Naandika haya nikiamini utayasoma kwakuwa wewe ni mmoja wa wanajukwaa JF
Sasa hivi nchini kuna makampuni mengi yanayoagiza mali zilizokwisha tumika toka nje.
Ni jambo zuri sana kwani huwawezesha wenye kipato kidogo wasioweza kumudu kununua baadhi ya vitu vipya, kununua hivi vya mitumba...
Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu.
Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono.
Tatizo linaweza kuwa maeneo haya:
1. Je waliopigiwa makofi mengi...
DKT. MWIGULU AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI WA FAO
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Bi. Beth Bechdol jijini Dar es salaam leo tarehe 3 Februari, 2026.
Pamoja na mambo mengine, Viongozi hao...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Bank kuu kama msimamizi wa sera kuna wakati akitaka mfumuko wa bei uwe chini kwenye fedha tu achilia mbali dhahabu wanatumia ligwidipaper zake za kupunguza fedha za kwenye mzunguko ndani ya nchi.
Sasa leo hii kwa Bank Kuu wamesababisha wachimbaji wadogo...
Kuna vitu vinafanywa na serikali ukiviangalia vinaumiza, vinatia watu hasira, na hata hakuna anayejali, au kuumia kama ambavyo Wananchi tunaumia.
Hapo juu kuna picha nne, ingawa nimeziunganisha ili zikae sehemu moja, ni picha ya gari la taka, nyingine la kukusanya uchafu na nyingine ni mashine...
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ametoa agizo la Mama aliyeporwa eneo lake la ardhi kurejeshewa ndani ya siku saba, ameeleza mama huyo alinunua eneo hilo 2009 na alipofikisha suala hilo la kuporwa ardhi yake Mahakama ilimpa haki lakini mshatakiwa alimpora tena kutokana na uwezo wake mkubwa wa fedha...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi.
Ametoa onyo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza na wagonjwa na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea mkoani...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekishutumu chama kimoja cha siasa nchini akidai kinatumika na maslahi ya nje kuvuruga amani na mwelekeo wa taifa, akisisitiza kuwa Tanzania haiwezi kuongozwa kwa rimoti kutoka nje ya mipaka yake.
Akizungumza na wananchi wa...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Desemba 18, 2025 amekagua majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela ambayo yaliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya umma na mali za watu binafsi zilizoathiriwq...
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua.
Waziri Mkuu ametoa wito huo leo jioni (Jumapili, Desemba 14, 2025) wakati akizungumza na baadhi ya Wakuu wa...
DKT. MWIGULU AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 11, 2025 amezungumza na watendaji na viongozi wa Sektretarieti ya Maadili kwa viongozi wa Umma, katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo jijini Dodoma.
Akizungumza na...
Simtetei kuwa hausiki na ufisadi na nepotism inayombeba kiasi cha kupewa wizara nyeti kama hii anayoisimamia.
Lakini kitendo cha kukilri hadharani kuwa tuhuma za ufisadi dhidi ya viongozi wa CCM ndio zilisababisha wananchi kuichukia CCM na kuandamana Oktoba 29 ni dhahiri kuwa yupo makini kuliko...
Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Novemba 25, 2025, mkutano uliowapa fursa waandishi wa habari kuuliza maswali...
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji...
Wakuu
Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania?
Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Nov 25, Waziri Mkuu amesema kuwa raia mwenye uraia pacha aliyekamatwa naa mabomu baada ya kuhojiwa alisema kuwa amebeba mabomu hayo kwa ajili ya kujihami kwa kuwa lisisia Tanzania kuna matishio ya kiusalama.
Pia soma PostGE2025 - Polisi: Tumemkamata...
Akizungumza na waandishi wa habari amehoji ni maandamano gani hayo ambayo watu walikuwa wamejipanga na wana silaha kabisa huku wengine wakiwa hawaongei kiswahili.
Amegusia pia kuhusu Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa na mabomu. Anahoji ni utaratibu gani huu?
===
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari pamoja na waandishi wa habari, akihitaji nguvu kuunganishwa ili kufikia malengo ya Dira 2050.
Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo
Nawashukuru Wahariri na vyombo vya habari Tanzania kwa...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa wale wote wanaopuliza filimbi ya kuhamasisha wananchi wachome nchi hawapo nchini, na kwamba kuna waliopelekwa kufanya hivyo. Amesisitiza kuwa rasilimali za nchi zitalindwa kwa gharama yoyote ile.
Kauli hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.