Habari zenu waungwana, nawasilisha wazo langu la kibiashara ili nipate mawazo Kwa wazoefu na hata wasio wazoefu wa biashara hizo, lengo ni kujifunza na kupata mawazo ya wengine.
Nina wazo la kuanzisha biashara zifuatazo:
1. Ninunue pool table jipya na niweke sehemu ambayo tayari...
Habari Tanzania !
Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo.
Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako.
Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
Kwema wakuu
Unajua watanzania wengi tunakosa maen3o ya kuinjoi, na bqadh ya michezo mingi inayoweza kutufurahisha ni ile ambqxo wengi wetu wqtazamani sio washiriki. Kumekuwa na haja ya watu wazima nao kupata s3hem ya kurelax na ku'fun'
Haja hii ya uwepo wa hizi shughul unaniweka karibu na...
💡 Hii hapa orodha ya idea 10 za biashara zinazolipa Tanzania (Bongo) — zimetengenezwa kwa kuzingatia hali ya soko, matumizi ya teknolojia, gharama ndogo za kuanza, na uwezo wa kukuza kwa kutumia digital platforms kama WhatsApp, Instagram, TikTok na LinkedIn.
1. 🧢 Biashara ya Accessories za Simu...
Kama Tittle inavyojieleza.
Mimi nipo Mwanza, tangu 2022 nilikuwa nafanya biashara ya usafirishaji, bahati mbaya nilipata changamoto zilizofanya niyumbe sana kiuchumi.
Hapa nimebakiza laki 8 tu nawaza jinsi ya kuanza upya ili niweze kuinuka tena.
Natanguliza shukrani.
HII NDIO ORODHA YA KOZI ZA VETA AMBAZO UKISOMA UNAWEZA KUZIBADILISHA KUWA WAZO LA BIASHARA
Unapojifunza moja ya kozi hizi kutoka VETA, hupati tu ujuzi wa ajira – unapata nafasi ya kuanzisha biashara yako mwenyewe!
Hizi ni kozi zinazoweza kugeuka kuwa miradi ya maana inayolipa kila siku👇👇
🔧...
Wadau nauliza wenye uzoefu watusaidie,
Jambo gani ni mhimu kuanza nalo ukiwa unafungua biashara(business)
Unawaza kwanza biashara ya kufanya ndio utafute location(eneo) Au unatafuta kwanza eneo ndio uwaze biashara(business ) ya kufanya.
MMH!?
Habari zenu Wana jamvi?
Matumaini mko poa kabisa. Ndugu zangu naomba mwenye uzoefu na mkoa wa Iringa niko na mtaji wa sh. Mil 5 nataka kufanya biashara lakini Hadi muda huu sijui ni biashara gani na nitafanya katika eneo gani mkoani Iringa.
Naombeni sana mawazo yenu
Mlio na ukaribu na bakresa embu mfikishieni wazo langu 🤔..
Bakresa group inaupiga mengi sana wamewekeza sekta nyingi sana hapa nchini.
Nakutoa ajira kwa watu wengi sana Tanzania na nje ya Tanzania.
Juzi wakati anapewa tuzo ya mlipakodi Bora wa hiyari, Nikaanza kuwaza mwamba kawekeza sana...
mpo mnapiga story mtu anapita nayo
umeenda kuomba mkopo benki wanahitaji kuiona business plan wanapita nayo
umeenda kwenye kampuni kuuza wazo wanakuwahi
n.k.
Umeumiza kichwa kufanya uchunguzi wa soko, location nzuri ya kutega, machimbo, gharama, wateja, n.k.
Ghafla unastuka kuna mwamba...
Heri ya Mwaka Mpya Wana JF Wote!
Ninaomba msaada wa mawazo kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna mtu amenipa wazo la kufungua kiwanda kidogo cha juice na kuwa washirika wa biashara (business partners). Tumejadili kuhusu kupakia juice vizuri, kuipa jina, na kuifanya iwe ya kuvutia.
Sasa...
Imekua nikama uvivu ama kutojitambua kwa watu wengi juu ya kuwa na wazo la biashara lakini kuianzisha biashara yenyewe inakua mthihani kweli kweli na hii kasumba sijui ni kwa biashara kubwa tu au hata ndogondogo?
Habari Kwa makazi nipo dar es salaam, Nina mtaji mdogo ambao Kwa upande wa frame ni changamoto Sasa Basi nataka kufanya biashara Kwa njia ya mtandao hasa kupitia WhatsApp
Kwanini nataka kutumia platform ya WhatsApp?
Kwasababu watu ambao nimesave namba zao wananijua na ninawajua vizuri kwaiyo...
Aslaam,
Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo.
Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge.
Hii itakuwa ni inverter inayoweza kutumika kwa matumizi ya ndani na hata wale biashara za kuhama hama kama machinga nakadhalika pia kwa matumizi ya nyumbani...
Wasaalam ndugu na jamaa
Naomba kuuliza, je biashara ya electronic transactions kama mpesa, tigopesa, Airtel money na halopesa ,faida yake inapatikanaje?
Na je kwa hapa dsm, biashara ipi inatoa zaidi kwa mtaji kuanzia 1m?
Na je ni maeneo yapi yanafaa?
Habari za leo wakuu;
Baada ya kupigwa sana na kuhangaika na watu mpaka level za kimahama kuhusu kuibiwa idea mbali mbali. Sasa nimekuja kwenu wadau kuomba hekima zenu kwa biashara hii ambayo tayari nimeanza kuona matunda yake.
Ni Biashara Ya kuuza wazo la biashara, wazo la kutafuta jina la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.