waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aliyempa Hayati Rais Magufuli zawadi ya jogoo atua na jogoo wa Waziri Bashungwa bungeni

    Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi – Kipatimo na Barabara Kuu inayounganisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara. Zawadi hiyo imetolewa leo Mei 29, 2024 na...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi aifunga Ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna wa Ardhi Mkoa. Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

    Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi. Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi, mwondoe huyu m/kiti wa baraza la Ardhi wilaya ya Mbulu-Manyara

    Baraza la Ardhi na nyumba wilaya ya Mbulu liko eneo la Dongobesh. Huyu bwana ni mla rushwa, mbaguzi, katili asiye na utu. Anashirikiana na wenye hela ktk eneo husika kuwadhulumu wanyonge. Ameshawanyanganya watu na kuvunja nyumba nyingi kwa ajili ya rushwa. Anakula na ofisi ya msajili kanda...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa kagua SGR, Treni kuanza kufanya kazi Juni 14 (Dar-Moro), Julai 25 (Dar-Dom)

    Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amefanya ziara Shirika la reli Tanzania – TRC kuanzia Stesheni ya reli ya kiwango cha kimataifa – SGR ya Tanzanite hadi Banana jijini Dar es Salaam mnamo Mei 24, 2024. Dhima ya ziara ni kuangalia maendeleo ya mradi wa SGR na utayari katika kuelekea kuanza...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau kulihutubia Bunge la Marekani muda wowote

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa rasmi kutoka Congress Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni. Mungu ibariki Israel
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Biteko: Aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini

    "Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
  8. JamiiForums Tanzania Unadhani Sekta ya Afya inahitaji maboresho gani nchini Tanzania na je, ukiteuliwa kuwa Waziri wa Afya utafanya nini cha tofauti?

    Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa: 1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa. Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waziri Mwigulu Nchemba ni liability kwa Uchumi wetu!

    Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali. Ukisikiliza Kwa ufahamu kauli hiyo, analenga kuwaelekeza TRA warudi tena Kwa wafanyabiashara na kuwabana...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Nitavunja Mabaraza ya Serikali za mitaa yenye mivutano

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi. Waziri Mchengerwa ametoa kauli hiyo wakati wa kukagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya inayojengwa Kata ya Kibelege...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Ataja Sababu Kifo cha Muziki wa Dansi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema Wizara yake iko kwenye mkakati wa kurejesha katika hadhi muziki wa Dansi kwa kuwa muziki huo umewahi kutumika hata kwenye ukombozi. Amesema muziki wa Dansi umeshuka kutokana na masoko, ambapo amesisitiza kufufuliwa kwa muziki huo...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo haya mambo yameanza lini

    Nimeweka risiti hapa uone kibaya zaidi jambo hili linatokea Nzega hapa ndio wakulima humkumbuka Magufuli yani gunia moja linatozwa ushuru kweli yani mkulima alime mazao yake ya kula yeye na famila yake anaenda kuvuna wanasubilia njiani atozwe ushuru.
  13. JamiiForums Tanzania Nani wa kumwambia ukweli ndugu Mchengerwa kwamba anapuyanga? Hizi hapa ni sababu tano za kwa nini asitenguliwe?

    TAMISEMI ndio imebeba mfumo mzima wa uendeshaji wa nchi kuanzia ngazi ya nyumba kumi mpaka ofisini kwa Rais. Madudu yanayoibuliwa na viongozi mbali mbali katika ziara mfano za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda nyingi kati ya hizo ni zinahusu wafanyakazi kunyanyaswa kazini...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Dk. Gwajima kumkamata huyo Dada wa Nyoka kwa Utapeli na kuwaacha Matapeli wa Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni ni Unafiki mkubwa

    Tena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
  15. JamiiForums Tanzania Kwa kuwa Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Tanzania, leo kama ukiwa Waziri wa Kilimo utafanya mambo gani mapya?

    Sekta ya Kilimo imekuwa ikitajwa kuwa moja kati ya maeneo muhimu zaidi katika Uchumi wa nchi. Lakini kwa miaka mingi bado eneo kubwa la Ardhi ya Tanzania halijatumika. Chukulia umeteuliwa kuongoza Wizara hiyo kuanzia leo, unafikiri ni mambo gani mapya utafanya tofauti na ilivyo sasa? Pia...
  16. JamiiForums Tanzania Norway imesema Itamkamata Netanyahu na waziri wake Gallant

    Kufuatia kibali cha mwendesha mashtaka wa ICC ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na waziri wake wa Ulinzi bwana Yoav Gallant .nchi ya Norway imesema leo kuwa Viongozi hao wasithubutu kukanyaga Norway maana wakitia maguu tu watawakamata na kuwatia lockup. --- Norway on Tuesday...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Kijaji: Mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Mwaka 2023, thamani ya mauzo ya bidhaa kwenda katika Soko la Ulaya iliongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 3.836 kutoka shilingi trilioni 2.446 mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 56.8. Ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa za kilimo na viwandani kwenda katika nchi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mwendesha Mashkata wa ICC aomba Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu na Waziri wake wa ulinzi kwa uhalifu wa kivita huko Palestine

    Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita. Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi hali ilivyo nchini, ukipewa nafasi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria utabadili nini kuongeza Uwajibikaji na Haki?

    Kama leo imetokea umepata nafasi ya kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, ukangalia hali ya masuala ya Kisheria nchini pamoja na mfumo wa utoaji Haki, utaanza na mabadiliko gani ili kuongeza Haki na Uwajibikaji nchini?
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi: JWTZ si sehemu ya Siasa, ni taasisi mahsusi kwa kazi mahsusi

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena L. Tax amesema Migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya Jeshi inapaswa kutatuliwa kwa mashauriano kwa kufuata Sheria zilizopo na si Kisiasa Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2024/25 amesema, maeneo ya Jeshi ni maalum kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…