waziri wa fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    PostGE2025 Ulikuwa Waziri wa Fedha leo ni Waziri Mkuu inakuwaje kusema kuna kijana kalipwa Bilion 5 kwenye simu kwa maandamano!

    Hii nchi kunashida ya genetic za waafrika halafu anajiita dokta sijui wa nini?. Yani katika vitu tanzania vitakuja kusababisha matatizo ni hawa CCM wanaotawala kwa kujipa vyeo na elimu ambazo zinatupa mashaka. Leo hii unasema vijana walilipwa ina maana Tanzania nzima hizo pesa zilizotolewa...
  2. Fbn

    Mwigulu Nchemba anapata wapi nguvu ya kusema watu walilipwa kuandamana wakati hayo yakifanyika yeye alikuwa ni Waziri wa Fedha?

    Hii nchi bwana ukisikia kesi ya mbuzi anashirikishwa mwizi wa mbuzi ndio sasa. MwiguLu alipokuwa waziri wa fedha kila pesa ilitaka ipitie kwake ila leo kawa waziri mkuu anasema walilipwa bilioni 5 vijana kabla ya maandamano na kijana mmoja ambaye tunga story. Tena waziri wa fedha mwenye sihihi...
  3. Sifi Leo

    WAZIRI mkuu ulikuwa waziri wa fedha ulishindwaje kumtembelea kitima hosptali? Je washindwaje kwenda ukonga kuzungumza na Lissu kilugha?

    Hizi ni ngiriba kinyeo upakwa mafuta ya senene Ili kesho yanukie pakuche😆😀😂🤣 napendanga kucheka mie. Je MWIGULU Nchemba jitu liliro ISHI umasikinini, ulishindwaje kumtembelea faza kitima akiwa hosptalini? Any way, labda ungeenda ungetumbuliwa, je washindwa kwenda gerezani ukonga ukaomba uingie...
  4. amarina

    Barua ya wazima kwa waziri wa fedha Mh Mwigulu

    Mh Waziri. Wasaidizi wako au wewe mwenyewe umewaingiza watumishi wa umma katika mtego na adha na usumbufu aidha bila kujua. Baada ya kuweka utaratibu wa mifumo kutumika kumkopesha mtumishi benki zinafanyia uharamia wa kupita kiwango. Mtumishi akikopa anatozwa gharama 100% zinazoonesha...
  5. DuaZaMama

    Kijana wa waziri wa Fedha anafaa kwenye wizara gani?

    wakuu ===== Mtoto wa waziri wa fedha akitoa salamu kwa wananchi mbele ya baba yake mzazi Mwigulu Nchemba kijana anavaa Kama baba bendera ya nchi iko shingoni wazungu wanasema like Son like Dad.
  6. Subira the princess

    Swali fikirishi: je ni kweli waziri wa fedha yuko juu ya mteule wake?

    Wasalaam. Kuna ushahidi kwamba rais anamlalamikia waziri wa fedha kwa ubadhirifu badala ya kumchukulia hatua. Mawaziri wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibu wa sheria. Wabunge wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibbu wa kanuni za bunge. Hii...
  7. Yoda

    Yaripotiwa Elon Musk kutwangana makonde na waziri wa fedha wa Marekani, Scott Bessent

    Baada ya maswahiba wawili Elon na DJT waliowahi kushibana sana kumwagana wiki ya karibuni siri zao mbalimbali zaendelea kuvuja au kuachiliwa, mojawapo ya hivi karibuni na Elon Musk kushikana mashati na waziri wa fedha wa Marekani katika moja ya vikao kazi vyao ambapo ilibidi hadi watu wazima...
  8. Waufukweni

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu: Pato la Taifa (GDP) lakua hadi 5.5% mwaka 2024, mfumuko wa bei wabaki imara

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) kwa mwaka 2024 umefikia asilimia 5.5, ukilinganishwa na asilimia 5.1 kwa mwaka 2023 na asilimia 5.4 kwa mwaka 2022. Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha mwaka 2025/26 Bungeni leo...
  9. GENTAMYCINE

    Kwanini Coverage ya Msiba wa Baba Mkwe wa Waziri wa Fedha Nchemba katika Online Tv's na Blogs mbalimbali imekuwa Kubwa sana?

    Kuna Mawaziri wengi tu Waandamizi Serikali hii hii nao Walifiwa na Watu wao wa muhimu, ila Coverage haikuwa kubwa.
  10. Waufukweni

    Klabu ya Singida Black Stars yamtangaza Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Mlezi wao

    Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi. Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga...
  11. Tlaatlaah

    Ukitathimini kwa kina, hivi kuna haja ya CHADEMA kuwa na chuki dhidi ya CCM ama kinyume chake?

    Mihemko kwenye mijadala, makasiriko kwenye hoja nzito, dhihaka kwenye ukweli, ghadhabu kwenye maoni tofauti, hasira na hata saa zingine kuporomosheana matusi mazito mizito bila hata sababu, Hua ni kwasababu ya nini hasa hayo hutokea my friends, ladies and gentlemen in these influential...
  12. GENTAMYCINE

    Mnahangaika sana na Speculations zenu ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi ama kumbadilisha au kumtumbua Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba

    Na sababu Kubwa ninaijua Mimi na nadhani hata hapa JamiiForums nilishawahi kuisema. Fanyeni Kazi msipoteze muda.
  13. Mindyou

    PreGE2025 Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba: Serikali imeanza kuondoa makato ya miamala

    Wakuu, Akizungumza katika kumbukizi hiyo waziri wa fedha Dkt mwigulu nchemba amesema kwa sasa serikali imeanza kuchukua hatua ya kuondoa baadhi ya makato ya miamala unapolipia huduma kwa njia za dijitali ili kuwezesha watanzania wengi kufanya malipo ya kidijitali "Sisi kama Serikali...
  14. El marabiosh

    Waziri wa fedha ajae akiwa kwenye picha ya pamoja na anayetarajiwa kuwa waziri wa afya

  15. upupu255

    Waziri wa Fedha apendekeza nyongeza ya Tsh. bilioni 945.7 kwenye bajeti ya serikali ya 2024/25. Pesa za Kampeni zinatafutwa?

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024. Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Mwigulu: Anayeongea ndiye Waziri Fedha, mkirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu imetoa pesa nyingi kama ya Sita

    Waziri wa Fedha, Mwigulu amejigamba Mbungeni kuwa "Anayeonge ndiye Waziri Fedha, mikirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu tumetoa pesa kama awamu hii ya Sita Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  17. Waufukweni

    Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari

    Wakuu Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari 2025 kama ilivyotangazwa wiki kadhaa zilizopita. Soma: Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu Nchemba na Gavana Emmanuel Tutuba Noti ya elfu 5 (5,000/-)...
  18. Carlos The Jackal

    Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

    Mambo yanazidi kua ya moto. Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
  19. Dalton elijah

    Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu Nchemba na Gavana Emmanuel Tutuba

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia tarehe mosi Februari mwaka huu. Gavana Tutuba amesema hayo wakati...
  20. N

    Bahati Nasibu ya Taifa kuja kivingine, Naibu Waziri wa Fedha athibitisha

    Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande Dar es Salaam– Sekta ya michezo ya kubahatisha nchini Tanzania imepiga hatua kubwa baada ya kutangazwa rasmi kuhusu ujio rasmi wa Bahati Nasibu ya Taifa Tanzania. Mradi huu ambao umepata baraka zote kutoka kwa Mhe. Hamad Chande, Naibu Waziri wa...
Back
Top Bottom