waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mwambieni Waziri Mkuu "Watu wake hawawezi kumpenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa"

    “Najua kuna Maafisa wa Usalama wa Taifa hapa kwenye Mkutano wetu Ruangwa, nawatuma wakamwambie Waziri Mkuu kuwa Zitto anasema maliza hofu Ruangwa. “Watu wako hawawezi kukupenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa kwa sababu tu wako vyama tofauti na wewe,” - Zitto Kabwe akiwa Jimbo la Ruangwa...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Uingereza bwana Sunak awasili Kyev, Ukraine

    Safi sana kuona Kyev inaendelea kupokea viongozi wakuu.... Ameahidi kuwapa Ukraine teknolojia za kupiga chini aina yoyote ya drones.... British Prime Minister Rishi Sunak made a surprise visit to the Ukrainian capital Kiev on Saturday for his first meeting with Ukrainian President Volodimir...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Nape kwenye Uzinduzi wa JamiiCheck ya Jamiiforums

    Makampuni mengi ya kitanzania hayana mfumo wa ku fact check, na hata yanayofanya hivyo hutumia kampuni za nje ambazo hata kiswahili chao siyo kizuri. Unaweza kukuta mtu kaandika Nape kaumwa wakati siyo kweli. Nafarijika kuona jambo hili limezinduliwa leo na ndiyo maana nipo hapa. Kama serikali...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu mpya kutoka Kanda ya Ziwa ili kuinusuru CCM

    Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa. Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
  5. JamiiForums Tanzania Wazo kwa Serikali yetu kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani

    Kuundwe kikosi kazi madhubuti kwa ajili ya kupambana na majanga. Tumezoea kuona kuwa Jeshi la zima moto ndio liko kwa ajili ya kupambana na majanga hasa ya moto lakini kiukweli kuna majanga zaidi ya moto ambapo yanapotokea jeshi hilo haliwezi kuingilia kati. Sasa nashauri hivi kama ilivyo kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa: Tutajenga barabara ya njia 4, Dar-Moro, ili upite lazima ulipie

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame M. Mbarawa ametangaza mkakati wa ujenzi wa barabara mpya kwa kushirikiana na sekta binafsi kutoka Dar es Salaam – Chalinde hadi Morogoro yenye urefu wa Kilometa 215 itakayojulikana kwa jina la Express way. Barabara hiyo itakuwa ni ya kulipia pindi mtu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Zelensky wa Ukraine anaweza kuitumbukiza dunia kwenye janga la vita kuu ya dunia

    Rais Zelensky wa Ukraine ni mtu hatari sana!! Yuko tayari kuiingiza dunia kwenye vita kuu ya dunia ili mradi tu afanikiwe kuziingiza nchi zingine moja kwa moja zipigane na Urusi. Amekuwa akitafuta upenyo wa kufanya hivyo tangu mwanzo kabisa wa vita vya ukraine. Anaona haitoshi kupewa silaha na...
  8. JamiiForums Tanzania Tuwapuuze wakosoaji vipepeo wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Waziri Mkuu ni nafasi nyeti sana katika muundo wa kiutendaji, je katika muundo na mamlaka na uhuru wa kimamuuzi hasa autonomy kwa muktadha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikoje? katika nafasi hii. Ina nikera sana kuona kwamba Waziri Mkuu nchi hii ni nafasi inadharauliwa sana na haina heshima...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

    "Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera. "Huyu Kijana tena Wajina...
  10. JamiiForums Tanzania Ghana: Rais amfuta kazi Waziri wa Fedha kwa tuhuma za rushwa

    Hatua hiyo imefikiwa baada ya kudaiwa aliomba rushwa kwa mwekezaji wa madini ya dhahabu ili amtengenezee njia ya kufanikiwa. Aidha, Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amempeleka kiongozi huyo, Charles Adu Boahen kwa waendesha mashtaka ili kukabiliana na tuhuma hizo. Inadaiwa Boahen aliomba Dola...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Profesa Muhongo kusema hatupo tena uchumi wa kati na Waziri Mwigulu kupinga huku Rais akikubali ni ishara kiimani na kisiasa

