wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Walid- aliekuwa Sheikh wa Dar

    Barua ya wazi kwa Sheikh Walid Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Sheikh Walid, kwanza napenda kukufikishia pole zangu za dhati kwa mitihani na changamoto ambazo umekutana nazo katika kipindi hiki. Tunamuomba Mwenyezi Mungu akupe subira, nguvu na hekima katika kukabiliana na kila...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mufti mkuu wa Tanzania: wito wa uwazi kuhusu sakata la kuondoshwa Sheikh Walid

    KBARUA YA WAZI KWA MUFTI MKUU WA TANZANIA: WITO WA UWAZI KUHUSU SAKATA LA KUONDOSHWA SHEIKH WALID Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Yah: Ombi la kuweka wazi sababu za kuondoshwa Sheikh Walid ili haki na ukweli ujulikane Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Kwa heshima na taadhima...
  3. JamiiForums Tanzania Yoyote anayemtuhumu HECHE , mwenye Ushahidi, auweke wazi mbele ya Vyombo vya Habari !! Kwann mnamtuhum Kwa maneno maneno?.

    Mtu anaitwa Vyombo vya Habari, anasema, HECHE anakula Hela za TONETONE. unakuta Mtu huyo, anajikita ni Katibu wa BAVICHA Nanjilinji. Yaan wewe wa Nanjilinji hukoo maporin, unaanzaje Kufungua Kinywa chako kua HECHE Anakula Pesa??. Weka makaratasi Mezani !!!. Tuko na Heche mpaka Siku ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini ni wazi huyu kijana wa Bavicha pwani Katumwa chukua hizi hints za kijasusi

    Guys. Ssi wataalamu wa intelijensia tushajua tayari hilo ni gharasa limetumwa kushambulia. 1 Eyes contacts pamoja na kuongea peke yake mda mwingi alikuwa hajiamini kuiangalia kamera. 2. Kijana ameongea amejawa na wasowasi mwingi kwa ongea yake ya harakaharaka isiyokuwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Tuwe wazi, hivi CCM ikitoka madarakani Kuna kiongozi yeyote anafaa kutuongoza

    Ile paaap Ccm Chali Kuna kiongozi yeyote ambaye ana mlengo wa kisiasa kupitia chama Cha Ccm atatufaa au tunaanza upya na viongozi wapya Binafsi naona kama Hawa jamaa wakianguka Tena Kwa njia ambayo ya wazi ambayo kuwaambia kuwa hatuwataki watoke madalakani ni vyema wote wakatafuta biashara...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma za ufisadi na rushwa zinazomkabili John Heche, ni wazi amekosa credibility ya kukosoa wengine kwenye masuala ya uadilifu.

    Huenda hii michezo ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama chake kwa manufaa yake binafsi na familia yake alianza kufanya muda mrefu huko nyuma. Na huenda hiyo ndio tabia yake halisi ya kutamani kujilimbikizia mali za chama...
  7. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kabisa kwenu vijana

    Nyie vijana mtambue kuwa hakuna umri wa mafanikio, mimi ni kati ya vijana nilianza kufanikiwa nikiwa na miaka 33 , yani hapo kwa umri huo buku sina , nilichokua nacho ni mind setting na akili ya pesa tu . Leo hii nikifilisika kabisa nikawa na 50 elfu tu , nitampita ambae anajiona yupo...
  8. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

    Toka nimeingia humu sikuwahi kufikiria nitapenda mtu, sikuwahi kufikiria Nitakuwa drawn kwa ID ya mtu maana nilikuwa najua maandishi haya reflect physical beauty... Kumbe I was wrong, sikujua how maandishi ya mtu hurelfect maisha halisi ya mtu husika hasa subconsciously... Ndipo nilipo kuja...
  9. JamiiForums Tanzania TCU: Dirisha la maombi ya udahili kwa Shahada ya Kwanza (2026/2027) lipo wazi leo Julai 10, litaendelea hadi Agosti 10, 2026

    TAARIFA KWA UMMA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZΑ ΚΑΤΙΚΑ ΤAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027 1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu...
  10. JamiiForums Tanzania Hii imenisikitisha sana hivyo sitalikalia wazi nitaliongea wa kujifunza ajifunze wa kunirushia mawe arushe

    Kuna kitu nimekishuhudia weekend hii ngoja nisimulie hapa labda mtajifunza hasa wazazi. Ijumaa nilikua chimbo moja nimekaa peke yangu natafakari ugumu wa maisha na harakati zake huku nasubiri mdada ambae tulikua na miadi nae, ni aina ya wale mabinti dishi limeyumba ila wazuri balaa, dkk 1...
  11. JamiiForums Tanzania Unapoona JWTZ wanatoa angalizo ujue wazi kuwa waandaaji wa maandamano ni Mataifa ya nje!

