wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DESEMBA 9: Ushindi wenye gharama, nani alishinda nchi Ilipofungwa?

    Wadau, Tumeshuhudia aina mpya ya "Uhuru Day." Badala ya sherehe, miji iligeuka kuwa "Ghost Towns" (Miji ya Kimya), ikiwa imejaa wanajeshi na polisi. Hakukuwa na maandamano ya wazi kwenye maeneo mengi, lakini biashara zilisimama, na hofu ilitanda. Uchambuzi wangu unaonyesha kuwa huu ulikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 List: Rais Samia ni namba 4 kwa watu wenye nguvu zaidi duniani

    Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne. Mnaionaje hii list? Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09
  3. JamiiForums Tanzania Wenye Nyumba: “Nataka Mpangaji Asie na Mtoto Tu!” Huu ni Uchawi au Roho Mbaya tu?

    Kuna matangazo kibao ya nyumba ambapo dalali anasema kabisa mwenye nyumba anataka mpangaji asie na mtoto/watoto. Issue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
  4. JamiiForums Tanzania Wenye kusambaza cable TV wameambiwa kuondoa CCN,BBC,Al-Jazira na stesheni za kenya na ambazo zinaonekana kwa sasa ili D9 wafanye wanayotaka.

    Mimi sio mtumiaji wa TV ila mtujuze mnaotumia ving'amuzi kuna channel zitakuwa stopped ili kuficha D9. sasa wanaogopa nini.
  5. JamiiForums Tanzania Kama hutaweza kuandamana, tusapoti kwa kupiga picha na video clear za kuonesha sura mapolisi na wote wenye silaha

    Najua wapo wanataman mabadiliko ila hawako tayari kujitolea hata ikibidi uhai wao, sasa kama ni hivyo, wewe tusaidie kuchukua matukio hasa kuonesha sura zao hao wahuni wenye silaha. Hii haiwezi kuisha hadi samia aishie, kama anasema amepata kura 98% sasa kesho tutaona hao milion 32...
  6. JamiiForums Tanzania Wakiona hii waislamu wenye msimamo mkali

    FaizaFoxy ,Lucha Mnakaribishwa kutoa mapovu
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni SUVs zipi za kuzikwepa hapa bongo na hasa sisi wenye vipato vidogo na kati?

    KUTOKANA na ukweli kwamba siku hizi kuna make na model tofauti tofauti, tunahitaji kushauriana ni magari yapi ya kuyakwepa kwa maana ugumu wa kuishi nayo hasa gharama za maitenance, uwezo kuhumiri hali ya barabara ,zetu n.k. Nimetokea kuipenda Mitsubishi Outlander, na mitsubish IO na...
  8. JamiiForums Tanzania Wenye akili tulishamjua mapema. Hajali chochote kuhusu Tanganyika na Watanganyika. Lolote baya linalotupata kwake ni furaha kuu

    Ukiangalia anavyofisadi mali za Watanganyika utaelewa tu huyu hajali chochote kuhusu Watanganyika. Yupo kujitajilisha yeye, familia yake na genge lake kwa mgongo wa fedha na rasilimali za Tanganyika. Ukiangalia namna alivyoteua Wazanzibari kushika sehemu nyeti za Tanganyika ikiwemo Wizara...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kukwepa kadhia ya D9 tunasafiri kwenda mkoani Jumapili (7/12/2025)

    Tunaojitambua, tunaondoka Dar kwenda Mikoani (kijijini huko) huku tukisikilizia mambo yenu ya D9. Tuonane mwaka mpya 2026.
  10. JamiiForums Tanzania Wazazi waomba kambi ya wanafunzi wenye ufaulu wa chini iendelezwe

    Wazazi na Walezi wa Manispaa ya Mtwara–Mikindani mkoani Mtwara, wameiomba Serikali kuendeleza programu maalum ya kuwaweka kambi Wanafunzi wenye ufaulu wa mdogo ili kuongeza kiwango cha ufaulu.Ombi hilo limetolewa mara baada ya matokeo ya mtihani wa MOCK wa kidato cha nne ngazi ya Mkoa kuonyesha...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais niamini Mimi amani hulindwa na walioshiba, wenye NJAA hawaelewi, waliomwambia mbunge hawataandamana, wamemalizia na neno "Tuna NJAA"

