wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazazi ndio chanzo cha kuharibu ndoto za vijana wengi wanapotaka kufanya maamuzi ya kujichagulia wakasome nini vyuoni

    Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake. kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ? kwa nini wazazi tusiwape uhuru wa kujua wanataka nini na kuwashauri kuliko kulazimisha wasome wasicho...
  2. JamiiForums Tanzania Nimekutana na warembo wengi kwenye bus la achimwene

    Hamjambo ndugu Watanzania Siku Tano nyuma nilienda pale shekilango kukata tiketi ya kwenda mbeya. Nimejisogeza mbaka ofisi za bus la Sauli nimeona wamefunga maana nisha zoea kupanda Sauli nikaamua kuuliza wadau wakaniambia bus za Sauli hazipo siku hizi basi bwana. Kuna mdau mmoja akaniambia...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi wanaenda Uganda (Makerere University) Kusoma?

    Leo Mr. Chromium nina Swali kwa Watanzania. Naandika sana maswala ya Geopolitics leo tuongelee maswala ya kijamii. Kwanini Watz wengi wanaenda kujiendeleza Uganda hasa Makelele University? Je, vyuo vya Tanzania elimu mbovu au Gharama au Vina masharti magumu? Nasoma majibu
  4. JamiiForums Tanzania Wasifu wanao weka wengi kwenye tovuti ya bunge na serikali hakuna ukweli

    Yani wasifu ungekuwa unafatiliwa kuhusu tovuti ya bunge unaweza kushika mdomo wazi yani unakuta mtu anaweka ana PHD ambayo ujui kaipata kichochoro gani na mda gani. mmoja mbunge X kuna chuo kaweka alichosoma ukitafuta sehemu zote unaona ni kiwanda cha kutengeneza dawa za mifugo. Hii nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Naona vijana wengi sikuizi wanaogopa kuoa wanawake single mothers, nani kawatisha?

    Mko powa Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita. Wana akili ya maisha, hawana makuu kwao kuolewa ni ndoto iliyotimia wanaienzi na kuiheshimu mno...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana Waafrika waachane na mawazo mfu yaliyopitwa na wakati ya kulaumu "mabeberu"

    Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea kuwepo na kuaminiwa tena na vijana. Chanzo kikuu cha umaskini wa Africa ya sasa ni utawala mbovu...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaume wengi tukishaachana na Wapenzi wetu na tukikutana nao wakiwa na Masela wengine huwa tunaumia Mioyo tofauti na Wao wakiachana nasi?

    Wanaume wenzangu JF katika hili wala tusibishe ukweli ni kwamba huwa tunaumia na hata kutamani Ardhi ipasuke!!!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Trends za muonekano zinavyowatesa wanawake enzi na enzi

    Mitazamo ya uzuri wa mwanamke siyo ya kudumu, inabadilika kulingana na nyakati. Enzi za mabibi zetu wanawake wenye mwanya walionekana kuwa ndiyo warembo zaidi. Ikawalazimu bibi zetu kubomoa meno ya mbele ili kupata pengo litakalohesabika kama mwanya. Enzi za mama zetu, wanawake wenye rangi ya...
  9. JamiiForums Tanzania WHO: DRC ina idadi ya Watu wengi wanaohitaji Msaada wa Kibinadamu Duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 25.4 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na Mgogoro wa Kiafya na Kibinadamu kutokana na kuongezeka kwa mzozo na vurugu, hasa katika marneo ya Mashariki ya nchi Shirika hilo lilisema kuongezeka kwa vurugu za makundi ya...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ina wafuasi, wakereketwa na wapiga kura wengi zaidi ndani ya vyama vya upinzani nchini

    Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM. Yaani, macho, maskio na shauku kubwa mno ya wana ccm, vyama vya upinzani, wananchi na waTanzania kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kinachosababisha wanaume wengi kusomesha wapenzi wao ni kulinda hadhi yake na ya watoto watakaowapata

