wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simiyu: Luhaga Mpina anusa kufanyiwa figisu, ataka kampeni za wazi Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, amesema kuwa licha ya muda wa kampeni za ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado kutokuwa rasmi, watia nia katika jimbo hilo wanapaswa kuruhusiwa kufanya kampeni mchana kweupe badala ya usiku. Mpina amesema kuwa kampeni zinazofanyika kwa kificho...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mama Samia hata hongo za wazi za Matrafic zimekushinda?

    Watanzania wamechoka maigizo. Sijui kuna watu wanaitwa Takukuru ! Yaani hongo za traffic za barabarani na stendi zimawashinda wataweza kupigana na hongo za mikataba🤦🏾‍♂️ huu ujinga jamaa hatuuoni. Sasa serikali ikisema inapigana na rushwa rushwa gani hasa. Ni nani kafugwa kwa miaka yote ya...
  3. JamiiForums Tanzania Jamii yetu ina (Bullying) ya unyanyasaji wa kimaisha katika saikolojia si rahisi kuitafakari ila kwa sasa ndio inaonekana wazi kabisa

    Tumeona mada nyingi ambazo watu wakieleza au kupitia kuhusu jinsi maisha ya utafutaji kuwa ya mekwenda ndivyo sivyo,kukosa ajira,kushindwa kuoa au kuolewa n.k. Hii bullying niliyotaja kwenye kichwa cha habari si rahisi miaka ya 90 kushuka kukutana nayo ila kwa sasa ndio inazidi kukuwa kama...
  4. JamiiForums Tanzania Crown media uongozi wenu wa juu unatuchanganya hebu uwekeni wazi

    Mtu mmoja anaonesha ananafasi zaidi ya moja Watuwekee uongozi ili tujue kila jambo mtu wa kumfikia
  5. X

    JamiiForums Tanzania China is unstopable! Historia iko wazi huwezi kuizuia China kwenye innovations. Usipoona ya TSS, na BeiDou utaona ya HarmonyOS na EUV

    "In time of difficulties, we must not lose sight of our achievements." – Mao Zedong (1956) HOW IT STARTED & HOW IT ENDED: 1958 – Soviet Union ilijitoa na kukataa kuisaidia China kutengeneza silaha zake za nyuklia. 1964 – China yafanya jaribio lake la kwanza la bomu la nyuklia na kufanikiwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania biblia imesema wazi mtu ambaye sio mkristo haendi mbinguni. vipi kwa upande wa pili

    Biblia inaeleza hatma ya mtu asiye Mkristo kwa njia tofauti, ikizingatia imani katika Yesu Kristo kama msingi wa wokovu. Hapa kuna baadhi ya mafundisho yake: 1. Yesu Kristo Ndiye Njia Pekee ya Wokovu Yesu alisema: "Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi"...
  7. JamiiForums Tanzania Lazima ifike wakati sheria iwe wazi na Dabi ifanyike mahali hakuna timu mgeni wala mwenyeji!

    Wadau wa Michezo, Ninayo yangu ya kushea! Ndugu wenye mamlaka ya Mpira hapa Tanzania ni TFF na Bodi ya ligi Tanzania,na kwa mamlaka ya Michezo Tanzania ndipo tunamkuta Baraza la Michezo Tanzania (BMT), na zaidi Wizara husika! Ni nini maana yake? Hawa watu Inatakiwa wafanye kazi kwa pamoja japo...
  8. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Azam media

    Kampuni ya azam media natambua mchango wenu katika michezo, ila kuna watu wachache wana wahujumu ili kuwarudisha nyuma, kama ilivo tokea kwenye ngumi adi mkaa amua kujiondoa. Basi ushauri wangu kwenu bora mjiondoe pia kwenye mpila mechi kama izi ndo mlitakiwa mpate views wengi ila kuna watu kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Petro Parolini anaetazamiwa kurithi kiti cha upapa endapo kutatokea nafasi hio kuwa wazi

    Awali ya yote kwa moyo wa dhati tunamtakia kupona kwa haraka baba mtakatifu Fransisco na kujerejea katika utumishi wake wa kanisa kama mchungaji mkuu . Sote tunatambua jitihada hazishindi kudra, kwa nafasi yetu kama wanadamu tunafanya jitihada ila kudra za mwenyezi Mungu hutoa hitimisho. Soma...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kuhudhuria maonyesho ya projects za computers, apps, softwares, n.k. lengo ni kuwekeza, nipeni pia elimu na tahadhari kabla sijawekeza

