waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Mh nimeskia waziri mkuu Leo anawasemea waliopona uraibu wa madawa ya kulevya wapewe ajira..

    Majobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la dawa za kulevya...huku Leo waziri mkuu ametoa Rai Kwa tamisemi kuwaajira waliopona uraibu, sasa...
  2. A

    Jamani majobless tunaosubiri ajira mmesikia huko waziri mkuu amewapa connection wanaopona uraibu wa dawa za kulevya

    Siasa hizi jamani! Waliopona uraibu wa madawa ya kulevya waziri mkuu ametoa hoja tamisemi huko wapewe ajira ...vipi inawatazama vipi vijana ambao wanaelekea kutumia hayo madawa sababu ya kukosa muelekeo wa maisha...kumbe wanasuburi waharibikiwe alafu ndo waje watoe ajira Kwa wagonjwa
  3. Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali yatenga sh. Bilioni 787 za mikopo ya wanafunzi

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika mwaka 2024/2025, Serikali imetenga kiasi cha sh. bilioni 787 kwa ajili ya kukopesha wanafunzi 250,000 wakiwemo 80,000 wa shahada ya kwanza ambao ni wapya. "Maandalizi ya awali yameanza ikiwa ni pamoja na kusambaza mwongozo wa upangaji na utoaji...
  4. Waziri Mkuu Majaliwa Apongeza Hatua za Ufutaji wa Leseni na Maombi ya Leseni Yasiyo na Sifa

    WAZIRI MKUU MAJALIWA APONGEZA HATUA ZA UFUTAJI WA LESENI NA MAOMBI YA LESENI YASIYO NA SIFA -Aagiza maeneo hayo kupewa wachimbaji wadogo na wawekezaji walio tayari -Ampongeza Waziri Mavunde kusimamia zoezi la ufutaji Leseni -Aagiza TAMISEMI na MADINI kukaa kutatua ongezeko la tozo za...
  5. Series inayomuandaa Makonda kuwa Waziri Mkuu kabla ya uchaguzi

    Ndugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda sakata la sukari litamfanya Rais kuvunja baraza la mawaziri Makonda atapendekezwa kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bunge litamthibitisha kuwa...
  6. Gautam Adani akutana na Waziri Mkuu wa Bhutan

    Waweka Saini Makubaliano ya kuzalisha 570 MW za Kiwanda cha Umeme wa Maji Safi katika Taifa la Himalaya Juni 2024 Mwenyekiti wa Kundi la Adani, Gautam Adani, amekutana na Waziri Mkuu wa Bhutan Tshering Tobgay na kutia saini ya Makubaliano na Druk Green Power Corporation ya nchi hiyo kwa ajili...
  7. SoC04 Achievement significant for Tanzania’s economy development in the next five or ten

    Tanzania is a country with great potential for economic growth and development. However, in order to achieve significant progress in the next five to ten years, there are several key areas that need to be addressed. First and foremost, the government must prioritize investment in...
  8. N

    Ni vipi vigezo vya kufanyakazi Ofisi za Waziri Mkuu, Makamu wa Rais , ofisi za Rais? Unapaswa kuwa na kiwango gani cha elimu

    Wanaofanya kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Makamu wa Rais , Ofisi ya Rais wanabidi wawe na vigezo gani au elimu gani? ajira zao zipoje? Elimu yao au taaluma zao? Ajira wanaombea wapi? Karibuni tujadili tuwasaidie vijana wenye Ndoto hiyo_ kwa uwazi
  9. Waziri Mkuu anajibu maswali ya Wabunge, Bunge la 12 Mkutano wa 15 Kikao cha 47, Juni 13, 2024 Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=b72QKndzitE
  10. Live Bungeni: Kukosekana kwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Kumepelekea Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Kukosa Impact?

    Wanabodi, Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba kuuliza, jee kuna uwezekano wa kukosekana kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kumepelekea kupunguza...
  11. Waziri Mkuu Modi awashukuru viongozi wa dunia kwa salamu za pongezi wakati wa sherehe ya kuapishwa kwake

    New Delhi [India], Juni 2024 Waziri Mkuu Narendra Modi amejibu jumbe mbali mbali za pongezi kutoka kwa viongozi wa dunia baada ya kuapishwa kwake kwa muhula wa tatu mfululizo. Narendra Modi aliapishwa kuwa Waziri Mkuu wa India kwa muhula wa tatu mfululizo Jumapili katika sherehe ya kuvutia...
  12. Naibu Waziri Mkuu Biteko Apongeza Mikakati ya Kuinua Elimu Dodoma Jiji

    NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO APONGEZA MIKAKATI YA KUINUA ELIMU DODOMA JIJI - Ampongeza Mbunge Mavunde kwa ubunifu wa Teachers’ Breakfast Meeting - Mbunge Mavunde agawa photocopiers kwa ajili ya uchapishaji wa mitihani - Prof. Mkenda aanika mikakati ya serikali kwenye Elimu - RC Senyamule aeleza...
  13. Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kama Hayati Rais John Pombe Magufuli kama Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine.

    Ni miaka 40 toka aondoke Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine,na ni miaka mitatu toka aondoke Hayati Rais John Pombe Magufuli, Viongozi awa wametuachia alama za Uongozi wao wa mfano kwa jinsi walivyokuwa na uadilifu na kufuatilia utendaji kazi huku wakikemea ulaji rushwa,ubadhirifu wa mali...
  14. C

    RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

    Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi. Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
  15. U

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau kulihutubia Bunge la Marekani muda wowote

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa rasmi kutoka Congress Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni. Mungu ibariki Israel
  16. Naibu Waziri Mkuu Biteko: Aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini

    "Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
  17. K

    Mwendesha Mashkata wa ICC aomba Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu na Waziri wake wa ulinzi kwa uhalifu wa kivita huko Palestine

    Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita. Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba...
  18. Mbunge Martha Mariki akimuuliza swali Bungeni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    "Serikali inafanya kazi nzuri na kubwa kujenga miundombinu ya Elimu na kuhakikisha Elimu inafika nchini kote lakini kumekuwa na changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu hali inayopelekea Wanafunzi kupanga vyumba mtaani na Kuhatarisha Usalama wao. Je, Serikali haioni umuhimu wa kuleta Sera...
  19. L

    PreGE2025 Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa ashiriki Tulia Marathon Mkoani Mbeya, watu wamiminika na kufurika kwa wingi

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa leo hii ameshiriki Tulia Marathon Mkoani mbeya. Mbio ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka chini ya udhamini wa Tulia Trust iliyo chini ya Mheshimiwa Speaker wa bunge la jamuhuri ya muungano wa...
  20. Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao

    Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…