wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaosemekana kufukuzwa kazi TBS iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine

    Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote...
  2. JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi ni aidha amechanganyikiwa au ni kazi ya mizimu na miungu wa watu aliowaumiza

    Behaviour ya Kiboko ya Wachawi kuwakejeli victim wake inatoa taarifa moja tu kuhusu hali ya kiakili ya kiboko ya Wachawi. Amechanganyikiwa. Inaweza kuwa ni kazi ya Mungu mwenyewe au kazi ya miungu wa victim wake (probably walienda kulalamika kwenye madhabahu zao) Pia inaweza kuwa kazi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kichaka kinawaka moto 🔥🔥 panzi, buibui na wadudu wengine wamechanganyikiwa wanakimbia hovyo

    Gamondi kashika kiberiti, kakusanya vijiti na majani machache kutoka Ethiopia na burundi, kavitia kiberiti moto ukasambaa! Punde si punde chaka linaanza kuteketea, wale wadudu waharibifu waliokuwa wamejificha kwenye vichaka ghafla wamepanic wanaanza kurusha maneno na kupingana na uhalisia...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali isitishe mishahara kwa watumishi waliorudi masomoni ni upotevu wa pesa tena wengine wanahama fani kabisa

    Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa. Sasa ubaya wa hili jambo ni pale...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Mwinyi ulileta neno "Mheshimiwa" badala ya "ndugu" kwa viongozi na sasa wamekuwa tabaka lenye kujiona wako juu ya Watanzania wengine!

    Zamani enzi za utawala wa Nyerere, kila Mtanzania aliitwa ndugu, pamoja na Nyerere mwenyewe akiwa Raisi wa nchi. Nyerere aliitwa "ndugu raisi" sawa tu na mtu wa mtaani. Hata kwa mtu ambae ulikuwa humfahamu, ukitaka kuuliza kitu tulianza kwa kusema "samahani ndugu, sijui basi la kwenda ferry ni...
  6. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 19 wa Iran waliuawa na wengine 150 kujeruhiwa kwenye shambulizi la Israel la kutumia elektroniki

    Hawa ni wanajeshi wa Iran waliokua wanatoa misaada kwa magaidi wa waislamu, yaani Myahudi ni balaa nyingine.... Haya kama kawa njooni na povu zenu wazee wafia ile dini japo waoga wa kyeboard warriors...mnapigwa kote, mpaka sasa pale Gaza idadi ya mizoga yenu inasoma zaidi ya 40,000 Mlilianzisha...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanzo endelevu wa kupigania uhuru wa Tanzania kutoka kwa Mkoloni Mweusi, damu ni ishara ya Kafara ya Ushindi Wengine wasichoke kujitoa

    Ingali tupo hai damu itajibu uhai wa waliofariki,MiKONO yote michafu ya waliowezi itavunjwa na kukatwa vipande vipande na damu yao itakuwa ni sherehe kwa familia zilizoathirika na umwagaji damu wa wapendwa wao. Dunia haikuachi salama ikiwa umetenda ubaya,ipo siku Tanzania itazinduka kutoka...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengine 228 wahama Ngorongoro

    Wakazi wa Ngorongori wamemuelewa Rais Samia na nia nzuri ya Serikali anayoiongoza kuwapatia makazi Bora na salama huko msomera Wakazi hao wameamua kuachana na propaganda uchwara za wanasiasa waliofilisika kisiasa na sasa kwa furaha kubwa wapo njia moja kuelekea makazi mapya ya kisasa kabisa...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wanaodharau Kazi za Watu Wengine ukiwafuatilia walikuzwa na kusomeshwa na Wazazi au walezi waliofanya Kazi Zenye mazîngira ya Kúpiga Dili

    WATU WANAODHARAU KAZI ZA WATU WENGINE UKIWAFUATILIA WALIKUZWA NA KUSOMESHWA NA WAZAZI AU WALEZI WALIOFANYA KAZI ZA KUPIGA DIL Bado naendelea na utafiti wàngu. Lakini Mpaka Hapa nilipofikia nakaribia kufanya hitimisho. Sidhani kama kitakuwa na badiliko lolote Kwa haya Majibu niliyonayo mpaka...
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ex wangu 1 tu kati ya wanne walioolewa tulioachana bila ugomvi ndie mwenye msimamo, wengine penzi linaweza kuamshwa muda wowote

    nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha kiporo, wengine watatu tunaweza tusichat hata miezi lakini muda tukionana ama tukichat ni kama season 2...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna vile unavyojiona ulivyo wewe mwenyewe na vile wengine wanavyokuona : Uzuri ni kuwa wewe ndiye unayechagua cha kuonesha.

