wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Wazazi mnaolinda sana watoto kupitiliza, mnawaandaaje kukabiliana na maisha halisi ya hapa Bongo?

    Watoto wana haki ya kudeka na kufaidi matunda ya wazazi lakini ni muhimu pia wao wajifunze kuwajenga uwezo wa kujisimamia bila backup ya mzazi. Kwa maisha ya kiuhalisia ya hapa bongo lolote laweza tokea ila angalau mtu ajue kujifulia nguo, kuweza kutumia usafiri wa umma, kuweza kula vyakula...
  2. L

    Albert Chalamila: Wazazi Temeke Hawawajibiki Vizuri Kulea Watoto wao

    “Jambo kubwa ambalo tumekuja kuligundua ni pamoja na wazazi wa wilaya ya temeke kutowajibika ipasavyo katika malezi ya watoto. Mara nyingi tunafahamu kuzaa lakini hatufahamu kabisa maswala ya kulinda watoto wetu na hili kuna mfano mzuri sana shule za temeke ambazo watoto wa shule za msingi na...
  3. K

    Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa kuwapeleka watoto wao kupata elimu

    Jumamosi iliyopita nilihudhuria mahafali ya Darasa la Saba pale KOM Shule ya Msingi Manispaa ya Shinyanga. Binafsi sikuamini macho yangu kutokana na ubora wa hiyo shule kuanzia taaluma, majengo, walimu, madarasa, mabweni, majiko na mandhari kwa ujumla. Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa...
  4. Wazazi wamejenga darasa kwa udongo watoto wanakaa chini kusoma Simanjiro.

    Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Wilaya ya Simanjiro Manyara wazazi wamejenga darasa kwa udongo ili kuwasaidia watoto kujipatia elimu lakini pia kuokoa maisha yao kutokana na korongo la msimu huwa wanashindwa kuvuka na kusombwa na maji. Wakizungumza mwenyekiti wa kitongoji,wazazi na...
  5. Hakuna mtu duniani amewahi kuwekewa mikono kichwani na wazazi wake wakamwombea jambo bila mafanikio.

    Hello! Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake. Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani...
  6. Nini chanzo cha wazazi wa kiafrika kuwaandaa watoto ili waje wawasaidie?

    Mpja kwa moja kwenye mada Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha. Wazazi wanavizia mahari za watoto wao wa kike. Wanapambana watoto wa kike waolewe na wenye uwezo ili...
  7. Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

    Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara. Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea. Kawaida, mizizi ya kiongozi ni muhimu katika kuelewa maadili na mitazamo yake, lakini katika kesi hii, habari hizo...
  8. Wazazi, mnawalindaje Mabinti wenu dhidi ya Ukatili Mtandaoni?

    Fikiria mtandao kama mji mkubwa wa kidijitali, ambapo kila kona kuna watu, mitaa na maduka ya kila aina. Kama vile wazazi wanavyowaongoza mabinti zao wanapotembea mtaani kwa mara ya kwanza, ndivyo wanavyopaswa kuwaongoza kwenye mji huu wa kidijitali. 1. Kutambua Vitisho: Kama vile...
  9. Kijana baada ya kumaliza masomo yako mjini ni wakati wa kurudi nyumbani kijijini, wazazi wako wanakungoja

    Wazazi wa vijana wengi wa leo wanafanya maombi na kuwaombea vijana wao sana kila lililo jema wafanikiwe katika maisha yao, hakuna mzazi alie nyuma kwenye hili kwasababu mambo yamebadilika sana sasahivi... Lakini vijana wengi wamedinda kabisa kurudi nyumba vijijini kwao, licha yakua...
  10. Wazazi tuchunge sana maneno yetu tunayowaambia watoto wetu tukiwa na hasira.

  11. D

    Kwanini wanandoa wengi hawawaruhusu wenza wao kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza ?

