wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Ajali ya Basi yaua watu 16 na kujeruhi zaidi ya 20

    Takriban watu 16 wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi lililokuwa likielekea Gulu kugonga na Trela la Lori katika kituo cha biashara cha Adebe huko Kamdini kando ya barabara kuu ya Kampala-Gulu kaskazini mwa Uganda . Polisi walisema watu hao 12 walifariki papo hapo, huku wengine...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Lissu, Lema na Diaspora wengine?

    Hivi nini maana ya diaspora? Na Je, Lissu na Lema nao si diaspora au tofauti yao na hao diaspora wetu ni nini? Kwa nini wao tunawarusu kupiga siasa za nchi yetu na kuwaruhusu kugombea hadi uraisi wa nchi yetu? Kwani Katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusiana na jambo hili?
  3. JamiiForums Tanzania Mafuriko yaua watu 51 Ufilipino, wengine zaidi ya 19 hawajulikani waliko

    Idadi ya waliofariki katika mafuriko makubwa yaliyoharibu sehemu kubwa ya ardhi ya Ufilipino mwishoni mwa juma la Krismasi imepanda hadi 51, huku wengine 19 wakitoweka, shirika la kitaifa la kukabiliana na majanga limeeleza leo, huku wakaazi walioathirika wakihangaika kurejea kwenye makazi yao...
  4. JamiiForums Tanzania Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

    ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE! Anaandika Robert Heriel Kuhani. Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40. Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe. Ninapenda kuwausia Vijana...
  5. JamiiForums Tanzania Sugu: TRA siyo CHADEMA, acheni janja janja lipeni kodi

    Kudos wanajamvi. Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi. Sugu amenukukiwa akisema watu waache janja janja kwani TRA sio Chadema na kwamba kulipa Kodi ni Uzalendo. Asante Sana Sugu kwa kuonesha...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watu tisa wafariki huku wengine wakijeruhiwa kutokana na mkanyagano

    Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
  7. JamiiForums Tanzania Baby soma huu Uzi

    Ili penzi la ukweli baby nipe tu Na ukinikuta nimelala unakuja juu Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu Oooh unadunda puuh, puuh puuh puuuu Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu Kazi njema baby 💕💕💕🥰
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

    Habari Wakuu Binafsi nimejikuta nikiingia na mahusiano na mke wa mtu lakini ilikuaje? Nilijikuta ninampenda binti mmoja kwa mara ya kwanza nilivyomuona nikamwiita na nikaongea nae na akanipa namba yake ya Simu.Baada ya hapo tukawa tunachat bila kujua mazingira yake yakoje, kuchat tukajikuta...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Basi la Modern Coast latumbukia mtoni, mmoja afariki na wengine kujeruhiwa

    Mtu mmoja amefariki huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya basi la Modern Coast kutumbukia kwenye mto Masosa kwenye makutano ya Makutano mjini Kisii. Kamanda wa Polisi wa Kisii Central Amos Ambasa amesema gari hilo lenye nambari za usajili T247 DKE lilikuwa likielekea Homa Bay kutoka...
  10. JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2022 na wengine tuvisome?

    Habarini. Mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini usomaji wetu na kuhabarishana juu ya vitabu tulivyosoma. Hii ni njia nzuri ya kujua vitabu vizuri vya kusoma. Binafsi nimesoma vitabu vifuatavyo, wewe umesoma vitabu gani? 1. The storm before the storm: Kitabu kizuri sana hiki, kinazungumzia...
  11. JamiiForums Tanzania Leo nalibatiza bwawa la kufua umeme Mto Rufiji

    Asanteni JF Kwa maua maua kuelekea mwisho wa mwaka Na ikawe heri next year panapo majaliwa Bwala la mto Rufiji dedication ni kwa Magufuli na Nyerere. Hawa Ndiyo washika maono wetu. Wamechukua maamuzi magumu kuhakikisha Tanzania iwe na umeme wa uhakika. Bwawa hili Nalibatiza Kwa jina la "...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu au na wengine mnapitia ninayoyaona

