waziri bashe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. gimmy's

    Waziri Bashe tambua wewe ndiye Yusufu wa Biblia, tafadhali usimpotoshe mfalme

    Nakumbuka kisa cha yusuf.u wa bibilia kule misri ambapo mfalme aliota ndoto ile ambayo ilimshinda tafsiri,baada ya ndoto ile kujirudiarudia ndipo kukaonekana haja ya kumpata mtu atakae weza kuitafsiri. Tafsiri ya yusuf.u ilibaini kwamba kutakuwa na miaka mitatu ya neema sana ambapo yusufu...
  2. U

    Waziri Bashe, TADB wanakopesha wakulima gani?

    Habari ndugu wanajamii.Kuna benki inajiita ya kilimo tanzania hawa jamaa sijuhi wanakopesha wakulima wa nchiiii gani??Au ipo kisiasa na kimtego kuadaa wananchii. Ukienda pale watakwambia uende kwenye benki za biashara kwamba wanamakubaliano nao kukopesha wakulima na Wafugaji.Lakini kule benki...
  3. M

    Bashe aachie Uwaziri

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa mara ya kwanza amejitokeza hadharani kuomba msaada wa mawazo na ushauri wa namna ya kuendesha Wizara ya Kilimo. "Ukiwa na muda tafadhali nipe mawazo yako kuhusu Kilimo na usalama wa Chakula kwa nchi za Afrika haswa hapa nyumbani kwetu Tanzania Nini kifanyike...
  4. saidoo25

    Naomba Wasifu (CV) ya Waziri Bashe tulinganishe na anayofanya

    Kumekuwepo na sintofahamu kubwa kuhusiana na Kauli ya Waziri wa Kilimo kuilazimisha Central Bank kutoa upendeleo kwa Benki mpya ya Bashe inayoitwa Benki ya Ushirika ili kuweka masharti nafuu ya utoaji wa mikopo. Pia, nimeona Bashe ameingia kwenye mzozo kuhusiana na ruzuku ya Mbolea na kuleta...
  5. S

    Waziri Bashe: Tutailazimisha Benki Kuu kuipa upendeleo Benki ya Ushirika

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hawataiomba Benki Kuu ya Tanzania bali watailazimisha kutengeneza mfumo utakaowezesha Benki ya Ushirika kupata upendeleo wa kurahisisha utoaji wa mikopo kwa wakulima Pia soma Waziri Bashe aipaka matope Tanzania Kimataifa
  6. saidoo25

    Waziri Bashe aipaka matope Tanzania Kimataifa

    Kauli ya Waziri Kilimo Hussein Bashe kuilazimisha na kuishinikiza Benki Kuu ya Tanzania kuacha kusimamia sheria zilizopo na kufanya upendeleo kwa Benki ya Ushirika katika mfumo wa utoaji wa mikopo. 1. Benki Kuu ya Tanzania imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
  7. SOVIET UNION

    Waziri Bashe aache sifa apige marufuku Uuzaji wa Chakula nje

    India mwezi jana ilipiga marufuku kuuza ngano nje ili kulinda soko la ndani make bei ya ngano kule India ilikuwa imeanza kupanda kwa kasi sana. Kumbuka wale Ngano ndo chakula kikuu na Wali pia. India ni mzalishaji mkubwa wa Ngano Duniani lakini iliona hatari kwa raia wake kuuziwa ngano bei ya...
  8. Patriot

    Bei ya mbolea: Waziri Bashe amepotosha Bunge na kushangiliwa kwa kelele tu

    Nimetembelea ukurasa wa World Bank ambako Bashe alichota bei na kuzilinganisha na mwaka huu, 2022. Kwa maoni yangu, Waziri huyu hafai au an ufahamu mdogo. Lakini pia naona bunge likishangilia kila mtu anayetumia kelele kujidai kutetea wananchi. Hapa Bashe alitumia kelele kutetea wakulima...
  9. kaligopelelo

    Zoezi la ugawaji wa pembejeo kwa wakulima, RC Mtwara wabane sana viongozi wa vyama vikuu vya ushirika kuna mchezo wanaucheza

    Zoezi la ugawaji wa pembejeo Kwa kiasi kikubwa linatiwa dosari na viongozi wa vyama vikuu vya ushirika. Wengi wao wanahujumu pembejeo za wakulima Kwa kujilimbikizia viwatilifu na kuviiza. Lakini pia waangalie Kwa umakini maafisa ushirika Kuna mchezo wanaucheza Kwa kushirikiana na makatibu wa...
  10. B

    Waziri Bashe, wauzaji wengi wa pembejeo za kilimo hawana utaalamu wa kilimo na mifugo

    Mh Bashe , wewe ni miongoni mwa mawaziri mnaochapakazi na zinaonekana, hongera sana. Ombi langu kwako nalielekeza kwenye maduka ya pembejeo za kilimo na mifugo...kwakweli kumejaa makanjanja wengi sana. Wauzaji wao wengi hawana utaalamu wa kilimo au mifugo. Na wale walio na wataalamu basi ni...
  11. J

    Waziri Bashe akutana na wawekezaji wa kiwanda cha mbolea

    Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa kampuni ya Pioneers Chemical Factory Co. Kutoka Nchini Saudi Arabia, wenye lengo la kuwekeza Katika uzalishaji na usambazaji wa mbolea Nchini. Kikao hicho kimefanyika katika ofisi ya Wizara ya Kilimo jijini...
  12. J

    Waziri Bashe: Tuko kwenye hatua ya mwanzo ya mradi wa kesho imara

    WAZIRI BASHE: TUKO KWENYE HATUA YA MWANZO YA MRADI WA KESHO IMARA. "Nataka kukufahamisha kuhusu ‘Building a better tomorrow’ project Mradi huu uliopo hatua za mwanzo sisi wizara tutatenga fedha, kima cha chini 5B kwa kuanzia. Kwasababu: Vijana hawaendi shambani na hawana motisha kuingia katika...
  13. waziri2020

    Waziri Bashe azikaanga kampuni za TBL, Serengeti. Agomea kukutana nao

    Mwandishi wetu, Waziri wa kilimo nchini, Husein Bashe "amezinyooshea vidole "kampuni za bia za Tanzania Breweries Ltd pamoja na Serengeti kwamba endapo watashindwa kuingia makubaliano na wakulima wa shayiri wasahau kukutana na yeye. Bashe,alitoa kauli hiyo Jana katika kituo cha utafiti wa...
Back
Top Bottom