weledi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    TISS ilitakiwa kuwa usajili wa wazi ili kuondoa haya mambo yenu maana weledi hakuna

    Yale mambo sijui nyerere aliweza kufanya kwa kificho kuweka usalama wa taifa anaotaka kwa sasa yamepitwa na wakati ndio matekeo ya leo yani hata magaidi yalivyoingia mkuranga wao walikuwa wapo wapo tu. Kinacho waogopesha ni nini hii idara ikawa wazi kila mwenye taalamu anaweza kujiunga na nyie...
  2. Mshana Jr

    Je, hawa vijana wana uelewa na weledi wa kutosha?

    Lipo kundi la vijana la propaganda mitandaonu lililotumwa maalum kubeza, kukejeli na kufubaza harakati zote za ukombozi wa Tanganyika zinazoongozwa na Gen Z Hili ni kundi mchanganyiko lenye uelewa na maslahi tofauti kwenye hali tuliyo nayo Wapo wafaidikaji wakuu na wenye maslahi ya moja kwa...
  3. Amicable Group

    Huduma za Kisheria na Ushauri wa Biashara kwa Weledi – Karibu Amicable Group Holdings Limited

    𝗧𝘂𝗻𝗮𝗵𝘂𝗱𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗮𝗲𝗻𝗲𝗼 𝘆𝗮𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮𝘆𝗼: 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝗶𝘀𝗵𝗼 𝘇𝗮 𝗞𝗶𝘀𝗵𝗲𝗿𝗶𝗮 𝗨𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗶𝗮𝘀𝗵𝗮𝗿𝗮 Ofisi yetu: Ubungo, karibu na njiapanda ya kwenda Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mawasiliano: 📞 0753786858 ✉️ nestorywestone@gmail.com 📱 Facebook & Instagram: Amicable Solutions Facebook: Amicable Solutions...
  4. C

    Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki

    Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki Hawa wanao jiita masheikh wana ajenda yao kuu, na wana mipango yao dhidi ya ukristo nachelea kusema hayo na naamini hivyo kutokana na harakati zao ambazo naona wana hangaika...
  5. L

    Rais Samia Akoshwa Na Mapokezi Ya Maelfu ya Wana Manyara. Aahidi Kuwatumikia Kwa Uaminifu na Weledi wa Hali ya Juu.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amekoshwa...
  6. DuaZaMama

    GE2025 Kailima: Taasisi na asasi zitoe elimu ya mpiga kura kwa weledi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi na weledi. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndugu. Kailima...
  7. Jidu La Mabambasi

    Ipeni maneno. Nimekosa hata cha kusema

    Wakuu, tia neno! Mimi sina neno (Bila VPN)
  8. Tlaatlaah

    Umahiri na weledi wa kisheria wa wakili Nassoro Katuga ni wa kiwango cha juu mno mahakamani, hacheki na mtu, hahitaji ushabiki, wala hana mzaha

    Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama. Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote awepo mahali pake pa kazi. Nassoro katuga sio tu mahiri wa sheria, bali pia ni mwamba na nguli wa...
  9. kavulata

    Yanga wamekosea changa 100m kwa CCM, weledi haukuonekana

    Mgema akisifiwa sana tembo hulitia maji. Eng. Hersi ameteleza vibaya sana kwenye hili. Pale ingetosha tu kusema GSM kachangia 10b basi. Na watu wa media wakakosea zaidi kuiweka 100m kwenye accounts ya habari ya Yanga kuonyesha kuwa Yanga imechanga hiyo pesa kutoka kwenye vyanzo vyake.
  10. Stephano Mgendanyi

    RC Zainabu Telack: Kasimamieni kwa weledi miradi ya maendeleo

    RC ZAINABU TELACK: KASIMAMIENI KWA WELEDI MIRADI YA MAENDELEO Na, Hilarry Shuma OR-TAMISEMI Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainabu Telack, amewahimiza Maafisa tarafa na watendaji wa kata nchini kuhakikisha wanasimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao Akifunga Mafunzo kwa...
  11. W

    Umewahi kublokiwa na akaunti ya kiongozi yupi Mtandaoni?