    Nipo likizo yapata wiki moja, ila nilisafiri kutoka kwangu kuja kwa huyu mzazi wangu. Likizo imekuwa chungu natamani tu nirudi nyumbani kwangu kabla ya muda, kutwa nashinda naongea nampa ushauri namuelekeza kuna baadhi ya mambo naona kabisa anaharibu lakini ni mbishi kwelikweli. Kazi kwelikweli!
  13. JamiiForums Tanzania Miezi ya wengine kuvuna na wengine kupoteza

    Mwezi wa kumi na mbili (December) na mwezi wa kwanza (January), ni miezi inayofanya jamii kutumia pesa sana na upande wa pili kunufaika sana. Kwenye nyumba za ibada huwa ni msimu wa mavuno, huku upande wa pili ukiwa ni kugharamia (kutoa/kupoteza). Kwenye majengo ya starehe, mapato yanaongezeka...
  14. JamiiForums Tanzania Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

    Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same thing, alimpa Harmo password zake zote yani kulikuwa hakuna siri kati yako. Hapo mwishoni ndiyo Harmo...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi huwa wanaangalia TBC 1 kweli?

    Yaani najiuliza na nauliza hivi Rais, Waziri Mkuu, Nape Nnauye, Msigwa Gerson huwa wanaangalia habari na mambo mengine TBC 1 kweli? Au na wao habari wanaangalia kupitia UTV ya Azam? Na mpira pia, hivi Mchengerwa na Nape Nnauye wanaangalia Kombe la Dunia kupitia hii TBC 1 pia? And they are...
  16. JamiiForums Tanzania Mwangalie unayemsaidia, wengine ukiwasaidia wanakuumiza

    Kuna siku nilikuwa kwa mganga mmoja wa kienyeji,huyu jamaa ni ndugu yangu nilimtembelea. Baada ya stori mbili tatu mara akaja mwanamke mmoja ambaye ni mteja wake. Huyu mwanamke ni mfanyabiashara mtaji wake uliyumba akaenda kukopa kiasi Cha pesa Kwa mtu Ili kuboost biashara zake. Mwenye hela...
  17. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mzee Makamba ni kitisho kwa Rais na wengine wote ambao hawatakuwa wema "Kwao"

    Hutokufa (nani alisema Rais atakufa? Je alishatishiwa na sasa anahakikishiwa kuwa asiwe na shaka hatokufa?) Mtu mbaya kwa akina nani ndiye ambaye ataishi? Mtu mwema kwa akina nani ndiye wanachagua aishi? Kauli hii si ndogo ni kauli ambayo anafikisha ujumbe kwa watu flani. Kuwa kuna watu au...
  18. JamiiForums Tanzania Wengine mnawezaje?

    Binafsi nina muda mrefu sana nmekuwa single hii ni kutokana na uchumi wangu kutokuwa stable. Kwa bahati nzuri katokea mtoto mmoja kitanga kanielewa sana. Baada ya kumpata huyo mtoto nikapata mzuka nikatongoza mwingine pia akajaa na wote wananipenda sana. Ila tatzo naona saiz uchumi wangu...
  19. JamiiForums Tanzania Nikipewa Kusahihisha Mitihani ya Wanafunzi wa Darasa la Saba nchini Watakaofaulu ni Wawili tu Wengine Watafeli tu

    Kwa jinsi Wanafunzi wa Shule za Msingi ( hasa Darasa la Saba ) walivyo na Nidhamu mbaya katika Jamii zetu huku Wengi wao wakiwa hawana Akili Vichwani huwa nashangaa kuona kila mwaka katika Kutangazwa kwa Matokeo yao Kitaifa Wanaofaulu ni Wote / 99.9% Duniani kote haiwezekani sehemu ambayo...
  20. JamiiForums Tanzania Urusi inataka kufukuzia vijana wengine mitaani baada ya kundi la kwanza kubuma - mobilization

    Warusi wanaendelea kutumika kama vipande vya nyama za kutumbukizwa kwenye "meat grinder", makundi baada ya makundi wanapelekwa na kufyekwa Ukraine, sasa habari zimeanza kujitokeza kuwa Urusi inataka kurudi mitaani kufukuzia vijana wengine wapelekwe wakafie Ukraine. =============== An advisor to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…