    Ipo hivi, unakuta mtu anafanya kazi inayomuingizia kipato cha kutosha na anajuana na watu wengi wenye hadhi zao, lakini upande wa pili mwanamke aliyenaye anafanya kazi kwa mshahara usiozidi hata laki 3 mfano hawa walimu wa chekechea na hawa ma medical attendants Kwa mantiki hiyo lazima...
  12. JamiiForums Tanzania RC Chalamila umetuumbua wengi, tuliamini Dar es Salaam hutaiweza

    Kiongozi CHALAMILA kipindi anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akitokea mkoa wa Kagera wengi TULIAMINI kwamba hataiweza Dar. Ila naona hekima yake Iko juu sana Anavyosuluhisha migogoro na changamoto za Dar Yuko vizuri mno. Dar imetulia hakuna panya road, migogoro ya machinga, up...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania ya tano kwa idadi ya watu wengi Afrika. Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika

    Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika Nigeria inaongoza kwa takriban watu 223,804,6322 ikifuatwana na Ethiopia ikiwa na watu 126,527,060 • Kenya ni ya saba kwa watu 55,100, 58755,001 huku Tanzania wakiwa mbelekatika nafasi ya tano.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani mnastahili pongezi kwa kutoa Mawaziri wengi

    Hakika nyie Ni maalum haswa nchini, 1. Jafo, 2. Mchengerwa, 3. Ulega, 4. Ridhiwani, 5. Kipanga.
  15. JamiiForums Tanzania Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

    Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe! Ujinga, maradhi na umasikini is real.
  16. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mwanaume anaependa kunyandua wanawake wengi akiwa mnene

    Shalom, Fuatilia kichwa cha habari ndivyo ilivyo uzoefu wangu ana wanaume wanyanduaji wengi wao hawanaga vitambi. Na wengi wao afya mgogoro. Karibu kwa mjadala na uthibitisho Ni hayo tu Wadiz
  17. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mmetufanya wengi tuwe Waasi dhidi ya timu yetu

    Sisi Simba ni timu ya mioyo yetu, hatufaidiki wala kunufaika na chochote zaidi ya furaha, watu wanasafiri kutoka Bukoba, Mbeya, Kigoma wengine wanatumia baiskeli kuja kuwasapoti nyie viongozi na timu kwa ujumla. Miaka ya hivi karibuni ilikuwa nadra sana kusikia Simba ikizozana na mashabiki...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Watu wengi wanapotuma Voice Note wanarudia kuzisikiliza tena na tena?

    Unajua sielewi kabisa 🤣🤣, Huwa wanataka sikia sauti zao zinavyovutia au kuhakiki tu? Najau wengi mshafanya hivi ebu nambieni sababu inayokufanya kusikiliza sauti yako tena ni nini?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wadada wengi sasa wamekuja na huu ujanja mpya, wanaume tuwe makini

    Hello, Utakuta uko na mdada kwenye environmental setting moja, mnaanza kuzoeana, mdada atakachofanya ni kuwa ata-flirt na wewe, ataweka idea of sex mbele yako, mwanaume ukijaa, mizinga inaanza, mara naomba vocha, dinner, etc, wengine siku hizi hawasubiri umtongoze, akikuona uko vizuri kimfuko...
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe ndio Amebeba Idea ya CDM, kama ilivyo Odinga, Malema, Tsvangirai(RIP) na wengine wengi.

    Mbowe ndio amebeba Idea ya CDM, kama ilivyo kwa Raial Odinga kwa ODM au Malema kwa EFF, au ilivyo kuwa kwa Morgan Tsvangirai na mfano mzuri ni huyu mwamba alie mpelekesha vilivyo Mugabe na Baada ya kufa Chama chake kimepotea kabisa. Uzidhanie Raial Odinga akiondoka pale ODM itabakua na nguvu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…