wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shabani anazungumza na Wanahabari, Mei 5, 2025

    https://www.youtube.com/live/EV0n0sLG1Zs?si=A_fxrMIQec4ggyrP Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani ameeleza kusikitishwa kwake na kauli ya Mkuu...
  2. JamiiForums Tanzania Our Man in Damascus, Tunajiuliza kwanini viongozi wetu sio wazalendo?

    Wakuu, Moja ya true story ni juu Kipenyo Eli aliejipenyeza from Israel hadi kufika kwenye mamlaka za juu kabisa nchini Syria. Kipindi cha miaka ya 60s, Syria iliisumbua sana Israel sambamba na kuua raia wake. Mossad wakaingia mzigoni na kumuandaa kijana E. Cohen as Kamel Thabeet na kumpa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tuipiganie nchi yetu: "bila wazalendo wa aina ya kina Ibrahim Traore, tungali tupo tupo sana!"

    Nani angedhania Ibrahim Traore anaweza kutokea kama mtu mwingine? https://youtu.be/LAZvEVvWbz4?si=3p_Us_YL6BWaNWpc Crew wa Air France na mwekezaji uchwara wa kifaransa wajikuta korokoroni kwa kumkejeli rais wa nchi wakidhani ni kidampa. Kwamba kina Traore wanasafiri kama abiria wa kawaida...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tuirudishe nchi kwenye kujenga wazalendo kwa Taifa na sio wazalendo kwa mtu au chama, hii itasaidia sana kulirudisha Taifa kwenye mstari

    Kwa sasa naona serikali iko busy sana kuzalisha wazalendo wengi wawe na uzalendo kwa mtu au watu au chama,badala ya kuzalisha wazalendo kwa Taifa, naiona hatari sana kwenye hili Taifa letu hapo baadae. Ikiwa Kila mwenye nguvu iwe ya fedha au ya dola akiweza kujitengenezea wazalendo wake kama...
  5. JamiiForums Tanzania Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao

    Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kusaini maadili na kanuni zake. ACT Wazalendo watoa Mlio, kanuni zina mapungufu

    Daaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii? === "Tumefanya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, na tumeona mapungufu makubwa. Kwa mfano, Kanuni za Maadili zinawalazimisha vyama kusaini makubaliano yanayokiuka Katiba, na kuwanyima haki ya kushiriki uchaguzi. Hili...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo inachambua bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu

    https://www.youtube.com/live/boUBc1geEE0 UCHAMBUZI WA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI 2025/26 “Serikali inaogopa uchaguzi huru na haki” Utangulizi Tarehe 09 Aprili 2025 Waziri Mkuu aliwasilisha Bungeni mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sakata la ajira laibua mjadala wa Kitaifa, ACT Wazalendo wanazungumza muda huu

    https://www.youtube.com/live/-ws4Ojesg7U Vijana katika sekta isiyo rasmi wapo 80%. Kila uchao wanahamishwa na kukimbizwa. Hawana bima ya afya wala pensheni. Ndio maana nasema Vijana tuungane na tupaze sauti dhidi ya ukosefu wa ajira na hatma yetu." Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo...
  9. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Ratiba ya Ligi Kuu ya Zanzibar (PBZ) iheshimiwe

    RATIBA YA PBZ PREMEIR LEAGUE IHESHIMIWE Shirikikisho la Soka la Zanzibar ZFF lilikuwa limepanga Ligi Kuu ya PBZ iendelee kuchanja mbuga kuanzia Aprili 5, 2025 na kutafuta vidume vya Zanzibar ili kuweza kuwakilisha katika michuano ya vilabu barani Afrika ambapo bado ZFF ina uwanachama...
  10. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauaji ya Raia

    Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauwaji ya Raia) ACT Wazalendo tunalaani vikali tukio la mauaji ya kinyama dhidi ya Ndugu Juma Ame Ngwali, mwenye umri wa miaka 58, mkazi wa Kijiji cha Ndooni, Shehia ya Uweleni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Marehemu...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wa ACT Wazalendo wakamatwa kwa kufanya fujo kwenye Vituo vya Uandikishaji Zanzibar

    Kama ambavyo niliwapa habari awali juu ya zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia tarehe 08/03/2025 hadi tarehe 13/03/2025; zoezi ambalo Jeshi la Polisi lilikuwa na dhamana ya ulinzi na Usalama wa vifaa, watendaji wa Tume, mawakala wa vyama, wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mrisho Gambo kuhamia ACT Wazalendo?

    Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo. Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na...
  13. JamiiForums Tanzania Mama Samia walipeni makandarasi wazalendo madeni yao-ndio wapiga kura wako.

    Kama kuna kosa serikali ya Awamu ya Sita itafanya, ni kutowalipa Makandarasi wa ndani, wazalendo kabla ya uchaguzi Nonember 2025. Hili ni angalizo tu! Tukiachana na kodi za PAYEE, NSSF, WCF na michango mingi inayochelewa kulipwa kwa kukosa pesa, hali ya ajira kwa wafanyakazi na vibaru a wa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo: Kuna Wakuu wa Mikoa wanaingilia michakato ya uwandikishaji wa wapiga kura wapya kwa kigezo cha kulinda amani

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu waandishi wa Habari, Ramadhan Kareem Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (S.W) kwa kutujaalia Neema ya Uhai hadi sasa na kutujaalia kuwa miongoni mwa viumbe wake waliobahatika kuuona Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Inshallah tuendelee kumuomba Allah (S.W)...
  15. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali imuachie huru Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira, Joseph Kaheza

  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: ACT Wazalendo : Kufanya Mkutano wa Halmashauri Kuu kubadili agenda ya No Reform No election

    Wakuu Kwa Taarifa zilizonifikia ni kuwa kikao cha Tundu Lissu pamoja na Ado Shaibu (KM ACT WAZALENDO) na Ismail Jussa, kilichofanyika jana ofisi za chadema AGENDA yao ilikuwa ni kuhusu NO REFORM NO Elections na hivyo wamekubaliana, hiyo imepelekea ACT kuitisha halmashauri kuu ili AGENDA hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Kumekucha huko DRC Wazalendo wapigana na FRDC

    Jeshi la Kongo lime collapse na Wanamgambo wa Wazalendo wameanza kushambulia jeshi la Kongo huko Uvira. Sasa hivi M23 wanaangalia tu kazi inafanywa na Wazalendo ambao wameshatuhumiwa kwa mauaji na ubakaji na ukiukwaji mkubwa wa haki za Binadamu dhidi ya Wananchi wa Kongo DRC...
  18. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Calls on African Frontline States to Sever Diplomatic Ties with USA Over Aggressive Interference in South Africa

    ACT Wazalendo expresses deep concern over the reckless and aggressive decision by U.S. President Donald Trump’s Executive Order of February 8, 2025 to cut foreign aid to South Africa in response to its sovereign land reform (acts) and its principled stance against Israel’s genocide in Palestine...
  19. JamiiForums Tanzania Waafrika wahamiaji Ulaya na Marekani wanajiona wazalendo sana kwa mataifa yao mapya kuliko kizazi cha watumwa.

    Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa? Hawa Waafrika wahamiaji wa hayo mataifa wanaringa nayo sana hadi kufikia kuwadharau Waafrika wenzao waliowaacha Africa! Wao...
  20. JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

    ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje. Tanzania, kama moja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…