wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi siku hizi wakiombwa msaada wa kipesa na wadada, wanahisi wanatapeliwa

    Hello wanajf Wanaume wengi siku hizi nimegundua tumekua wagumu wa kuweka effort kwenye mahusiano, hasa yakiwa mapya, namaanisha effort ya attention, pesa na juhudi, wanaume zamani tulikua tuko tayari kumsuburia mdada njiani masaa 3 huku tukiumwa na mbu na kumfukuzia miezi 8 hata miaka,, ili tu...
  2. JamiiForums Tanzania Feminists wengi Wanafanana kwa sifa hizi tatu

    Mpo Salama Kabisa! Huwezi kuta Msichana Mrembo, mwenye Haiba ya kike akawa Feminist. Huwezi kuta. Yaani umkute mwanamke mwenye shape lake alafu feminist utasubiri Sana. Au umkute mwanamke mwenye Sura ya kike tipikali awe Feminist. Utasubiri Sana. Huwezi Kuta Mwanamke aliyelelewa na Baba na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Barabara iliyopo Kwerekwe Makaburini inakuwa hatarishi kwa kuwa Madereva wengi hawazingatii Zebra

    Huku kwetu mitaa ya Kwerekwe Makaburini kuna mistari ambayo inatumika kuruhusu Watu kuvuka Barabarani maarufu kwa jina la Zebra. Hapo nazungumzia barabara ya kubwa ya kwenda Fuoni, lakini cha ajabu madereva wengi hawasimamii Sheria za barabarani ikiwemo kutozingatia matumzi ya Zebra hizo...
  4. JamiiForums Tanzania Siri ya kibaiolojia katika mwili wa mwanamke ambayo wengi hawaifahamu

    Katika mwili wa mwanamke kuna hormones ambazo haumsaidia katika kuujenga mwili wake na kumfanya kuwa mwanamke imara kibaiolojia. Kuna kitu kipo very common kati ya binti bikra ambaye hajaingiliwa kabisa na mwanaume, House girl ambaye anaweza kukaa hata miaka 3 akiwa kazini bila kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi husikiliza marafiki zao wa kiume zaidi kuliko wapenzi wao linapokuja suala la mahusiano. Lakini je, hii ni sahihi?

    1️⃣ Kwanza, ni kawaida kwa wanaume kuwa na mshikamano wa kaka (bro code), lakini mara nyingine, hii inaweza kumfanya mwanaume kupuuza hisia na maoni ya mpenzi wake kwa sababu ya ushawishi wa marafiki. 2️⃣ Si marafiki wote wanatoa ushauri mzuri. Wengine wanakupa maoni kutoka kwenye uzoefu wao...
  6. JamiiForums Tanzania Eti wana-NBA, Hii trade ya Luka Doncic kwenda Lakers ni kama sijaielewa elewa hivi. Imeshangaza wengi pia.

  7. JamiiForums Tanzania Naomba tuweke mambo sawa Rwanda wahutu ni wengi kuliko watusi. Hii ni kwa wale ambao tumewahi fika Rwanda

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Nimeona nije hapa niweke mambo sawa Maana nimeona Kuna watu wanapotosha sana Mimi nimefika Rwanda napajua vizur sana na nchini Rwanda wahutu ni wengi sana kuliko watusi Robo tatu ya watu wa Rwanda ni wahutu Asante sana kwa kunisikiliza Sisi wafuasi...
  8. JamiiForums Tanzania Wanandoa wengi walishaachana kwenye nafsi zao ingawa kimwili wanaonekana wapo pamoja lakini si wamoja

    Habari za jumapili waungwana wa jukwaa hili, Katika hali ya kawaida kama ilivyozoeleka na wengi katika ulimwengu wa maraha na mahaba ukimuuliza mwanandoa sababu ipi iliyomfanya aolewe/ amuoe mwenza wake na kudumu nae miaka yote.....jibu linatakiwa kuwa jepesi kuwa KWA KUWA NI CHAGUO LANGU NA...
  9. JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonesha vijana wengi wa Africa hawajitambui

    Ni tafiti tu sijui za kweli au ni figisu tu za kutudhoofisha waafrica
  10. W

    JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wahitimu tegemezi wanaomaliza vyuo wasioweza kujitegemea, kuna faida ya kuwa na elimu ya chuo kama huwezi kujilisha?

