wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Una ghetto Kali sawa, vipi mazingira ya wazazi wako?

    Ni ujinga wa hali ya juu kama unaishi na Kulala sehemu nzuri hali ya kuwa wazazi wako waliokupambania mpaka kufika hapo wanalala kwenye dhiki. Wanalala chini Kwenye Godoro kama ulimi wa mbwa Hakuna fan Wala asset nzuri za maana. Kuwaweka wazazi wako kwenye mazingira mazuri haiitaji uwe na...
  2. N

    Kuwa na Website sio mpaka uwe na kampuni, biashara unaweza kuwa na website kwaajili ya familia, watoto, wazazi, au hata yako mwenyewe.

    Wakuu, Habari! Watu wengi hufikiri kuwa na website ni kwa watu wenye biashara na makampuni tu… lakini si kweli! Unaweza kuwa na website kwaajili ya familia yako, watoto, wazazi, au hata wewe mwenyewe. Faida za kuwa na website yako: Hifadhi kumbukumbu zako: Picha, video, na mafaili mengine...
  3. J

    Wazazi pelekeni watoto shule wasome

    Katika hotuba yake kwa wanahabari anasema Chini ya uongozi wa Rais Samia utoaji wa huduma za elimu mkoani umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu. Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa...
  4. Nina mchumba nahitaji nimuoe sema sasa wazazi haswa BABA hataki nioe kabila lingine Zaidi ya binti kutoka Kilimanjaro nifanyeje?

    Nina manzi Hadi sasa ni Zaidi ya 3 years nipo nae tangu akiwa ana 19yr anasifa zote nazo zihitaji Shida Mzee anataka nirudi Kilimanjaro nichukue jiko kule alafu nimkache manzi yangu Mnashauri niforce vipi?👇👇👇
  5. Amini tu kama unavyo amini tarehe yako ya kuzaliwa wakati uliikuta imeandikwa tu na wazazi wako. Kila kitu ni Historia

    Amini tu. Kama unavyokubali tarehe yako ya kuzaliwa bila kuhoji. Uliikuta tu imeandikwa kwenye cheti, ikisimuliwa na wazazi au walezi wako, na ukaikubali kuwa ndiyo siku uliyotangulia kuja duniani. Hujawahi kuikumbuka wewe mwenyewe, lakini unaishi kuiamini kwa moyo wako wote. Hujawahi kuhoji...
  6. Tunza wazazi wako

    Saidia wazazi wako hata kama hawajakuomba Walale pazuri Wavae vizuri Wale vizuri Ukiona usumbufu na huna muda wajengee chanzo Cha maokoto pesa
  7. HIVI WANAWAKE WA HIVI WANAKUAGA HAWANA NDUGU AU WAZAZI.?

    Hapa ñaona kama anadhalilishwa tuu, halafu wanawake wengi wazuri ndio wanakua hawana akili sijui shida nini. Na hii tabia yenu ya kupenda kutoa jicho sijui mmeipata wapi aise Inasikitisha Sana Mitandao inapeleka Maisha Kasi Sana, Bikra za K zilishatoweka tunapoelekea hata za mlango wa uwani...
  8. Wazazi, Mnamfundisha Mtoto Kuishi au Kuwa Mshika Maandishi? – Usimjengee Akili, Ukauwa Ujasiri Wake

    Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau: Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
  9. Kwa hizi meseji wazazi wa sasa kazi mnayo tena kubwa sana!

    Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary. Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu. Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee...
  10. Naomba kuchangia hoja aliyoleta Mheshima Dkt. Dorothy Gwajima , kuhusu kuchangia malezi ya watoto hasa mzazi wa kiume

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu . Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
  11. Usioe mwanamke ambaye wazazi wake walishatengana ila bado wanaishi

    Leo nimepita kijiwe nongwa nikakutana na mzee mmoja aliyekuwa akitoa maoni yake kwa hasira juu ya vijana ambao bado hawajaoa, Alikuwa na mtazamo mkali lakini wa kusisimua kuhusu mahusiano, na alisisitiza kuwa anazungumza kwa msingi wa uzoefu wa maisha na umri alionao Haya ndiyo aliyoyasema...
  12. Je, huu ni ushauri Bora au ni ushauri TAKATAKA hasa kutoka kwa Mzazi / Wazazi kwenda kwa Watoto?

