli? Hivi Uwezo wa Akili wa LUHAGA MPINA ni wa Kumkata ?. Au Gambo ni wa kushindwa na Makonda ?

    Ukweli ni kwamba, Makonda Hana namna yoyote ya kumshinda Gambo, Makonda ni MTU katili sana, MTU ambaye akipata Mamlaka kubwa ya juu ,atawaumiza watu wengi. Kama sio Jela kama ilivyokua Kwa Sabaya, Makonda alipaswa ajitokeze mbele ya Taifa na Kuliomba msamaha Taifa Kwa aloyafanya Watu wanaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?

    Wapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote. Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na wakati mwingine ata hela za mwanamke huwa hazionekani katika shughuli za mahusiano au maisha yao; pia...
  18. JamiiForums Tanzania Watu wenye Ulemavu na Uongozi

    https://www.instagram.com/p/DL6qc3yIgPx/?igsh=MXM2c2ZvZnBuYnR4dg==
  19. JamiiForums Tanzania Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

    Ni kweli! Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara Inashangaza...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kuongea na wadogo zangu wa kike wenye kutafuta ndoa

    Ndoa ni stara kwa mwanamke! Hivyo mwanamke anahitaji ndoa kuliko mwanaume Wanawake wamekuwa wengi ama ni wengi kuliko wanaume... Hivyo ndoa imekuwa kitu adimu hasa ukizingatia kuwa.. Pamoja na uchache huo wa wanaume bado karibia nusu yao si waoaji Sasa kutokana na hamaniko hilo la kuhitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…