    Hakuna msimamizi wa maisha yako isipokuwa ni wewe mwenyewe. Unachokionesha Kwa kujua au kutojua ndicho watu wanachokiona. Siyo lazima watu wakuone kama unavyojiona ila ni lazima watu wakuone sawa na wanavyoona wao kulingana na wanachokiona. Mtu mwenye macho yenye hitilafu siyo lazima aone kama...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Imamu sheikh Mbwana Haji - muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa wengine wanafanya ubaya kwake

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa hapo chini: Mtoa hotuba wa Ijumaa ya leo msikiti Sunni Dodoma (Nunge) Imamu sheikh Mbwana Haji amesema muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa watu wengine wanafanya ubaya kwake au kutoa kauli mbaya mbele...
  14. JamiiForums Tanzania Trafiki 8 wafukuzwa kazi, 84 waonywa wengine wahamishwa vituo

    Askari wa usalama wa barabarani 168 wamechukuliwa hatua zikiwamo kushtakiwa kijeshi, kuhamishwa vitengo na kufukuzwa kazi, kutokana na makosa ya kinidhamu ikiwemo rushwa katika kipindi cha kuanzia Juni 2023 hadi Juni 2024. Mwanasheria wa Kikosi cha Usalama wa Barabarani, Deus Sokoni ameeleza...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Hamas / hezbollah wanapenda kutumia raia kama ngao, kwa maksudi wanatunza na kurusha silaha kwenye makazi ya watu, Gaidi ni gaidi hata awe ndugu !!

    Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio kuna makombora yalianza kufyatuka bila mpangilio, Watu kadhaa wamefariki lakini hii imefichwa sababu...
  16. JamiiForums Tanzania Dotto yupo sahihi wasomi hatuutumii mtaji wetu wa elimu tulio utafuta kwa miaka mingi kutafuta pesa kama wengine

    Dotto anaongea ukweli wasomi lazima wabadilike tena sana. Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu? VYETI: Msomi akifa watoto hawawezi kurithi vyeti. Akifa tu vyeti vinatupwa jalalani havina kazi tena. AJIRA: Msomi akifa watoto hawawezi kuirithi. Akifa tu ajira...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Hivi na wengine huwatokea?

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna wakati ninapotaka kujibu au kuchangia hoja mbalimbali zinazoibuliwa na wadau humu JF, .kuna kitu huwa kinanikwaza. Unakuta kila nikijibu, mara neno nililoandika linafutwa au hata sentensi nzima inafutwa hata kabla ya kumaliza kuandika. Hii najiuliza ni...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: NMB, CRDB, TRA, TANESCO, TPA na wadau wengine wa "Executive Category" kujitoa NHIF.

    Baada ya hospitali ya Agakhan kujitoa kwenye kuwahudumia wateja "Executive" wa NHIF, mashirika makubwa ya umma yanayotumia NHIF nayo yanajiandaa kutoongeza mkataba wao na NHIF. Kama ilivyokuwa zamani haya mashirika yalikuwa yanatumia mifuko mingine ya bima za afya kama Strategis na...
  19. JamiiForums Tanzania Uvutaji wa sigara unakera wengine

    Habari za wakati huu!!..Kuna hili suala la uvutaji wa sigara Kila mahali,wavutaji hawajali wengine ambapo hawavuti,hawazingatii eneo wenyewe watakapo jisikia kuvuta eneo lolote wanavuta si barabarani,eneo lenyewe mkusanyiko wa watu hawajali Hilo. Hili suala linakera sisi wengine ambapo sio...
  20. JamiiForums Tanzania Kuku na ndege wengine wanatumia hisia gani kutambua maji?

    Nimegundua ndege wengi hawaoni kioo, ukitenga kioo mbele ya ndege wengi hua wanajigonga kwenye kioo ishara kwamba hua hawaoni kama kuna kitu mbele yao. Nadhani ni kwa kuwa kioo ni transparent ambao ni muonekano yalionayo maji(pure water). Je ndege wanatambuaje kwamba ulichowatengea mbele yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…