wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wazalendo waandaa mbao/mabango kwa ajili ya ujumbe kuelekea Oktoba 29

    This time naona vijana wanajizatiti kuelekea Oktoba 29 ambap maandalizi yanaendelea huku vijana baadhi wakitumia ofisi zao kutengeneza nyenzo zitakazosaidia wakati wa maandamano
  2. JamiiForums Tanzania Election Predictions: Unaweza usiamini, Kura za ACT Wazalendo kwa Urais wa JMT, ni kwa Samia, Mgombea wa Urais wa CCM!.

    Wanabodi Mimi ni Mzee wa trends and analysis, trends and analysis ya kwanza ya uchaguzi huu ni hii Thread 'Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!' PreGE2025 - Mwana JF, Be The First to...
  3. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina akwama Ugombea Urais ACT Wazalendo, Mahakama yatupilia kesi yake mbali

    Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imeitupa kesi ya Luhaga Mpina na ACT-Wazalendo, ikieleza kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) haipaswi kuingiliwa na chombo chochote kwa jambo ambalo ilifanya kwa nia njema. Mpina alikuwa akipinga kuenguliwa katika nafasi...
  4. JamiiForums Tanzania Nawasihi wazalendo wote Tanzania jizuieni kwa sasa kujipost kwakua dhamiri zetu ni kiukomboa Tanzania tarehe 29/10/2025 imefika

    Mbinu wanayoitumia hawa Watekaji ni Kumuwahi Kila Mmoja anayeonekana ana Uthubutu wa jambo letu !!. Sasa katika hali ya Mmoja Mmoja ni rahisi wao kutumaliza na kuchomekea Woga. Sasa basi kwakua Dhamira zetu ni DHAHIRI na kwa namna tulipofikia 29/10 ni tukio la Ukombozi wa Nchi. Tuendelee na...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna siku Moja tena hii nchi itarudi mikononi mwa wazalendo kama Magufuli

    Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake. Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia mifukoni mwa wachache litaisha. Mda utafika maana tumeshawajua wanamtandao vizuri na propaganda zao...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Civid 19 na ACT Wazalendo ni wale wale!

    Civid 19 na ACT Wazalendo ni wale wale! wote wanatumia kuwasaidia CCM hakuna jipya
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nondo (ACT Wazalendo): Nendeni kupia kura kwani ndo hatma yako kwa miaka mitano

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo amewataka wapiga kura kote nchini kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu kwa haki na amani na kuchagua viongozi wao kwa makini ili kupata viongozi bora watakaowaongoza kwa miaka mingine mitano na kuleta maendeleo.
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe wa Wazee Pemba Kumshawishi Mgombea wa Urais wa ACT Wazalendo Kumpigia Hussein Mwinyi Kura ya “Ndiyo”

    Mjumbe Ngome wa Jumuiya ya Wazee Mkoa wa Micheweni Pemba, Faki Ali Juma kutoka Maziwa ya Ngome amesema atamshawishi Mgombea wa Urais wa Chama Cha ACT WAZALENDO Othman Masoud Othman atie kura yake ya NDIO kwa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na maendeleo ambayo ameyafanya kwani kila...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wazalendo tumewajua uchaguzi huu!

    Wanasiasa wazalendo tumewajua uchaguzi huu! Wale wote wanaofanya vitu bila kijinufaisha wenyewe kama wakina Sugu, Popepole, Dr Gwajima, Lema, Lissu, Heche, Warioba na wengine wengi ambao wanapigania nchi na sio nafasi ndiyo wazalendo wa kweli kwa mawazo yangu. Lakini wale wote wanaonyanyasa...
  10. JamiiForums Tanzania Monalisa Ndala aishtaki ACT Wazalendo ofisi ya msajili kwa kuvuliwa uanachama

    Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana na kuvunja Katiba ya chama na Sheria ya Vyama vya Siasa. Mbali na hilo amesema amewasilisha...
  11. JamiiForums Tanzania Wote tusome hapa kama wazalendo wa nchi yetu na tutoe maamuzi

    Nchi inatafunwa na wajanja hii huku wajinga wakipewa baiskeli aisee watu wanapiga mabilioni tu ndio maana wanahubiri amani huku neno haki hawalitamki
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mipango ya kando ya CCM

  13. JamiiForums Tanzania Act Wazalendo Tumieni Njia Hii Kupata Uungwaji mkono kutoka kwa Wananchi

    Act wazalendo kubalini kuwa kwenye nafasi ya Urais mmepoteza ila Tumieni rasilimali watu mliyonayo ili kupata Uungwaji Mkono Kutoka Kwa Wananchi kwa kufanya yafuatayo 1: Achaneni na hoja ya kwenda mahakaman maana mnapoteza muda na hamtapata haki yoyote Ile 2: Viongozi wote wakuu mlionao...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 'Dorothy atimuliwa kimya kimya, Act Wazalendo yazidi kudhihirisha mfumo Dume'

    Wakuu ===== Hizi taarifa niza kweli kwamba Dorothy Semu ametimuliwa kimya kimya ndani ya ACT Wazalendo?
  15. JamiiForums Tanzania Uvira tena kimeumana wazalendo wachapana na FARDC kisa FARDC Kuwapa escort wanyarwanda

    Congo sijui kama kutakuja kutulia Jana wanajeshi wamerushiana risasi na wazalendo maeneo ya uvira baada ya wazalendo kuwashuku wanyarwanda waliojifanya raia kutokea Burundi kwamba wanaingia Congo kwenye mazishi walikuwa kwenye coaster sasa wazalendo wakawasimamisha lengo wawabane wajue kama NI...
  16. JamiiForums Tanzania Luhaga mpina na ACT wazalendo ni wakuogopa km ukoma.

    Wasalaam. Hawa ni wale viongozi wenye tabia za kimalaya malaya kwa mujibu wa nukuu ya mwl nyerere. Watanzania wote wanalia kutokana na mifumo mibovu ya uchaguzi lakini cha kushangaza huyu bwana mpina na ACT wanajaribu kulaghai wananchi eti waingie kwenye uchaguzi na yeye atashinda na atalinda...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli katika Serikali hii na kwenye CCM hii hakuna wazalendo?

    Japokuwa Serikali yetu haiongozwi na Malaika, lakini kusema kweli yapo mambo mengi yanayoendelea nchini yanayotia kichefu chefu, kukatisha tamaa na kusikitisha. Hali hii ya mambo imesababisha ukosoaji mkubwa dhidi ya CCM na Serikali yake kutoka kwa kada mbalimbali za wananchi na hata...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo: Luhaga Mpina amejiunga na chama kitambo sana

    Chama cha ACT Wazalendo kimejitokeza na kujibu kauli ya katibu mwenezi wa ACT WAZALENDO Mkoa wa Dar es Salaam, Bi Monalisa Ndala, kuhusu madai ya kujiunga kwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, na chama hicho. Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Mchinjita, Isihaka Machinjita...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Sakata la Mpina kugombea Urais kupitia ACT Wazalendo latua mezani kwa msajili, watakiwa kutoa maelezo

    Sakata la kupingwa kwa mtiania wa urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina limefika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, huku chama hicho kikitakiwa kutoa maelezo kwa ofisi hiyo kesho Jumatano Agosti 20, 2025. Mzizi wa hilo, ni barua iliyoandikwa na Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Luhaga Mpina hana sifa kikatiba na kikanuni kugombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani 1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4): "Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…