wenye akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lavit

    JamiiForums Tanzania Kwa hii barabara bado tunaweza sema tuna serikali ya watu wenye akili?

    Hii ni barabara ya Njombe Songea, upana wake hata barabara za mataani zina nafuu. Kila siku tunalalamika ajali, ila kwa wembamba huu wa barabara lazima tuendelee kufa tu. Sasa sijajua kwa barabara ilikuwa kwa ajiri ya majaribio (demo) au ni kitu gani!
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Unakosea, Unakosea na nasema tena Unakosea wenye Akili hawashindani na 'System' Kibwege (Kipumbavu) hivi..shauri yako!!

    Nakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza Kukucheka japo juzi, Jana na leo watakuona Shujaa. Najua katika huu Uzi wangu nitashambuliwa mno na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hii video wataelewa wenye akili tu Magwajima wataibuka wengi tu

    Magwajima wataibuka wengi tu
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hii Kauli ya Samia leo imeweka wazi tatizo lipo wapi. Watu Wenye Akili wasikitika sana

    Ameongeza kuwa, "Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi." Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA? WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana...
  5. Lighton

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye akili muwafundishe wanawake wenzenu wenye tabia hii.

    tabia ya wanawake kumtegemea mwanaume Kwa 100% imekuwa ni tabia ambaya wameifanya Kama sehemu ya maisha Yao. Unakuta mwanamke anamtegemea mwanaume, boyfriend/mumewe Kwa kila kitu. Mwanamke wa Aina hii, anajiweka kwenye situation tofauti, either apate kila anachohitaji Kwa mumewe, apate...
  6. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Je, Tatizo la Tanzania ni Kukosa Viongozi Wenye Akili na Maadili?

    Wakuu, nimeona nilete huu mjadala hapa jukwaani kwa maslahi ya taifa letu. Ni mjadala mgumu lakini muhimu sana kwa kila Mtanzania mwenye uchungu na mustakabali wa nchi yetu. Tangu tupate uhuru, tumepita na marais, mawaziri, wabunge na viongozi wa kila aina—lakini matatizo yetu yamebaki kuwa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kamwe usidhani kuwa wenye Akili Tanzania wamepungua au hawapo tena kabisa, bali jua ya kwamba wengine tupo na tumejaa tele tu

    Yote haya yanayoendelea sasa CHADEMA (hasa waliokuwa Viongozi Waandamizi na wale wa Kundi la G55) yana BARAKA zako kwa 100% na URATIBU wako kwa Kusaidiwa na Watu ambao WAMEKUTESA mno kwa Wao kukutumia na sasa KIMKAKATI zaidi umemua tena kuwa Kwao na wanakutumia katika hili. Freeman Mbowe wenye...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wote wenye akili na uelewa wa mambo hushabikia CHADEMA?

    Jamani hili ni swali naamini jibu lake unalo mwenyewe, huku mitaani Vijana,Wadada,Kinamama,kinababa,Wazee wote wenye uelewa wa mambo ni washabiki wa Chadema,hata humu jukwaani bila kusahau Viongozi wa dini Lakini ukienda upande wa pili kule ufahamu wa mambo ni mdogo sana,naamini hata nyiye...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Watu wenye akili ni watu wakutafuta facts na wenye maswali Magumu na watawala hawawapendi Africa

    Kwanini Africa haiwezi kuendelea ni kwa sababu watu wenye akili na uwezo mkubwa kuona kesho hawapendwi na watawala... Why? Watawala wanapenda chawa na chawa siku zote wanauma Tena wanauma sana na mwishi wanadhoofisha... Umewahi kaa au kulala sehem Kuna chawa? Mara zote kwa aina hii ya uongozi...
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tujadili Simba ina ukubwa gani mbele ya Yanga

    Mpira ni Makombe na sio rekodi za points, Simba huo ukubwa mnaojipaga mbele ya Yanga mnautoa wapi? Hua najiuliza tu. My favourite player Ronaldo ana magoli Mengi kuliko mchezaji yeyote alie active now ila magoli yale tunashindwa kuyatetea bila Kombe la dunia bila Balon dor za kutosha mbele ya...
  11. Bueno

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vichwa Panzi wanaaminiwa sana na kuheshimiwa ila watu wenye akili na hawazitumii wanadharauliwa?

    Wenye akili ambao hawazitumii akili zao km watu wengine walivyotarajiwa. Wanaitwa Washamba. Wanadharauliwa. Wanaonekana hawafai kwenye jamii wanayoishi. Hawasikilizwi hata kwenye kikao cha familia. Wakitaka kuchangia popote kwenye kikao wanaambiwa subiri amalize yule pale kichwa panzi mmoja wewe...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

    Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani. LIST YANGU: 1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci. 2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI Ushimen, KENZY...
  13. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Vilaza ukuza viungo Wenye akili ukuza akili

    Vilaza ndo utawakuta gyms wanakuza vidali,shingo,mgongo,Makario,mapaja na wanafanya kegel Watu wenye I Q kubwa kuanzia 100+ utawakuta wanafanya squash, jogging , cycling,hiking,ping pong,chess na golf Vilaza wanakuza mwili,, Wenye IQ wanakuza Akili ONLY FACTS
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ina watu wenye akili sana. Serikali yao inatambua hili ndio maana huduma zote muhimu za afya hupewa bure

    Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa. Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

    Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034. Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Afrika: wenye akili hawana maamuzi, wenye maamuzi hawana akili

    Ni ajabu kuona Afrika kuwa ni bara lenye rasilimali nyingi, tukiwa na ardhi yenye rutuba, madini, mafuta, na nguvu kazi kubwa ila masikini upande wetu Mungu katunyima viongozi wenye kujua waafrika tunataka nini. Afrika ni bara ambalo limekuwa likitegemea misaada kutoka nchi za Magharibi...
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna uhaba wa watu wenye Akili haiwezekani .

    Tanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele. Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Vikao vya watu wenye akili na vya wajinga utofauti wake

    Watu wenye akili utawatambua tu namna walivyo serious kwenye mambo ya msingi yanayohusu nchi. Humu kugonga meza hovyo hovyo kama wendawazimu walio changanyikiwa huwezi kuta hawa watu wanafanya. Makelele ya kijinga yasiyo na tija huwezi kuyasikia humu. Vituko vya kijinga ni ngumu...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Foleni Jiji la Dar: Ni pale tutakapopata viongozi wenye akili ndipo tatizo litaondoka

    Nikitembea katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo mengi ya Tanzania jambo kuu linalonijia kichwani ni kwamba, Tanzania tutapata maendeleo ya kweli pale tu tutakapopata Viongozi wenye akili na wasioendekeza rushwa. Haiingii akilini kwa upana wa kujenga barabara uliopo kati ya Gongo la Mboto...
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ujembe huu unawalenga na kuwahusu wale wote wenye akili timamu tu na si vinginevyo

    Ukweli ndo huu wewe kama unajiona unapendwa mwambie wife naomba tuuze hii nyumba au kitu chochote Cha thamani. Akiuliza sababu mwambie nadaiwa nilikuwa nimekuficha Kwa muda mrefu. Kaa na msimamo huo hata wiki Kisha leta wateja wa mchongo waje wazuge zuge kununua Kisha mshindwane bei Utaona...
Back
Top Bottom