waziri bashe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    PreGE2025 Waziri Bashe amuomba Spika Tulia akagombee ubunge jimbo la Uyole na si Mbeya Mjini

    Wakuu Watu wa uyole wamefikiwa sasa, Stuxnet upo wapi, Spika Tulia Akson Mwansasu atakubali kuliachia jimbo la Mbeya mjini uchaguzi wa mwaka huu akagombee Uyole? Waziri wa kilimo Hussein Bashe leo Mei 21, 2025, katika mkutano wa 19 wa Bunge la 12, jijini Dodoma, akiwasilisha hotuba ya bajeti...
  2. Fbn

    Waziri Bashe suala la Malawi ndio tiketi ya kukosa ziwa Nyasa. Najua Serikali haijawahi kufanikiwa kesi

    Tokea kupata uhuru ni serikali ya CCM ndio ipo madarakani, hakuna serikali nyingine mnayowadanganya wananchi kuwa mkinichagua mimi nitaleta maendeleo. Kitendo cha Waziri wa Kilimo Bashe bila kujua uzee wake unaweza kuwa majuto sio marehemu majuto unaweza kupelekea kujuta haya. Malawi...
  3. K

    Waziri Bashe katika makosa mengine ya kuepukika

    Ni ukweli usiopingika kuwa waziri Bashe anafanya makosa yanayoweza kuepukika hususani yale yanayoweza kuhatarisha diplomasia ya nchi kwa nchi ambapo nyenzo kubwa ya kudumisha diplomasia ni mazungumzo na falsafa ya Rais Samia ya 4R inasimamia hilo. Hili la kuzuia bidhaa kutoka Malawi na Afrika...
  4. Jidu La Mabambasi

    Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

    Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana. Hawa jamaa wanatuchezea. Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali. Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire. Sijui Basheanatupa ujumbe gani...
  5. S

    Wakulima wa Tumbaku Tabora wasema Bashe hafai kuwa Waziri anamharibia Rais Samia

    WAKULIMA wa Tumbaku Tabora wamepaza sauti zao kwa Rais Samia kumuondoa kwenye nafasi ya uwaziri wa Kilimo Mheshima Bashe kwani anamharibia sana kwa wananchi kutokana na kushindwa kuisimamia wizara ya Kilimo... Wasikilize kwenye hii link wakulima
  6. N'yadikwa

    Baada ya Kauli ya Waziri Bashe; Je, Viwanda vya Chai vya Chivanjee na Msekela Rungwe kufufuka tena?

    Wiki hii Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, alihutubia wajumbe wapya wa Bodi ya Chai inayoongozwa na Banker Abdulmajid Mussa Nsekela. Katika hotuba yake, Waziri Bashe alimwelekeza mwekezaji na mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji, kushirikiana na Bodi hiyo kwa lengo la kufanikisha...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Waziri Bashe aonya Halmashauri kutoziweka tozo kandamizi kwa wakulima wa Parachichi

    Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (MB),akizisisitiza Halmashauri kuhakikisha kuwa tozo zinazowekwa kwenya zao la Parachichi haziwakandamizi wakulima. Bashe ameeleza hayo katika Mkutano Mkuu wa Parachichi uliofanyika hivi karibuni wa wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo wakiwemo wakulima...
  8. Carlos The Jackal

    Yuko wapi Waziri Bashe, atupe Mrejesho wa BBT?

    Waziri Bashe, mwaka 2025 Huu, vipi Vijana bado wako mafunzon?
  9. USSR

    PreGE2025 Taswira ya waziri Bashe nje na ndani ya Nzega ni tofauti sana na ujuavyo

    Copy and paste Viongozi wengi wa kisiasa huwa wanajitengenezea taswira fulani ktk uongozi wao. Kwa mfano aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, alijijengea taswira inayofanana kidogo na taswira ya wayahudi (wana wa Israel), taswira ya uchapa kazi na ushujaa dhidi ya mafisadi, kwa wakati huo wa...
  10. S

    Waziri Bashe ni mgonjwa sana ashindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Nzega

    MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini. Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri...
  11. Pfizer

    Waziri Bashe awalipua waliopiga pesa za tumbaku Tabora zaidi ya Sh. Bilioni 1.2 mbele ya Makamu wa Rais

    Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu. Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashe ampa tano Mbunge Cherehani kwa kuonyesha uzalendo Sekta ya Kilimo

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amempongeza Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kwa kuendelea kuonyesha uzalendo katika kuendeleza sekta ya Kilimo. Waziri Bashe ameeleza hayo wakati akizungumza na Wananchi wa kata ya Ushetu akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Shinyanga ambapo...
  13. R

    Ushauri: Waziri Bashe awekwe pembeni ili amalizane na kesi zinazomkabili mahakamani

    Salaam, shalom!! Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri, Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali...
  14. CCM MKAMBARANI

    PreGE2025 Mpina anatumia nafasi hii ili arudi kwenye uwanja wa siasa baada ya kupotea kwenye ramani

    Habari za wakati huu wanajamiiforum? Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini. Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa, je hajui uozo uliokuwepo wakati wa baba yake Magufuli? Jibu ni hapana,alikuwa anajua na alifaidika na mfumo. Mpina...
  15. BARON99

    Sakata la Mpina na Waziri Bashe, nilivyoelewa kwa Lugha Rahisi

    Hili sakata wakati nasoma uzi humu kwa mara ya kwanza nilikuwa sijalielewa lilivyo. Nikasema acha nizame U-tube kujua likovipi ndio nikapata kuelewa mwanzo, kati na mwisho ulivyo hebu twende pamoja kwa ambaye hajaelewa kama mimi kwa Lugha nyepesi Iko hivi waziri wa kilimo wakati anawasilisha...
  16. Carlos The Jackal

    Spika Tulia, Kanuni zako haziondoi Uhalali wa shahidi za Ushahidi wa Mpina dhidi ya uongo wa Waziri Bashe !!.

    Katika kosa kubwa ulolifanya siku ya Leo 18/6/2024, ni ku Overlook nini hasa kiini kilicholifikisha Taifa hili Mahali hapa . Umetumia muda mwingi sana Toka tarehe 14/6/2024, kutafuta ni wapi na kanuni gani Mpina kavunja !!. Kwa Namna ulivyowasilisha suala hili la MPINA, umetumia Muda mwingi...
  17. R

    Nani alitakiwa kupelekwa kamati ya Maadili kati ya Ndugu Mpina na Waziri Bashe?

    Salaam, Shalom!! Nani amekosa Maadili kati ya Hawa wawili? Ni yule aliyedhamiria viwanda vya ndani vifungwe Kwa kuletewa sukari Toka nje ,fake, GMO ya Bei Chee yenye kuuzwa Bei sawa na sukari ya ndani yenye ubora, ilipiwayo Kodi, iliyoajiri Watanzania? Anayepaswa kuhojiwa ni aliyelidanganya...
  18. figganigga

    FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

    MAELEZO MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKIWASILISHA USHAHIDI WA VIELELEZO KWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. TULIA ACKSON (MB) KUHUSU WAZIRI WA KILIMO MHE. HUSSEIN MOHAMED BASHE (MB) KUSEMA UONGO BUNGENI LEO TAREHE 14 JUNI 2024. MHE...
  19. The Sheriff

    Baada ya kauli ya Waziri Bashe na TBS kuhusu Mchele wa msaada toka Marekani, nini kinaendelea?

    Baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Hussein Bashe ambaye ni Waziri wa Kilimo alieleza kuwa waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kwani Tanzania ina hazina ya mchele. Hata hivyo, muda si mrefu...
  20. K

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Mada hii ni kuelezea mashaka makubwa niliyonayo kwa Waziri wetu wa kilimo namna maamuzi yake yanavyoweza kuharibu mahusiano ya kimataifa kama asipojirekebisha. Kwanza kabisa nianze Kwa 'declare interest' ,Sina mahusiano ya aina yoyote na NGO iliyoleta mchele wa msaada wenye virutubisho kutoka...
Back
Top Bottom