    Imekuwa ikisikika kwamba baadhi ya wanandoa huwakataza wenza wao kwenda kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza endapo waliwahi kupata mtoto/watoto kabla ya mahusiano mapya yaliyozaa ndoa.Mfano unaishi na mtoto uliyempata na mzazi mwingine inapofika hata kipindi cha likizo unataka ukutane na mzazi...
  12. Kwanini wasomi (wazazi) wengi wa siku hizi hawamiliki assets?

    Mmezaliwa miaka ya 70 Mwishoni, themanini mwanzoni hadi themanini katikati ( 1985). Wazazi wenu hawakuwa hata na kipato kikubwa kihivyo lakini walifanikiwa kujenga nyumba (wengine zaidi ya moja). Wamewaachia mashamba na mali nyinginezo nyingi. Lakini ninyi mmesoma hadi vyuo vikuu na mna kazi...
  13. Dkt. Biteko: Watunzeni Wazazi na Kuwaombea Dua, pia waombeeni ambao hawapo hai

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameiasa jamii kuwa na utaratibu wa kuwatunza na kuwajali wazazi wao na kuendelea kuwaombea ambao hawapo hai. “ Tuendelee kuwakumbuka na kuwaombea ndugu na wazazi waliotangulia mbele za haki ni jambo zuri na wajibu wetu tuliobaki...
  14. Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

    Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki. Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100% My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to...
  15. Jamani wazazi wapeni watoto mitaji hata ya kubetia

    Wazazi toeni pesa za pension ili tuweze kujiajiri huku tukisubiri mchongo itiki , mtu amesom shahada ya uhandisi wa Mitambo hana mchongo bado, hajateuliwa bado, Watu tuna idea za kufanya ila ndio hvyo hatuna asset ya ku offer kama collateral ili kusecure mikopo kweny Taasis za pesa, sasa...
  16. Mwalimu jenga Uhusiano mzuri na wazazi ili kulinda hisia za mtoto shuleni na nyumbani

    Image source: Pinterest Kumekuwa na tatizo la wazazi kulaumiana katika kusimamia maendeleo ya mtoto shuleni. Hivyo kurudisha umoja ili kufanikiwa kumjenga mtoto Na wakati mwingine mzazi anaingia msongo wa mawazo kutokana na taarifa mbaya za mtoto kutoka kwa mwalimu. Mwandishi wa kitabu cha...
  17. Watu wanaodharau Kazi za Watu Wengine ukiwafuatilia walikuzwa na kusomeshwa na Wazazi au walezi waliofanya Kazi Zenye mazîngira ya Kúpiga Dili

    WATU WANAODHARAU KAZI ZA WATU WENGINE UKIWAFUATILIA WALIKUZWA NA KUSOMESHWA NA WAZAZI AU WALEZI WALIOFANYA KAZI ZA KUPIGA DIL Bado naendelea na utafiti wàngu. Lakini Mpaka Hapa nilipofikia nakaribia kufanya hitimisho. Sidhani kama kitakuwa na badiliko lolote Kwa haya Majibu niliyonayo mpaka...
  18. N

    Kama bado Upo kwa Wazazi,Usitoke!

  19. Zamani Wazazi waliuza Binti zào Kwa Kile kiitwacho Mahari. Kwa Sasa ni Mila Potofu na biashara haramu

    ZAMANI WAZAZI WALIUZA BINTI ZÀO KWA KILE KIITWACHO MAHARI. KWA SASA NI MILA POTOFU NA BIASHARA HARAMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuuza na kununua binadamu ilikuwa biashara halali Miaka ya Nyuma kidôgo. Biashara ya kuuza na kununua binadamu ilikuwa kwa namna tofautitofauti...
  20. Wazazi siku hizi wamekuaje (cold blood)

    Uko kazini unampigia simu mzazi mtoto wako anaumwa mzazi atakwambia tafuta boda umpakie aje nyumbani . Unapambana unamfikisha hadi nyumbani mtoto yuko hoi badala yake wewe (mwl) ndiye unaonekana mwenye hofu na afya ya mtoto mzazi ni kumfokea mgonjwa hadi, dah unaamua kuaga na maneno ya kawaida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…