waziri wa zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waziri wa zamani Raphael Tuju aliyedaiwa kutekwa alikuwa amejificha kukwepa madeni

    Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) imemtia nguvuni Waziri wa Zamani Nchini Kenya, Raphael Tuju, ambaye Familia yake ilidai ametekwa kabla ya kujitokeza na kukiri alikuwa mafichoni siku ya Jumamosi baada ya kuhisi kuwa kuna watu waliokuwa wakimfuata. Akizungumza baada ya Tuju kuonekana...
  2. R

    Waziri wa zamani wa Mafuta Nigeria afunguliwa Kesi ya rushwa London kwa tuhuma za Maisha ya kifahari

    Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa...
  3. W

    Waziri wa zamani wa Burkina Faso, Yolande Viviane Compaoré, auawa

    Waziri wa zamani wa Burkina Faso, Yolande Viviane Compaoré, ameuawa katika makazi yake mjini Ouagadougou. Maafisa wamesema kuwa mwili wa Compaoré uligunduliwa nyumbani kwake Jumamosi iliyopita, na ushahidi uliopatikana eneo la tukio unaonyesha kuwa alishambuliwa kisha kuuawa. Mamlaka za mahakama...
  4. Mafyangula

    Waziri wa Zamani wa Kilimo China Ahukumiwa Kifo kwa kuchukua rushwa ya milioni 38

    Tang Renjian, Waziri wa zamani wa Kilimo na Mambo ya Vijijini wa China, amehukumiwa adhabu ya kifo iliyositishiwa kwa kosa la kupokea rushwa na mahakama ya mkoa wa Jilin siku ya Jumapili, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali, Xinhua. Xinhua imeripoti kuwa Tang alipokea rushwa zenye...
  5. PAYE

    GE2025 Naibu Waziri wa zamani, Godfrey Zambi achukua fomu kuwania ubunge Mbozi

    Mkuu wa zamani wa mkoa wa Lindi na mbunge mstaafu wa jimbo la Mbozi, Godfrey Zambi amechukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya kuwania kiti cha ubunge cha jimbo la Mbozi. Mbali ya kuwa mkuu wa mkoa pia Zambi aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Kilimo.
  6. Mi mi

    Waziri wa zamani wa Hazina wa Marekani, Summers, asema huenda Marekani inaelekea kwenye "mgogoro mkubwa wa kifedha."

    JUST IN: 🇺🇸 Former Treasury Secretary Summers says US might be headed for a "serious financial crisis." https://x.com/WatcherGuru/status/1909929351207940320?t=aqkE5sHJW7RJL35lYk_xtg&s=19
  7. A

    Waziri wa zamani wa Fedha wa Masumbuko ashtakiwa US

    https://www.africanews.com/2024/07/18/mozambique-former-finance-minister-on-trial-in-us/
  8. kipara kipya

    Tetesi: Chini ya zulia waziri wa sukari alalamika kwa watu wa karibu waziri wa zamani wa misitu mapori na wanyama ndio mchawi wake!

    Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
  9. Jaji Mfawidhi

    Mkenda kuharibu Elimu Kama Waziri wa Zamani au Kuboresha? Kubadili miaka ya darasani inabadili quality ya elimu?

    Tanganyika tangu mkoloni wa kijerumani mpaka Mkoloni wa Kiingereza elimu yetu ilikuwa bora sana, watu wengi ikiwamo wazungu walikuja kusoma Tanganyika kwenye shule za St.John, St Thomas, St Jude, [Ilboru,Old Moshi, Moshi Technical, Pugu, Minaki, Ifunda] hizi zote ni shule za Wakristo kwakuwa...
  10. Suley2019

    Mamlaka ya Uganda yamkamata Waziri wa Zamani wa Kenya akitaka Kusafirisha Dhahabu ya Mamilioni Kuelekea Dubai

    Mahakama ya Kupambana na Rushwa iliyosimamiwa na Mheshimiwa Esther Asiimwe jana ilimweka Stephen Kipkyen Tarus, ambaye pia ni aliyekuwa Mbunge nchini Kenya, rumande katika gereza la Luzira kwa udanganyifu wa nyaraka za usafirishaji na kusababisha upotevu wa mapato kwa Serikali ya Uganda...
  11. BARD AI

    Gambia: Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ashtakiwa kwa Ubakaji, Mauaji na Utekaji