    Tunawaona wahitimu wengi sana wakibaki majumbani au kwenda kwa dada zao walioolewa baada ya kuhitimu. Speaking from experience vijana wengi baada ya kumaliza chuo huanza kuomba ajira bila mafanikio (hawana connection, hawana experience), mwaka unakatika wanaona kujitolea (volunteering) kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Museveni hotuba zake nyingi zinaleta sense kuliko za marais wengi wa Afrika!

    Wakuu, Kama utakuwa umefatilia speech za huyu mzee utakuwa umegundua kitu. -Anaongea kwa masihara lakini ujumbe unaokuwepo ni mzito na unaleta sense. 📌Sikia akiongelea mgogoro wa waarabu wa Sudan 📌Akiongea kuhusu ukabila uganda 📌 Yaan unacheka lakini ujumbe pia unafika NB: Mimi si shabiki...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mafisadi wengi wanafisha pesa nje serikali wekeni majina

    Hii List serikali wanayo lakini kwasababu wengi ni vigogo wa CCM hawawezi kuweka wazi. Pesa inasemekama ni zaidi ya trilioni moja imefichwa nje
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kinyerezi, Kifuru na Mbezi Mwisho wapi kuna mwamko sana? nataka nifanye biashara

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei gani? *Nataka kufungua biashara ya vipodozi/urembo. PAMOJA NA BIASHARA YA STATIONERY
  14. JamiiForums Tanzania Cheetah ni nani? wengi hawamjui wengine wanamfananisaha

    Wengi hawamjui cheetah ni yupi Haswa. leopard ni yupi ?, na jaguar ni yupi ? Kutokana na ufanano wao wanyama hao tofauti watau wanafananishwa sana ! Hanatofautiana katika asili yao, namna yao ya maisha na uwindaji wao. Hii ni thread maalum ya cheetah, je cheetah ni nani ? Master of speed...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kujisahau ni hatari nyingine inayofanya wengi washindwe kutumia mazingira rafiki katika jambo husika

    Maisha yana Vipindi mbali mbali ambavyo mara chache vinajirudia na hata vikijirudia ni kwa sura na lengo jingine. Unaweza kurudi kwenye shule yako ya msingi ila sio tena kama mwanafunzi bali utarudi kwa lengo lingine kabisa hivyo kama kuna jambo ulitakiwa ufanye kama mwanafunzi unaweza...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Trump awaonea huruma mateso wanayopata wapalestina, aagiza misri na jordan kubadili sera zao na kuanza kuwahamishia wengi zaidi nchini mwao!

    Wadau hamjamboni nyote? Rais trump atoka maagizo mazito ya kiutendaji kwa nchi za Jordan na misri Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: January 26, 2025 By Agencies Today, 4:32 am US President Donald Trump says that Jordan and Egypt should take more Palestinians from Gaza, where...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wanawake wengi hawawezi kushusha Vigezo Vyao Kwa Sababu Ya Mapenzi: Hadithi Ya Princess Mako na Ayako

    Katika historia ya kifalme ya Japan, hatua ya Princess Mako wa Akishino kuolewa na mwanaume wa kawaida, Kiyotaka Kaya, imekuwa tukio la kipekee na la ajabu sana. Kama hiyo haitoshi Princess Mako, ambaye ni mtoto wa kifalme wa Japan, alijitokeza mbele ya ulimwengu akijivunia uamuzi wake wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Kutembelewa na Watalii Wengi Duniani."International Visitors"

    1.France -89.4 mln 2.Spain-83.7Mln 3.USA-79.3mln. 4.China -65.7mln. 5.Italy -64.5Mln 6.Turkiye-51.2 mln 7.Mexico -45mln 8.Thailand-39.8mln 9.Germany-39.6 10.United Kingdom -39.4mln. My Take Tanzania tunapoteza mda kukomaa kwenye Utalii wa wanyama na nature wakati Dunia imehama huko,kama...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wajinga, mtu anapokubali kuwa raia wa Tanzania halafu ana kipaji badala ya kufurahia wao wanachukia.

    Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina. Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori mengi hayana watu. Tukigawa kwa square meter bado kila Mtanzania ataweza kumiliki eneo kubwa la...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Msishangae tumeona Watanzania wengi wanataka Haki

    Watanzania wengi hawajali vyama vya siasa wanajali Haki. CCM wanatumia pesa za serikali lakini kwasababu ya rushwa kubwa iliyopo serikalini na wananchi kukosa haki zao za msingi kuanzia mahakamani, chaguzi, polisi na mambo mengine tusishangae Watanzania wengi kufuatilia mkutano wa Chadema kuliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…