Rais wa Uganda, , amesema bara la Afrika lina watu wengi waliopata utajiri mkubwa kwa njia za dhuluma badala ya kufanya kazi halali, akisisitiza kuwa vitendo hivyo haviwezi kuwa msingi wa maendeleo ya kweli.
Akizungumza katika hafla ya hadhara, Museveni alisema anawafahamu baadhi ya watu...