waziri mkuu mwigulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu akagua athari kwenye majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo Kyela

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Desemba 18, 2025 amekagua majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela ambayo yaliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya umma na mali za watu binafsi zilizoathiriwq...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu: Watanzania Tunzeni Akiba ya Chakula, Mvua zimechelewa

    Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua. Waziri Mkuu ametoa wito huo leo jioni (Jumapili, Desemba 14, 2025) wakati akizungumza na baadhi ya Wakuu wa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu azungumza na viongozi wa sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma

    DKT. MWIGULU AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 11, 2025 amezungumza na watendaji na viongozi wa Sektretarieti ya Maadili kwa viongozi wa Umma, katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo jijini Dodoma. Akizungumza na...
  4. JamiiForums Tanzania Maoni ya Idu: Ridhiwani Kikwete ana hoja kuliko Waziri mkuu Mwigulu Nchemba

    Simtetei kuwa hausiki na ufisadi na nepotism inayombeba kiasi cha kupewa wizara nyeti kama hii anayoisimamia. Lakini kitendo cha kukilri hadharani kuwa tuhuma za ufisadi dhidi ya viongozi wa CCM ndio zilisababisha wananchi kuichukia CCM na kuandamana Oktoba 29 ni dhahiri kuwa yupo makini kuliko...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Jambo TV wamefuta kipengele cha Maswali ya Salim Kikeke kwa Waziri Mkuu Mwigulu

    Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Novemba 25, 2025, mkutano uliowapa fursa waandishi wa habari kuuliza maswali...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Yeyote atakayevunja sheria akamatwe na hatua zichukuliwe kwa usawa

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu, tunaomba upambane na Wachina wamegoma kuondoka kwenye biashara za wazawa

    Wachina wanatudharau sana jamani Pamoja na kupitisha Sheria Kali Bado wanaendelea na biashara kama hakuna kitu Ni dharau sana
  8. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mwigulu leo ghafla pesa zimeacha kuwa za Samia na kuwa pesa wananchi? Gen-Z hakuna kulegeza kamba

    Wakuu Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania? Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Aliyekamatwa na mabomu hajabisha, baada ya kuhojiwa alisema amebeba kwa ajili ya kujihami

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Nov 25, Waziri Mkuu amesema kuwa raia mwenye uraia pacha aliyekamatwa naa mabomu baada ya kuhojiwa alisema kuwa amebeba mabomu hayo kwa ajili ya kujihami kwa kuwa lisisia Tanzania kuna matishio ya kiusalama. Pia soma PostGE2025 - Polisi: Tumemkamata...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu ahoji maandamano ya Oktoba. Maandamano gani watu walikuwa well armed?

    Akizungumza na waandishi wa habari amehoji ni maandamano gani hayo ambayo watu walikuwa wamejipanga na wana silaha kabisa huku wengine wakiwa hawaongei kiswahili. Amegusia pia kuhusu Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa na mabomu. Anahoji ni utaratibu gani huu? === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu: Tanzania haitaendeshwa kwa 'Remote', Magari 1642, vituo vya mafuta 672, bodaboda 2268 vilichomwa moto

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari pamoja na waandishi wa habari, akihitaji nguvu kuunganishwa ili kufikia malengo ya Dira 2050. Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Nawashukuru Wahariri na vyombo vya habari Tanzania kwa...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri mkuu Mwigulu: Wanaopiga filimbi hawapo nchini, wewe unajua wanatumwa nani? Rasilimali za nchi zitalindwa kwa gharama yoyote

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa wale wote wanaopuliza filimbi ya kuhamasisha wananchi wachome nchi hawapo nchini, na kwamba kuna waliopelekwa kufanya hivyo. Amesisitiza kuwa rasilimali za nchi zitalindwa kwa gharama yoyote ile. Kauli hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…