    Najiuliza Mzee kikwete yupo kweli? Butiku je? Warioba je? Peter msigwa je?😂😋🤣? Yule mjaruo Koko, Wenje je? Hivi peter msigwa na wenje mnaweza vaa mashati ya ccm Leo hii mkaitisha mikutano majimboni MWENU Leo hii?🤣😋😂? Sio agenda yangu asubuh ya Leo ya mwezi mpya. Mh RAIS, watu hawataki...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GUTA

    Jamani naomba kuuliza wenye uzoefu kuhusu guta aina ya KEVLA. Naomba kujua kuhusu ubora wake wakuu
  13. JamiiForums Tanzania Uso wenye nuru ni ishara ya ukaribu kwa Mungu; uso uliopoteza nuru ni ya kuwa mbali na Mungu!

    Mawazo haya nimeyatoa kwenye Biblia: Kutoka 34: 29-35. Musa alivyoshuka mlima wa Sinai, alipokuwa anafanya agano na Mungu, Haruni na wana wa Israel waliona ngozi ya uso wa Musa ikiwa inang'aa sana (japo Musa alikuwa hajui kama uso wake unang'aa na una nuru kali). Na walipoona hivo, waliogopa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini wenye 'Lower Second Class' kuanzia 3.0-3.5 GPA hubezwa, ila wenye 'Pass Grade' 2.0-2.9 GPA 'hawabezwi' wakati Wao ndiyo Wamefeli mno?

    Haya wenye Akili karibuni mtuchambulie ila ninachokijua na nilicho na uhakika nacho 100% ni kwamba 75% ya waliomaliza Vyuo Vikuu nchini Tanzania wana Lower Second Class GPA na wachache sana wana ama Upper Class au First Class kabisa.
  15. JamiiForums Tanzania Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

    Leo naona ghafla jamaa wakiwa na silaha wamerudi tena kwenye barabara kuu hadi vituo vya mwendokasi wapo. Hapa katikati waliondoka wakawaachia polisi ila leo chap kama wamerudishwa wamezagaa mjini
  16. JamiiForums Tanzania Je, wakati wageni wanamiminika kwa wingi kuja Tanzania kuleta fujo JWTZ wenye jukumu la kulinda mipaka walikuwa wapi?

    Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye. Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini? Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Novemba 23, 2025 na vyombo vya Habari amesema kwamba Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, wenye ushauri na wenye maswali yote yatapokelewa na kufannyiwa kazi hivyo hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kama kweli kuna wataalum wa nguvu za asili wenye kuweza kulipiza mabaya kwa mabaya basi walipize kwa uonevu unaotokea Tz

    Huu ni ujinga kila siku watu wanateseka kwa maovu na uonevu wa viongozi ndani ya Tz na huku watu wakijinadi kuwa wanauwezo wa kulipiza kwa nguvu za asili kila leo. Ni wazi mungu wa biblia na quruan kashindwa kuwatetea waTz hivyo hawa watu wenye nguvu za asili za Mungu wakweli amkeni muwatete na...
  19. 4

    JamiiForums Tanzania Wenye uwezo wa kuaplod nimbo ya Dr Remmy ya Nyerere naomba waweke hapa mie ni nimendwa kuna ma madini Mle

    Wakuu niwaombeni mwenye kuweka ile ya dr Ongara ya nyerenye ,isemayo ccm imekwisha kabisa , na Mwl umegatuka bila twambi , misikikila kona ,wanasema hamka hamka , hamka wajua tumelaje? Ni baadhi ya maneno yapo kwenye wimbo ule ,tafadhari ,wenye uwezo kuuleta winbo husika ebu fanya hivyo...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa mchambuzi wa Azam na ana youtube channeli yake IBRAHIM RAHBY uchambuzi wake ni wachumbuzi wa mpira wenye mahaba na timu zao.

    Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani. Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…