wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama hila ya Wazungu kupitia chanjo ni kutumaliza, basi tusitie kiburi leo, tumechelewa, tangu utotoni tumechanjwa sana na chanjo zao

    Polio, ndui, kifaduro, pepopunda, TB, nk ni chanjo ambazo wengi wetu tumechanjwa utotoni. Na huenda kupitia chanjo hizo ndiyo sababu ya kuwa hai hadi leo tunapotunisha misuli majukwaani. Halikadhalika ukienda kwa upande wa Mifugo,kuna chanjo nyingi mifugo yetu huchanjwa kukinga magonjwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tufikie hatua tutumie akili na tuambiane ukweli. Wazungu wanatuua kirahisi tu

    Hivi ni kweli kwamba wazungu wametaka kutuua na kutufanya tusizaane kwa kupitia chanjo ya Korona? Sidhani. Watoto wetu nasi toka tunakuwa tumepata chanjo za tetenasi, pepopunda, sulua/surua n.k kwa miaka mingi. Na ushahidi wa chanjo ya Ndui upo begani mwa kila Mtanzania. Hizi chanjo sisi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Rais Magufuli apunguze sauti. Nchi hii bila wazungu ni tajiri kwa kipi?

    Vitu vingi ambavyo Magufuli anaviona kama ni utajiri wa nchi hii vinamtegemea mzungu. Wazungu wakiacha kununua Tanzanite itageuka kuwa kete za kuchezea bao. Vivyo hivyo kwenye dhahabu, almasi, chuma, bati, n.k . Madini kama uranium hatuyawezi kabisa hata kuyatumia, achilia mbali kuyachimba...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Dada zetu siku hizi wamekua wazungu wa bandia

    Habari za Leo wakubwa, poleni na mihangaiko jamani, Basi leo nimejikuta nawaza mbali sana baada ya kukutana na dada mmoja ana mikucha mirefu balaa mara pap nikakumbuka movie ya shumileta, walati nakumbuka picha ya msyuka ikanijia nikaogopa. Nadhani uliwahi angalia movie ya msyuka jinsi...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa nchi za wazungu husikii njaa hovyo kama ukiwa bongo?

    Hello jf.. Nimebahatika kutembea nje ya bara la africa sehemu kama Sydney,London,Denver,New york,Istanbul,Melbourne na Madrid. Nimegundua ukiwa huko hata husikii njaa hovyo tofauti na bongo ukiamka tu asubuhi unaamka na ubao wa kufa mtu. Kwa nin iko hivyo?
  6. JamiiForums Tanzania Corona ni sawa na UKIMWI kwa wazungu, msitutishe!

    Kumezuka katabia ka watu kutishia wananchi Kuwa Corona ipo Tanzania utadhani wao wanaumwa Corona au ndugu zao wamekufa kwa CORONA. Watu wamebeba mabango Kuwa serikali inawaficha wagonjwa wa corona. Ukiwauliza wewe unaumwa? Ndugu yako anaumwa hiyo corona? Rafiki yako amekufa kwa corona? Wanabaki...
  7. JamiiForums Tanzania Wamarekani na wazungu wasituingilie mambo yetu ya ndani, sisi ni Taifa huru

    Kauli hii Ni maarufu Sana kwa VIONGOZi wa awamu hii ya tano muhula wa pili."Mabeberu wasituingilie katika mambo yetu ya ndani, kwani sisi ni Taifa huru, uchaguzi ulikua huru na wa haki, Kama mtu hajaridhika aende Mahakamani" Haya maneno yanasemwa Sana na Watawala kutoka CCM ya kizazi hiki. Ila...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi haya mawazo ya wazungu au ngozi nyeupe wanapenda anal sex yametoka wapi?

    Mara nyngi naona humu watu wana mawazo km haya, tena sio humu tu karbia watu wngi weusi wana mawazo haya hasa watanzania ati wazungu wanapenda sana anal sex. Wanamini km msichana akiwa na relationship na mzungu au ngozi nyeupe lazma atakua anafanya anal. Wanachukulia kama vile hakuna ngozi...
  9. JamiiForums Tanzania Wazungu akili inapogoma!

  10. S

    JamiiForums Tanzania Wazungu wajichimbia Tanzania -Hongera CCM tumeanza kuipita Ulaya

    Nakumbuka enzi zile ,nikimaliza lasaba natafuta meli ! Baharia ndio moja ya kazi za zama zile za geza ulole ,baada ya hapo ikaingia krosiboda na hata kuingia nchi za wazung baadae ndio ikafikia kujiripuwa ,ni kubakia ulaya na kuanza kujituma tukitumai maisha yatanoga na kweli yamenoga na wengi...
  11. JamiiForums Tanzania Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

    Habari zenu wakuu. Moja kwa moja naomba niende moja moja kwenye mada. Naomba kuuliza hivi wazungu nao hurogana katika small scale yani man to man? Diasporas naomba mtusaidie hili. Habari zao za Ushirikiana tunazozile kubwa kubwa kama Freemason, Blue Order nk. Maana kinachoonekana nikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tulikuwaga na ndoto za kuoa wazungu ila sasa basi Afrika tuna warembo...

    Hello wana MMU. Ujana bwana una mambo mengi mengine ya kitoto kabisa. Umeshawahi kusikia kuhusu Skin Surgery au Plastic Surgery? Wakati tunaingia ujanani wengine tulikuwa tunakebehi wadada wetu wa Afrika kuwa sio warembo na tulipokuwa tunaona Wazungu wajicream, na wamepiga make up tukajua hawa...
  13. JamiiForums Tanzania Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

    naweka hii post hapa kama ahadi kwa mdau mmoja aliyefuatwa pm na picha za kutisha za mwanaume mwenzake aliye uchi huku kajibinua makalio akimuomba jamaa amshughulikie. Huyu ndugu siku yake iliharibika kabisa na akaona kama ni mkosi na nuksi kubwa kabisa kuombwa na mwanaume mwenzake amuingilie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…