wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini civil war za wazungu ziliitwa world war?

    Kwanza naanza kwa kuwapa pole Iran kwa kile kitakacho wajia hivi karibuni. Pili nataka kujua sababu iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe za wazungu kuitwa vita kuu za dunia wakati vita za huku africa zinaitwa civil war licha ya kusababisha maafa makubwa pengine kuliko hata hizo world war...
  2. P. Diddy na kesi ya unyanyasaji wa Kingono

    Tarehe 16-09-2024 SEAN LOVE COMBS maarufu kama P DIDDY alikamatwa huko MANHATTAN jijini NEW YORK akihusishwa na makosa kadhaa ambayo ni kumiliki kundi kubwa la uharifu kusafirisha wanawake kingono Na kufanya biashara haramu. Ila ajabu P DIDDY alipofika mahakamani alisimama na kupinga waziwazi...
  3. D

    Kwanini Wazungu ndo huwa wanatoa scholarship ya kusoma na siyo Waafrika? Mmeshawahi kujiuliza?

    Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani. Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo...
  4. Ni ngumu sana kujitoa katika makucha ya Wazungu. Wapo everywhere

    Nipo sehemu flani hivi executive. Nimekaa na mpenzi wangu tuna enjoy mlo wa mchana. Kilichonishtua ni ustaadhi wa kiarabu kaja na vitoto vyake viwili. Haviongei kiarabu. Vinashindana na vitoto vingine vinne vya kihindi kuongea Kizungu. Siyo Kiarabu siyo Kihindi. Kizungu. Nimechoka kabisa...
  5. Kwanini Mzee Kikwete ni maarafu sana nje ya nchi hasa kwa Wazungu?

    Hakuwa reformist(mwanamageuzi) katika nchi, Sio intellectual au mwanafalsafa kama Nyerere na Kingereza chake ni cha kawaida tu ila wakati wote amekuwa kipenzi cha viongozi wa siasa magharibi, wafadhili matajiri, mashirika na taasisi zao mbalimbali katika shuguli zao nyingi hususani za Africa...
  6. Tuvunje Wizara ya Ardhi na Tamisemi tuwape Wazungu

    Kielelezo cha kufeli kwa Mtanzania au kufeli wa Serikali ya Tanzania ni kwenye Wizara mbili 1. Wizara ya Ardhi 2. Wizara ya Tamisemi. Kila nikienda majiji makubwa kuanzia Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Arusha na hadi Dodoma nasikitika kwa kuona Nchi hii imefeli kwa sehemu kubwa sana kwenye...
  7. Mara nyingi vita huwa ni mbinu ya kumrejesha nyuma adui yako

    Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya. Kawaida kila taasisi...
  8. Undani wa biashara ya utumwa je ni waarabu au wazungu ndiyo chanzo? Soma hapa

    I salute you kinsmen.! Naona kumekuwa na mjadala wa vuta nikuvute kwa pande mbili hasa kwenye muelekeo wa kidini zaidi . Mwelekeo huu ukihusu zaidi waarabu na wazungu na kujikuta tukikaa makundi ya ukristo na uislamu.! Hii haifai wakuu lazima tuwe neutral na tujadili ukweli sio kuruka ruka na...
  9. Wazungu waliwezaje kutuzidi ujanja sisi wanadamu wa rangi tofauti kwa muda mrefu?

    Dunia inawazungu wachina kwa jamii zao, wahindi kwa jamii zao, waarabu kwa jamii zao walatino kwa jamii zao na sisi weusi kwa jamii zetu. Wakuu wazungu tangu waliposhika kijiti wanaushawishi kwenye kila mtu na kila jamii dunia nzima. Licha ya mapinduzi makubwa ya kiteknolojia bado sioni...
  10. Hivi kwa nini matege na makengeza yanapatikana sana kwa wakazi wa Afrika? Sijaona kwa wazungu

    Hili nimekuwa nikijiuliza sana, wadau, kuna mwenye ufahamu?
  11. je wazungu wanamatambiko?