    Ousman Sonko ambaye aliwahi kuhudumu katika Serikali ya Rais Yahya Jammeh, anatuhumiwa kufanya Ubakaji dhidi ya Raia, Kuagiza Watu Wauawe huku wengine Wakitekwa na Kuteswa kati ya mwaka 2000 hadi 2016. Kwa mujibu wa 'TRIAL International', Waziri huyo anakuwa Afisa wa ngazi ya juu zaidi kutoka...
  12. P

    Waziri wa zamani asema January Makamba ameisababishia nchi hasara ya Shilingi trilioni 1.268

    Kwenye mchango wake kwenye hotuba ya bajeti ya Waziri wa Nishati, January Makamba, ya 2023/24 iliyopitishwa na Bunge jana, Waziri wa zamani, Luhaga Mpina, amehoji madudu yafuatayo yaliyofanyika kwenye wizara ya Nishati chini ya Makamba: MKATABA WENYE UTATA WA TEHAMA WA SHILINGI BILIONI 70 BAINA...
  13. Chachu Ombara

    TANZIA Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo awamu ya kwanza, Mzee Herman Kirigini afariki dunia

    Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mjumbe wa Baraza la mwisho la Mawaziri la mwl. Julius k. Nyerere mhe. Herman Kirigini afariki dunia nyumbani kwake Musoma. ---- ALIYEKUWA mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Herman Kirigini amefariki dunia...
  14. JanguKamaJangu

    China: Waziri wa zamani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kosa la kupokea rushwa

    Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma. Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa ndani ya miaka miwili au kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili kumalizika. Pamoja na hukumu...
  15. BARD AI

    Hayati William Kusila, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa zamani aliyekimbia furushi la fedha ofisini

    Mbunge wa Bahi (CCM), Keneth Nollo ametoboa siri ya uzalendo wa Hayati William Kusila kwamba aliwahi kukimbia furushi la fedha zilizopelekwa ofisini kwake ili apokee hongo na kutoa upendeleo. Nollo ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 25, 2022 wakati akitoa salamu za rambirambi mbele ya mwili...
  16. JanguKamaJangu

    Waziri wa zamani wa Guinea afariki akiwa gerezani

    Waziri wa zamani wa Guinea, Lounceny Camara (62) ambaye alifungwa jela akishutumiwa kwa ubadhirifu wa pesa za umma na utawala amefariki Dunia. Utawala wa kijeshi uliomuondoa madarakani aliyekuwa Rais wa taifa hilo, Alpha Conde, mwaka 2021 ulishutumu viongozi kadhaa akiwemo Camara ambaye alipata...
  17. JanguKamaJangu

    TANZIA Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, William Kusila (78) amefariki Dunia leo Agosti 21, 2022

    Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, William Kusila (78) amefariki dunia leo Jumapili Agosti 21, 2022 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam. Chanzo: Tanzania Editors Forum (TEF)
  18. Lady Whistledown

    Waziri wa Zamani wa Msumbiji afungwa miaka 16 kwa ufisadi

    Aliyekuwa Waziri wa Kazi wa Msumbiji Maria Helena Taipo amehukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya rushwa, yanayohusisha kujipatia fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 3.96 sawa na Dola za Marekani Milioni 1.7 kutoka katika fedha za Umma kati ya mwaka 2014-2015. Maria pamoja na maafisa wengine...
  19. B

    Zambia: DEC arrests Malanji for money laundering, Seize his two Helicopters and a Hotel

    Waziri wa zamani wa Zambia ameingia matatani kwa ufisadi. Karibuni kanunua helicopter ya $700,000. Kwa mapato yapi huko serikalini? Alikuwa na mahoteli na mali lukuki. Hawa ndiyo wale wazalendo sasa kama wetu, ambako huko kuna siri zisizopaswa wenye nchi kuzijua. Kwani hapa kwetu ni tofauti...
  20. Sam Gidori

    Waziri wa zamani wa Mawasiliano wa Afghanistan anauza Piza nchini Ujerumani

    Maisha yana namna nyingi za kutufundisha kushikilia tulichokuwa nacho kwa wakati huo. Baada ya Kundi la Wanamgambo wa Taliban kuchukua utawala wa Afghanistan, aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano wa taifa hilo, Syed Ahmed Shah Sadat ameonekana akitembeza Piza nchini Ujerumani. Gazeti la nchini...
Back
Top Bottom