waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Masanja akagua mradi wa Kitalu cha Miche ya Miti Wilayani Magu

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja (Mb) amekagua mradi wa kitalu cha miche ya miti wenye thamani ya shilingi milioni 43 unaosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza. Akizungumza leo Agosti 21, 2022 katika ziara, Masanja amewataka...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, William Kusila (78) amefariki Dunia leo Agosti 21, 2022

    Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, William Kusila (78) amefariki dunia leo Jumapili Agosti 21, 2022 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam. Chanzo: Tanzania Editors Forum (TEF)
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan akutwa na COVID-19

    Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Fumio Kishida imethibitisha kuwa Kiongozi huyo amepima na kukutwa na maambukizi ya COVID-19, ikiwa ni wiki moja kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo ya Afrika (TICAD) nchini Tunisia. Licha ya kupata maambukizi, imeelezwa kuwa Kiongozi huyo...
  4. 4

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya Ummy Mwalimu jibu swali hili kabla ya kesho mimi kuhamia Burundi

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kwako Waziri wa Afya UMMY MWALIMU, kwanza nikupe pole na majukumu yako ya kila siku japo ni wajibu wako kuyatekeleza, na pili nikupongeze kama Mbunge na Waziri kwa jinsi mnavyoendelea kuwalimbikia watanzania Tozo wakiwemo wananchi wako katika jimbo lako la Tanga...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Habari kwanini humtunzi mkeo kama ninavyomtunza wangu? Kwanini mimi mke wangu simfananishi na wako? Je, tukiwaweka sawa watafurahiana?

    Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kutuamsha wote tukiwa SALAMA saliminin,lakini pia hata Kwa wale wenye changa moto afya Tumwombe Mungu wetu sote awaponye na kuwarejeshea afya njema. Nitakuwa kiumbe cha ajabu nisipo mshukuru Mungu kwa AJILI ya walio twaliwa maana nayo...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri NAPE, peke yako tu ndio unaona ghalama za bundle zimeshuka?

    Katika hari ya kawaida, Ni ujinga sana kutetea ghalama za bundle kwamba zimeshuka. Na naamini Nape anajua kabisa either Rais hanunui bundle na hivyo hajui ghalama zake ama anaamuni Rais hawezi mfanya chochote. Watanzania wote wanalia na hizo ghalama lakini yeye anatetea zimeshuka. Nape ni...
  7. JamiiForums Tanzania WAZIRI NAPE: Tathmini gharama huduma za mtandao kufanyika 2022

    Mwaka 2022 Serikali itafanya tathmini ya gharama za huduma ya mitandao ya simu ndani ikiwa imepita miaka minne tangu kufanya hivyo. Hayo yamesemwa leo Jummosi Agosti 20, 2022 na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kwenye kipindi cha Power Breakfast alipokuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Shaka amwagiza waziri wa Kilimo kumfukuza kazi mara moja Geophrey Chiliga mrajisi wa Ushirika Mkoa wa Tabora

    CCM YAMUAGIZA WAZIRI WA KILIMO KUMUONDOA MRAJISI VYAMA VYA USHIRIKA TABORA Ni kutokana na kudaiwa kuwa chanzo cha kukwamisha usajili wa Vyama vya msingi kwa wakulima wa tumbaku Shaka apigilia msumari wa mwisho...CCM haitokubali kuona mkulima akiendelea kuteseka* Na Mwandishi Wetu, Tabora...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni aagiza uchunguzi maiti zilizookotwa kwenye viroba

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Hamadi Masauni ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linafanya uchunguzi wa kina ili kubaini waliohusika na mauaji ya watu wawili na kuwatupa wakiwa kwenye viroba. Maiti hizo ziliokotwa Agosti 11, 2022 zikiwa kwenye viroba katika kata ya Tunguli...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mifugo kubishana hadharani na Rais ni utovu wa nidhamu

    Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo SUA ili kutengeza fursa za ajira kupitia ufugaji Mambo ambayo Waziri alipaswa kuyafanya ni mawili...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Tweet hii ya Waziri Nape

    Natamani kujua ni kwanini Nape anatumia lugha za kigeni kutoa kuelezea suala la mtandao kwenye mlima kilimnjaro. Nini hasa kusudi lake?
  13. JamiiForums Tanzania Morogoro: Omari Kipanga ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) kuhakikisha ujenzi wa mabweni unamalizika

    Na WyEST, MOROGORO Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) Morogoro kuhakikisha ujenzi wa mabweni kwa ajili ya wanafunzi chuoni hapo unamalizika ifikapo tarehe 1 Septemba mwaka huu. Mhe. Kipanga ameyasema...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Wa Zamani wa Australia ashutumiwa kwa Kuendesha Wizara 5 kwa Siri

    Waziri Mkuu wa sasa, Anthony Albanese anamshutumu Scott Morrison kushikilia majukumu katika Wizara 5 kwa siri, kinyume na Sheria za Nchi hiyo na kuelezea vitendo vya mtangulizi wake kama uvunjifu wa demokrasia Idara ya Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri imesema kuwa Morrison alikua Waziri mwenza...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape ahamasisha wananchi kutoa ushirikiano kwa Makarani wa Sensa 2022

    WAZIRI NAPE AHAMASISHA WANANCHI KUTOA USHIRIKIANO KWA MAKARANI WA SENSA Na Mwandishi Wetu, WHMTH, DAR ES SALAAM Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka watanzania kutoa ushirikiano kwa makarani wa Sensa ya Watu na Makazi watakaopita kuchukua takwimu za...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Mali alazimishwa kupumzika

    Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Maiga amelazwa katika mapumziko aliyolazimishwa na daktari baada ya kuelezwa kufanya kazi kwa miezi 14 bila kupumzika. Ofisi ya Waziri huyo imesema atarejea katika majukumu yake wiki ijayo, awali taarifa zilisambaa kuwa amelazwa baada ya kuugua kiharusi. Serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anaemwelewa Waziri Nape? Ni aibu sana

    Naamini kabisa kwenye Ile orodha ya Mawaziri mizigo ya Kinana na Waziri Nape yumo. Waziri huyu bwana naona tu ni kama zawadi kapewa, hata yeye nazani anaona kabisa hawezi. Mambo mawili yanayomshushia heshima na kama hatakuwa makini atatoka kabisa kwenye reli. 1. Vifurushi vya mawasiliano /...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri asema kiwango cha udumavu kwa Watoto Mkoani Iringa ni 47%

    Waziri wa Afya, Waziri Ummy Mwalimu amesema katika Mkoa wa Iringa kuna tatizo kubwa la udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Ameyasema hayo leo Agosti 13, 2022 akidai kuwa kiwango cha udumavu mkoani humo ni asilimia 47 ambapo katika kila watoto 100, watoto 47 wamedumaa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais na Waziri wa Kilimo kuhusu chakula nchini mnapotosha Taifa

    Wandugu, Kuna lugha za kujirudiarudia kutoka kwa hawa viongozi wakisisitiza kwamba mkulima lima jiwekee cha kwako na familia yako chakula kingine nenda kauze nje mipaka ya nchi mipaka imefunguliwa. Najiuliza ina maana wananchi wengine kama Dar es Salaam wanaotegemea vyakula hivyo havitawafikia...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy nashauri ukae na wataalamu wa afya kabla ya tamko la bei ya huduma za afya

    Nampongeza Waziri wa Afya kwa kupata updates mbalimbali za sekta unayoisimamia kwa wakati na hivyo kuwa responsive. Nikijikita katika mada, Mimi ni muumini wa sustainable health system financing yaani sekta ya afya inahitaji njia endelevu ya rasilimali fedha ili iweze kuleta tija. Mfumo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…