    wadau nimeona sehemu nyingi katika dunia hii tambalale wanakuwa ni watu wenye kufanya sala na ibada za kiasili/matambiko hususani asia,afrika na amerika ,je wenzetu wa reasoning/ulaya wanayo haya mambo? uchawi na matambiko mengine
  12. Wazungu Uingereza wanapora vitu madukani. Hakuna tofauti na Afrika, njaa kali

    Wanakummbi. Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama wengine na ni wizi, waongo wanafiki angalia hiyo video ingekuwa...
  13. Wazungu waliona mbali kuja na self contained room

    Civilization ni kiashiria kizuri cha intelligence wenzetu wametupiga gap katika vitu vingi Moja wapo ni hili la self contained room japo hata sisi kwa Sasa tumeamua kwenda nao sambamba ila muanzilishi ana baki kuwa muanzilishi na tutawajibika kumpa credit zake. Choo Cha kushare kina changamoto...
  14. Mwenye huyu mtoto mwambieni wazungu wanamshangaa na anaweza kujifungia kwenye fursa nyingi hakaishia na ujinga wake

    Hawa UVCCM huyu kijana sijui Abdul ni sample ya takataka tokea kuumbwa vyoo vya kuflash. kuna kitu kimoja anashindwa kujua siasa anayotumia ili mtandao wa twitter ufunge sababu kuminya demokrasia unaweza kumtokea puani kama kila mtumiaji wa X anaweza kuandika malalamiko anavotumika na jina lake...
  15. S

    Wazungu ndo race yenye stress zaidi duniani

    Hawa jamaa historia inawahukumu sana, 60% ya wazungu wote wana depression ambayo imekuwa affected na historia ya hio race. History ya slave trade imeeathiri sana akili za current generation ya wazungu. Uzuri wazungu sio wanafiki ulaya yote mashuleni wanasoma history yenye slave trade ndani...
  16. N

    Jaman hii race ya wazungu ina mademu wakal jaman..tuachen kudanganyana..umbo sura shepu had mat*

    Mi naish huku,aisee...na nazunguka sana Schengen,,aisee hawa wenzetu na ubaguz wao ila wana watoto wakal jaman...yaan wana watoto wakal..nikisema mademu wakal hiv mnaelewa..na hiz nywele zao bazo dada zetu wanazipenda had wanazinunua kwa bei mbaya aisee.., Sasa naambiwa eastern europe huko ndo...
  17. Angalia vipaumbele vya Waafrika wapokea misaada Vs Wagawa misaada

    Mmoja ni msafara wa nchi wapokea misaada, misfara mingine miwili ni wagawa msaada Netherlands na Uingereza.
  18. G

    Waafrika hatuwezi kujisimamia wala kujiletea maendeleo. Tuwalete wazungu watusimamie kwa maelewano

    Nitajie nchi moja tu ya Kusini mwa Jangwa la Sahara yenye maendeleo. Hakuna !! South Africa ni kwa mgongo wa makaburu tatizo ni kwamba Mandela aliwaachia mikataba ile ile ya kikoloni ndiocmaana Waafrika wana hali ngumu sana huko, Nigeria imegeuka kuwa nchi ya kuuana kikabila chungu nzima. Mfano...
  19. Wazungu walijuaje kuwa miji yao itakuja kuwa na foleni za magari miaka 200 kabla wakaweka road reserve pana?

    Nafahamu kuwa huko USA na Ulaya kuna miji ilibomolewana kusukwa upya, ila kuna miji haijapoteza uhalisia wake kwa miaka na miaka, cha kushangaza kuna miji ina barabara za lane 8 na ni masterplan ya karne mbilli zilizopita, jamaa walijuaje kuwa kutakuja kuwa na foleni hapo baadae maana usafiri wa...
  20. Wazungu wasitishe misaada nchi za Afrika mpaka pale rushwa na ufisadi vitakapoisha

    Tangu nikiwa mdogo nasikia bilioni kadhaa zimetolewa na Uswizi kama msaada kwenda nchi fulani ya Afrika. Mara Marekani imetoa msaada bilioni mia 4 kwenda nchi fulani. Lakini hizi nchi zinazoongoza kupokea misaada hali ya maisha bado ingalipo. Mpaka leo si vyama tawala au vya upinzani kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…