    Najua kuna vijana wengi wana mawazo yao lakini changamoto huwa ni fedha. Ningependa kujua ni wapi naweza kupata fursa ya kuweza kuhudhuria maonyesho ya projects zinazodeal na mambo ya computers, simu, apps, n.k. Kwa sasa nipo Njombe, huku ni bila bila. sehemu ya karibu nayohisi kuna hayo mambo...
  11. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa heshima, Kiongozi wa Jeshi la Polisi Tanzania, Makao Makuu, Dar es Salaam. Mpendwa Kiongozi, Natumai barua hii inakukuta salama. Ningependa kuchukua fursa hii kuungana na wenzangu katika kujadili suala la ulinzi na usalama nchini Tanzania. Kwanza kabisa, napenda kuwapongeza kwa...
  12. JamiiForums Tanzania M23 yatangazia umma kuwa safari za Kivu Kaskazini na Goma zipo wazi masaa 24

    Mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, anapenda kuwafahamisha wakazi wa Kivu kasikazini na Kivu kusini, hasa miji ya Goma na Bukavu, kuwa miaro yote ya ya Goma na Bukavu kuanzia sasa inatoa huduma masaa 24,kuanzia kesho tarehe 18-2-2025 saa kumi na mbili asubuhi. Watoa huduma wote, wanatakiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Clouds FM kwanini mnasema wazi kuwa Yanga na Singida BS ni ndugu?

    Nimesikitishwa na kituo cha clouds FM kusema ati Yanga na SBS ni ndugu na wana jambo lao Moja Clouds FM ni media ambayo imejijengea heshima Kwa muda mrefu, kwanini Sasa inataka kujiondelea hiyo heshima Mmejiajiri media personnel wasio kuwa na waledi Yaani undugu wa Yanga na Singida BS unatoka...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA Huku Kanda ya Ziwa Ushindi Kwenu Upo Wazi!

    Wananchi wameishaikataa CCM na Rais, ushahidi kidogo Tu WA wazi huu hapa: Hakika Viongozi wa CCM Mkoa wa Mara hususani Tarime wanapitia wakati mgumu sana. Huyu anaitwa Patrick Chandi ni Mwenyekiti wa @ccm_tanzania Mkoa wa Mara. Hapa yupo kwenye Mkutano wa hadhara Nyamongo. Wananchi hawamtaki...
  15. JamiiForums Tanzania BUKAVU: M23 yakuta mlango wa mji wazi

    Habari zilizopo kwa sasa, ni kwamba baada ya wanajeshi wa Burundi na FARDC kukimbia uwanja wa ndege na kukimbilia mjini Bukavu, yawezekana M23 tayari ilikuwa mjini ikiwachora tu. Tofauti na Goma, M23 imewatangazia maeneo ya wazi wanaohitaji kutoka mjini humo, na kweli wanajeshi wa serikali...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Lissu endelea kamatia hapo hapo nimeanza kusikia makelele yao ni wazi sasa sindano zinaingia na wapenda mabadiliko wote tumwongezee mwenyekiti nguvu

    Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama wehu et "Lissu asitutishe"! Hii ni dadili nzuri sana kwamba wameanza kuona mwisho wao ukiwa karibu...
  17. JamiiForums Tanzania Refa kutunyima Penati ya wazi: Wazee wa Simba watoe tamko.

    Kwanini refa ametunyima penati? Baada ya kipa kupata kadi mbili za njano ilibidi tupate penati ili kufidia dakika zetu. Yani alivyotoa kadi yapili ya njano angetenga mpira kwenye box, na azuie mtu yeyote kukaa golini ili mutale afunge tuongoze ligi. Kwa maamuzi haya ya leo ya refa wazee watoe...
  18. JamiiForums Tanzania Chadema na ACT wakiungana ni wazi watapata mafanikio Uchaguzi ujao

    Nawaza na kushauli pia, Lissu na Zitto waunganishe nguvu kwa maslahi mapana ya Nchi ili pamoja na mambo mengine, waikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Mfano, Chadema wakubali kumuunga mkono Zitto awe Mgombea wa nafasi ya Rais. Vilevile wakubaliane kuachiana Majimbo kulingana na uungwaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Trump anataka mafaili yote ya siri kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy yawekwe wazi kwa umma

    Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma ili umma uweze kujua nini hasa kilijiri. Ni takribani miongo sita imepita tangu ndugu hao wauwawe...
  20. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa

    Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa Mpendwa Binti, Salamu za upendo kutoka kwa mtu anayejali ustawi wako wa kiakili, kihisia, na kijamii. Naandika barua hii si kwa kukufundisha, bali kwa kushirikiana nawe mawazo ambayo yanaweza kukuimarisha katika safari yako ya maisha. Kwanza kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…