    Wakuu! Kuna tabia inashamiri kwa kasi ya akaunti za Viongozi wa umma kublock, mute na kufungia comments Sasa wananchi wanatoaje mawazo yao? Kama hutaki comments unapost kwanini? Watu wawe na uvumilivu, tusinyamazishane! Umeweka post subiri comments! Viongozi wakumbuke watu hawafanani na...
  12. W

    Mhandisi Kamando: Fanyeni ukaguzi kwa weledi bila ya kumwonea mchimbaji yoyote

    WAKAGUZI wa Migodi ya Madini na Baruti wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, kuongeza ufanisi na kufuata taratibu na sheria za nchi katika utoaji wa huduma. Hayo yamesemwa leo Mei 29, 2025 na Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Migodi na Mazingira, Mhandisi Hamisi Kamando jijini Mwanza wakati akifunga...
  13. Tlaatlaah

    Serikali sikivu ya CCM inawatumikia watanzania kwa bidii, weledi na uaminifu mkubwa bila kujali matusi ya majirani, wanaharakati au wapinzani uchwara

    Serikali Sikivu ya CCM inawajibu wa kuilinda amani, umoja na usalama wa waTanzania waTanzania wote na kuhakikisha wananchi wote waTanzania wanafurahia matunda ya maendeleo, yanayotokana na utekelezaji makini wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 kwa usawa wakiwa huko huko wanapoishi mijini na...
  14. H

    Mbunge Aliyewaita Watanzania ni KENGE, Kuanzia Leo Watanzania Tumwite Yeye MBUNGE KENGE

    Jana, kupitia mitandao mbalimbali, tumemsikia mbunge wa Zanzibar akiwaita wananchi ni Kenge. Yaani mtu ambaye upeo wake ni duni, elimu yake ya kubabaisha, mtu mwongo aliyelidanganya bunge kuwa ana diploma, kumbe hata form 4 tu aliimaliza kwa shida, anawaita watanzania Kenge. Hana uelewa wala...
  15. Now and then

    Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa weledi mkubwa Maaskofu

    Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu . Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
  16. ELI COHEN

    Kiuhalisia, Trump anashindana na utapeli ambao utapelekea nchi yake kudondoka siku zijazo ila watu wasio weledi katika current affairs wanakurupuka tu

    Kama ni tarrifs nchi yake imewekwa kitimoto muda mrefu na hata wale aliowekeana makubaliano sasa hivi wana lean kwa adui zake huku wakiendelea kumuumiza kikodi. Jeshi la Marekani liligeuka uwanja wa kuruhusu mashoga kuongoza nafasi nyeti. Vyuo vya marekani viligeuka chombo cha iran kutuma pesa...
  17. Now and then

    Balile na Pascal Mayalla je wanamtumikia nani , mbona hawana weledi katika kazi zao ?

    Balile na pascal Mayalla hawana weledi katika uandishi wa habari. Naomba waendelee na siasa za kusifu na sio habari.
  18. Magical power

    Polisi Morogoro mjini fanyeni kazi kwa weledi na uzalendo, si uonevu

    Habari wakuu,hii inchi ikienda ivi raia watashindwa kutoa ushirikiano Kwa majeshi yetu,yaan Hasa Hawa askari wetu wanao tembea rod na kukakamata vyombo vya usafiri, Kuna askari jina kapuni uyu amekatama chombo cha moto kikiwa kimepaki na kimekamilika kila kitu na kutoa sababu kibao dk ya...
  19. ELI COHEN

    Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

    Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂 Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂 Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
  20. Roving Journalist

    PSSSF yampa pole Mdau aliyelalamikia huduma yao, yatoa ufafanuzi na kusisitiza inazingatia Maadili, Uaminifu, Weledi na Uwazi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka hiyo imetoa taarifa ya ufafanuzi. Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ PSSSF Dodoma tofautisheni...
Back
Top Bottom