    Akili ndogo ya tafakari kama mwanazuoni wa siasa za kikanda au kiuchumi na kiulinzi na kiusalama inakupeleka kwenye hitimisho moja muhimu sana. Tanzania imekuwa "under attack" kwa muda mrefu sana ...rejea kwa nini tulimpoteza JMP baada ya kuanza kupambana na wafaidika wa makinikia???? Toka enzi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kiongozi wa Kata ya Buyombe – Ilemela (Mwanza) anauza maeneo ya wazi, RC tuma timu ikague

    Mwenyekiti wa Kata ya Buyombe, Wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza anauza maeneo ya wazi (open space) kinyemela, yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya shughuli za Kiserikali. Anaharibu ramani ya mipango miji na anatutengeneza mazingira mabovu ya makazi, tunaomba Mkuu wa Mkoa aje akomeshe tabia...
  13. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya wazi ni dhana nzuri?

    Kuna hii kitu inaitwa open relationship, yaani unakua na mtu wako ( tuseme mke au girlfriend) lakini anaruhusiwa kudinywa na mtu mwingine, vivyo hivyo wewe mwanaume unaweza kudinya demu mwingine! Is it not good idea. Tuseme mkeo hapati mimba kwanini tuonane wivu? At the end of the day hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania Mkishakuwa wahalifu muwezi kupelekana kwenye haki wala kunyoosheana vidole sehemu za wazi.

    Tokea kushika kijiti cha nchi na mpaka kuleta mauwaji October 29 2025. Ni ngumu muhalifu kuwanyooshea vidole wahalifu wenzake. Kwa mambo yanayoendelea haki jaribu kujifanya ana mtumbua basi wakubari siri zao zitakuwa kama zile za marehemu polepole alivyofanya. Ni ngumu kwa raisi kuwa mkali...
  15. JamiiForums Tanzania Zamani nilipokuwa South Africa, leo na gundua kwamba wa Zanzibar wakiwa huku wanajiona ni watu Kenya toka Mombasa

    Watu Zanzibar kama mjawahi kukutana nao unaweza kujua ni watanzania. Ila hawa watu wapo kwa vyovyote kujionesha sio watanzania hata kuvaa bendera za kenya. Ili jambo sikuwahi kufikiria miaka nyuma sana ila leo kwa kauli zao zinaonesha ukweli. Kuwa muungano huu mkilazimisha kinachofata...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Muswada wa Marekani kuhusu Tanzania Wazi!

    Upotoshaji wa akina Maria Sarungi, Liberatus, na wenzao (Misinformation from commercial activist). Leo Maria Sarungi na genge lake wameibuka na upotoshaji kuwa mswada kuhusu Tanzania unaotarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Seneti la Marekani Juni 17 mwaka huu haujafanyiwa marekebisho. Ukweli...
  17. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe. Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu. Lengo langu si...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kuna siku ukweli wote utajulikana wazi kuhusu kifo cha Nyerere, lakini kwa wenye akili alichosema Jenerali Ulimwengu kinatosha

    Kuna mambo mawili ambayo wenye akili wanayatafakari sana: 1. Nyerere alikuwa ameshaamua Mkapa asingekuwa raisi wa awamu mbili 2. Nyerere angekuwa hai, Kikwete asingekuwa Rais, maana alimshamkataa katakata 3. Mkapa alimwambia Kikwete waziwazi, kwamba kwa mazingira yaliyopo mimi nisipokuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi: Kutoka Kwenye Udhibiti wa Kisiasa Hadi Kwenye Ulinzi wa Nguvu Kazi na Mamlaka ya Kidijitali.

    KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika. KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa. Waheshimiwa Viongozi, Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kucheza Kwenye Uwanja wa Siasa: Barua ya Wazi kwa Rio Ferdinand

    Mpendwa Rio, Kuwasili kwako nchini Tanzania kumeleta msisimko mkubwa sana miongoni mwa mashabiki wa mpira wa miguu kote barani Afrika. Kama nguzo ya michezo duniani, sauti na uwepo wako vina uzito mkubwa sana. Kuona ukishirikiana na vijana na kujionea miundombinu ya hapa nchini kunaonyesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…