"Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka miwili kupata hati yake?" - Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya...
Waziri wa Ardhi Deogratius J. Ndejembi leo katika kilele cha wiki ya mwananchi katika dimba la Benjamin Mkapa amaekabidhi hati kwa klabu ya Yanga ili waweze kujenga uwanja wao pale Jangwani
Waziri wa Ardhi Unahujumiwa na watumishi wa idara ya ardhi pale Dodoma Jiji
Imekuwa ni kero kubwa sana kupata control number kwa ajili ya kufanya malipo ya kupata hati kwenye ofisi za jiji Dodoma.
Rafiki zangu wengi wamenunua viwanja Dodoma lakini toka mwezi wa tano wanafuatilia kupata...
Ni wiki sasa nimeweka kambi Dodoma kufuatilia hati za viwanja vyangu pale kwa maafisa ardhi jiji, urasimu ni mwingi, wanataka pesa, nikiwa DSM kuna mtu nilisema afuatilia baada ya mimi kufanya application mtandaoni manake siku hizi kuna e-ardhi kila kitu unaupload mtandani, lakini nikaambiwa...
# Wizara imeandaa programu maalum ya uendelezaji upya maeneo yaliyochakaa katika miji mbalimbali nchini. Programu hii itasaidia kuboresha huduma za msingi katika maeneo hayo na hivyo kuyawezesha kuchangia ipasavyo katika Pato la Taifa.
# Programu hii imelenga kuboresha maisha ya wakazi...
Assalamu alaikum,
Mheshimiwa Waziri wa Ardhi,
Nimekuja huku kukuomba kwa heshima kubwa—tafadhali wekeni TAKUKURU kwenye haya mabaraza ya ardhi.
Watanzania wengi wamepoteza haki zao kwenye haya mabaraza.
Haitoshi, wengi wameyafanya kuwa sehemu ya biashara zao—wale wenye hela ndio wanapewa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuchukua hatua za haraka za kuvunja nyumba iliyojengwa kimakosa katika kiwanja namba 1/31 kilichopo Block D, Iyumbu North jijini humo.
Waziri Ndejembi ametoa agizo...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi leo Aprili 3, 2025, amefanya ziara ya siku moja mkoani Njombe kwa lengo la kusikiliza na kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya wananchi wa eneo la Lunyanywi na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...
Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amezindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo kwa wananchi wa Jimbo hilo lililopo Mkoani Katavi.
Hafla ya Uzinduzi huo imefanyika tarehe 11 Machi 2025 katika hospitali...
Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Geoffrey Pinda, amewataka watumishi wa ardhi nchini kuacha kuyumbishwa na misimamo ya kisiasa, badala yake wanapaswa kutekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kusimamia sheria na kutoa maamuzi sahihi kuhusu migogoro ya ardhi.
Pia amesisitiza...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Mandeleo ya Makazi, Mhanidis Anthony Sanga kuunda kamati mara moja kwa ajili ya kushughulikia mgogoro wa ardhi wa kiwanja namba 01, Kitalu R kilichopo barabara ya Nyerere...
Nchi hii imebarikiwa sana na huu ndo ukweli halisi, Si mbunga za wanyama, ardhi zenye rutuba, mito, mistu maziwa, Bahari na madini vyote hivi vinapatikana Tanzania achilia mbali ambavyo sijataja kama ges na makaa ya mawe na vingine vingi.
Wakuu kuna vitu serikali inawafanyia wananchi wake...
Serikali inapambana sana kusaidia wananchi wapate HATI zao kwa wakati. Wizara ya Ardhi imekuwa mstari wa mbele sana kuhakikisha kilio cha HATI kinaisha, na tumekuwa mashahidi kwa sasa serikali imeongeza kasi kubwa sana kuhakikisha watu wanapata hati zao. Awamu hii ya sita imekuwa mstari wa mbele...
Niliwahi laani sana hawa mapapa wanaopiga viwanja vya watu
Mbaya zaidi ukifwatilia utakuta wizaran kuna wahuni kadhaa wameshiriki kugawa mara ya pili kiwanja kimoja
Leo EATV waziri kafikishiwa malalamiko ya kadhaa akaita maafisa wa ardhi
Akakuta mmoja ameshiriki 💯 kugawa mara ya pili kiwanja...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Deogratius Ndejembi amewataka Menejimenti na watumishi wa Wizara ya Ardhi kuondoa urasimu na kutoa hati milki za ardhi kwa wakati.
“Tuondoe urasimu, kama mtu ana nyaraka zote zinazohitajika, tuwape hati zao na tukumbuke sisi ni watoa huduma kwa...
Waziri wa ardhi nimekusikia ukizungumza na wanachi wa Chamakweza. Umeahidi kuwa utatuma tume yako.Naona kama ni kupoteza pesa za walipa kodi kwani shida hiyo ni Tanzania nzima.
Migogoro ya wakulima na wafugaji ni tatizo ambalo limeanzishwa na serikali kuruhusu kuwa nchi ya wachungaji badala ya...
Kwako WAZIRI wa ARDHI, ndugu Jerry Slaa
Mwaka Jana 2023, miezi ya kukaribia mwisho wa mwaka yalitoka matangazo katika wilaya ya Kigamboni, kuhusu mradi wa viwanja maeneo ya Pemba mnazi.
Masikini mimi nilibahatika kupata fomu ya kiwanja kidogo, kulingana na kipato changu. Kwa bahati nzuri...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya Wananchi wapatao 246 na muwekezaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage katika eneo la Kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi hao wanadai kutolipwa malipo...
Baada ya Mdau kuelezea kuhusu mchakato wa kubomoa nyumba zaidi ya 100 zilizopo Mapinga Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani, Serikali imechukua hatua ya kusitisha mchakato huo, malalamiko ya awali soma hapa ~ Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka...
Shikamoo Mheshimiwa
Shikamoo Kaka
Shikamoo Kiongozi
Shikamoo Kiongozi Mtenda Haki
DHUMUNI la kukuandikia waraka huu, kwasababu wewe ni mmoja ya viongozi ambae amekuwa anawatendea sana haki watu wanaodhurumiwa au kutaka kudhurumiwa mali zao(ardhi), maana dhuruma za ardhi nyingi zinatokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.