Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki hafla ya maadhimisho ya Miaka 108 ya Jamhuri ya Finland, iliyofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 05 Desemba, 2025.
Akizungumza katika hafla hiyo, Mhe. Kombo ameipongeza Finland kwa...