    Katika siasa kuna ishara pia kama ulimwengu wa imani ulivyo, tofauti na ishara za kiimani ambazo ni za kiroho zaidi hivyo kufanya kuwa ' unpredictable' ila ishara za kisiasa ni 'predictable' kwa sababu zinasomeka kupitia mtiririko wa matukio( trend reading) Kitendo cha Rais ambaye ni mamlaka ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Waziri Nape kwenye matumizi ya bando; Wataalam na watumiaji majibu yenu Muhimu

    Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi. Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda. SWALI: Wale...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mabula hatihati kutumbuliwa Uwaziri

    Huenda uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula ukatenguliwa wakati wowote kuanzia sasa kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa mgongano wa kimaslahi kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utoaji wa vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta. Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri...
  14. JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya ‘Majaliwa adondoke’?

    Wenye Macho tunaona!, "Rosti-Tamu"imeingia jikoni....asiyekubali kula. "Rosti-Tamu" Atafungwa na "Kamba" za "Makamba" Naona "Mjomba" Cheff maarufu wa "I-Go-Unga"sasa ameamua kufunga mahesabu ya Mwaka,ni wazi sasa "Katelephone" anaandaliwa zengwe ili adondoke! "Ma-ajali -waa!" yamesakamwa toka...
  15. JamiiForums Tanzania Nasimama na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Kumekuwa na nyuzi nyingi sana ambazo zinaanzishwa kwa hoja ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu hivi Hawa watu wapo nyuma ya Nani? Hivi hawaoni jinsi anavyojitajidi kupambana na mchwa inayoligharimu Taifa. Kama sio Majaliwa unadhani huko kwenye halmashauri Hali ingekuwaje japo wanamzidi akili...
  16. JamiiForums Tanzania Nasimama na Waziri Mkuu wetuu Mjaliwa Kasimu Majaliwa

    Wanajamvi wenzangu Nakusalimu sana na poleni nyote humo mlipo najua mko mkilitumikia Taifa letu. Mim Kibori Nangai Nitamtetea ,nitasimama na Majaliwa Kasimu Mh Waziri Mkuu wa Taifa letu. Sihitaji kupangiwa , Hawa wanaharakiti Uchwara hatuwataki hata kidogo Kuna huyu anayejiita Tito Magoti...
  17. JamiiForums Tanzania Meatu: Madiwani wamtaka Waziri TAMISEMI afanye ukaguzi maalumu wa fedha za Halmashauri, wanusa harufu ya ubadhirifu mkubwa

    BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu wamemwandikia barua waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa hapa nchini (TAMISEMI) Angela Kairuki ili atume timu maalumu ya ukaguzi iweze kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri hiyo ya wilaya kukagua matumizi ya fedha ambazo zilipangwa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Vunja Baraza la Mawaziri Nchi ipone. Waziri Majaliwa Habebeki

    Salaam Wakuu, Nchi ilipofikia, Viongozi wetu hasa Mawaziri wanatakiwa wajitafakari na kujisahihisha waone wanajipa Marks ngapi. Kama inafika wakati Wasaidizi wa rais wanamdharau kisa ni Jinsia ya Kike, kuna nini tena? Anawaagizi hivi wanafanya ambavyo hawajatumwa. Wamekalia Majungu na...
  19. JamiiForums Tanzania Madiwani Meatu wamuangukia Waziri TAMISEMI, wataka ukaguzi maalumu wa matumizi ya fedha za Halmashauri, wahofia uwepo ufujaji wa fedha za wananchi

    HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu kama ilivyo maeneo mengine ya Serikali za Mitaa inasimamiwa na kuongozwa kwa kuzingatia Sheria mbalimbali za nchi ikiwemo Sheria ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982 na Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Meatu za Mwaka 2014 ambazo zinaelekeza mambo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Waziri Mkuu unajisikiaje kuwa Kiongozi wa Serikali usiyetaka kuwajibika?

    Anaandika Tito Magoti. Mheshimiwa Waziri Mkuu, Nakuandikia barua ya wazi kwa heshima kubwa sana! Ni mwaka wa saba tangu uwe Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CEO JTM hapa chini). Kuna mambo mengi unayojivunia. Pengine ndio maana umedumu katika nafasi yako hadi sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…