  13. N

    Wazazi Nzega mji walia na ahadi hewa Hussein Bashe: Ahadi ya chakula kwa wanafunzi wa mwanzoli yasalia hewani

    Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu Mheshimiwa Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega Mjini, atoe ahadi ya kugharamia chakula kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Mwanzoli, hasa wale wa bweni waliopata ufaulu wa juu. Hadi leo, utekelezaji wa ahadi hiyo haujafanyika. Ahadi hiyo ilipokewa kwa matumaini...
  14. Kwa Wazazi wenye watoto Marian Girls Karo ni shilingi ngapi kwa Mwaka?

    Karo jumlisha michango mingine.... na je wana boarding?
  15. U

    Ujumbe wa Waziri Gwajima,: Kwa wazazi wanaolazimisha watoto waolewe

    Ukurasa wa Facebook wa Mheshimiwa Waziri Gwajima: KWENU WAZAZI MNAOLAZIMISHA WATOTO WAOLEWE. Hivi kwanza huwa mnatoa wapi ujasiri, nguvu na mamlaka ya kumlazimisha mtu mwingine afanye lile asilolipenda tena la pingu za maisha yake yote? Tena ambalo ni kinyume na sheria na...
  16. Wazazi wa Kitanzania, Wanawake na Mabinti wa Kitanzania hebu kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Tafadhali mwenye namba ya Simu ya huyu Dada aje PM anipe ili nimpigie na nimtumie Zawadi kwa kusema huu Ukweli.
  17. Wazazi wetu walikataa kujihusisha na siasa. Tusilalamike wazazi wa wengine waliowanasiasa wakiwateua watoto wao.

    Sina Deni! Mtoto wa Mtibeli ni Mtibeli. Mtoto wa Kiongozi ni Kiongozi. Mtoto wa Mkulima ni Mkulima. Mtoto wa Nyoka ni Nyoka! Hutaki kujihusisha na siasa, alafu unataka mtoto wako ateuliwe kwenye nafasi za kisiasa. Zinakutosha kweli? Uwezekano wa mtoto wako kuteuliwa nafasi za uongozi ni Finyu...
  18. Wazazi wetu wana hofu juu ya utekaji, inasikitisha sana

    Wasalaam!, Nimekaa wiki 1 nzima sijawasiliana na wazazi wangu nikipambana na purukushani na namna ya kulipa hili deni la mama yetu. Leo napokea simu ya baba yangu, baada ya salamu mzee ananambia, nanukuu; "Mwanangu, usiwe unakaa muda mrefu bila kutupigia simu tukajua unaendeleaje maana tuna...
  19. J

    Hivi hawa watu wana wazazi kweli?

    Unakuta mtu anapost thread yenye maudhui ya ukosefu wa maadili kabisa. Yaani inatia kinyaa hata kuisoma. Huwa najiuliza hivi baba yake au mama yake akisoma hayo mambo ya hovyo aliyoandika mwanaye atajisikiaje? Wengine wanalilia kupata mtoto na wengine wanasema nilizaa wa nini!
  20. Kutoana kafara kwenye familia, na Siri ya wazazi wetu

    Habari za mchana. Hii nimeitoa kwenye familia moja kanda ya ziwa. Hivi ulishawahi kuona familia fulani ina watoto wengi lakini mmoja haolewi,au haoi na akioa anaacha ndoa haidumu. Au kama ni mwanamke anaachika ili tu arudi Kwa wazazi? Unakuta kijana anapambana lakini hatulii,anajikuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…