waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu atembelea wanajeshi wake huko Gaza

    Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI leo hii kaamua kuwa te Bełda wanajeshi wake walioko huko Gaza aliambatana na Waziri wa Ulinzi wa Israel na Mkuu wa Majeshi wa Israel na kuwatia moyo kwa kuwaambia kuwa wako huko kwa ajili ya kulinda Taifa lao na wako huko ili...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Biteko hapewi nafasi bungeni kujibu hoja kama Naibu Waziri Mkuu?

    HOTUBA YA WAZIRI MKUU inajadiliwa Bungeni na mawaziri mbalimbali wanajibu hoja kwanini Dotto Biteko hapewi nafasi na Spika kujibu hoja za wabunge kama Naibu Waziri Mkuu? Nimefuatilia sana suala hili nimeona nije huku niwaulize wajuzi wa mambo maana hata siku anaapishwa tuliambiwa atakuwa ndiye...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu JK Kikwete awasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville)

    Rais wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville), COLLINET MAKOSSO Anatole. Anatole alipokea ujumbe huo wa maandishi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Congo, Denis...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atoa salamu za Pasaka kwa wananchi wa Israel

    "Katika usiku wa seder, tunakusanyika na wapendwa wetu kusimulia safari kutoka utumwa hadi uhuru. “Lakini mwaka huu, familia nyingi zitaona viti vitupu—wale mateka wetu bado wanashikiliwa na Hamas, mashujaa wetu walioaga dunia, na waliojeruhiwa ambao wanapigania kufufuka. “Imbeni na kusaidiana...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete awasilisha ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha ujumbe Maalum wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed. Ujumbe huo umewasilishwa Ikuku jijini Addis Ababa April 11, 2025. Mhe. Kikwete pia aliwasilisha Salamu za Rais Samia ambazo...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Gulamali: Tunamuomba Sana Rais Samia Amteue Tena Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mbunge wa Jimbo la Manonga Mkoani Tabora Seif Khamis Gulamali ameitaka Serikali kutosita kuchukua mikopo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania, akieleza kuwa deni la Taifa ambalo limetajwa kuwa ni Tsh. trilioni 97 bado ni himilivu na la chini kulinganisha na Mataifa...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Busega umetumwa au umejigeuza CHAWA wa Waziri Mkuu Majaliwa ???

    Wana JF , Heshima kwenu!! Moja kwa moja kwenye mada, Leo katika Bunge alipokuwa anachangia hoja juu ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ,Ndugu Simon Songe,umetumia muda mwingi kumsifia waziri Mkuu, huku ukiwataka wakazi wa Lindi mintarafu Ruangwa kumwamini Waziri Mkuu,ukirejea kuwa kaleta...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo inachambua bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu

    https://www.youtube.com/live/boUBc1geEE0 UCHAMBUZI WA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI 2025/26 “Serikali inaogopa uchaguzi huru na haki” Utangulizi Tarehe 09 Aprili 2025 Waziri Mkuu aliwasilisha Bungeni mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu: Vijana wanaopata VVU ni takriban 34.3%

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa,amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari kwa kuwa ugonjwa wa UKIMWI bado ni tishio na kuongeza kuwa kiwango cha maambukizi mapya ni watu 60,000 kila mwaka ambapo vijana wanaopata VVU maambukizi ni takribani asilimia 34.3...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Pato la Taifa limekua kwa asilimia 5.5

    "Mwenendo wa viashiria vya uchumi na bajeti katika mwaka 2024/2025 umeendelea kuwa wa kuridhisha. Katika mwaka 2024, Pato halisi la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 5.5 ikilinganishwa na asilimia 5.1 mwaka 2023. Ukuaji huo ulitokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa umeme; uimarishaji wa...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aitakia heri Simba SC dhidi ya Al Masry

    Waziri Mkuu Majaliwa akisoma bajeti yake aitakia heri Simba SC dhidi ya Al Masry
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Mapato ya ATCL yameongezeka kutoka Tsh Bilion 254 hadi TSh. Trilioni 1.5

    Shirika la Ndege Tanzania ATCL limeongeza mapato yake kutoka Shilingi Bilioni 254 mwaka 2021 hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.5 Februari mwaka 2025, ikichangiwa na Ongezeko la Ndege na safari za ndege kwenda nje ya nchi, kulikofanywa na Serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Majaliwa: SGR Dar - Dodoma yakusanya TSh. Bilioni 54.9

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kwa kipindi cha Agosti Mosi 2024 mpaka Februari 2025, Jumla ya shilingi Bilioni 54.9 zimekusanywa kwenye huduma ya usafiri wa reli kati ya Dar Es salaam - Morogoro - Dodoma. Waziri Mkuu Majaliwa amebainisha hayo leo...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Zaidi ya ajira milioni 8 zimezalishwa kupitia sekta ya umma na sekta binafsi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitoa hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri mkuu na Bunge 2025/2026 "Serikali imeendelea kubuni na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuzalisha fursa za ajira nchini kupitia uwekezaji na utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa bomba la mafuta...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Lindi mna Waziri Mkuu Mweupe, Maisha yenu magumu

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akiwa Lindi jana Aprili 3, amesema watu wa Lindi wana Waziri Mkuu mzuri, mweupe lakini watu wake wana maisha magumu sana, na kutaka wajue kwanini CHADEMA wanasema kama hakuna mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi watazuia Uchaguzi usifanyike. Kupata...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035)

    Tanzania itaandika historia nyingine kwa kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035). Asante kamati kuu.. **Tunajivunia utaifa wetu
  17. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Israel akitoa maelezo yanayojiri huko Gaza

    Sasa tunapitia Ukanda wa Gaza, na tunaongeza shinikizo hatua kwa hatua, kuteka maeneo na kuwaondoa magaidi." https://x.com/vividprowess/status/1907465451640115531?s=61
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Hamas Ismail Barhoun aangamizwa alipokuwa amejifichwa kwenye hospitali huko gaza

    IDF muda mfupi uliopita imemuua gaidi mkuu wa Hamas Ismail Barhoum ndani ya Hospitali ya Nasser huko Khan Younis, kusini mwa Gaza. Kulingana na ripoti za ndani, ndege isiyo na rubani ya IDF iliruka hadi hospitalini, ikamtafuta Barhoum, na kisha ikalipuka baada ya kumpata, ikiepuka uharibifu...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya waziri mkuu nilitegemea bodi ya mikopo ya ELIMU ya juu isimamishwe na taasisi zote za elimu ya juu tofauti na hapo yeye ajiuzulu

    Waziri mkuu ndo mwenye dhamana ya juu kabisa katika utendaji wa serikali ikiwemo wizara ya ELIMU Kauli yake haiwi ushauri Bali ina mamlaka na ukweli wa utendaji wa serikali Kitendo Cha kuonyesha madhaifu na mapungufu makubwa ya mfumo muhimu katika Taifa lolote ambao uko chini ya wizara ya...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa: Rais Samia ametimiza miradi yote ya kimkakati

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, madarakani ameweza kutekeleza miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na watangulizi wake akiwemo Dkt. John Pombe Magufuli. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…