Poleni sana watanzania kwani tumepata waziri mkuu kilaza kuwahi kutokea, yaani anachokifanya ni upuuzi kiwango cha lami. Ameshindwa kabsa kuelewa kuwa kauli za viongozi ni dira ya taifa.
Ni kauli ambazo zinapaswa kutia moyo, kujenga matumaini na kuzungumzwa kwa umakini mkubwa na sio kuropoka...