Katibu mkuu wa Kanisa la Glory of Christ (Nyumba ya Ufufuo na Uzima), Dk Erick Shoo ametangaza kutokuwa na ibada katika matawi yote ya kanisa hilo leo Juni 8, 2025 ikiwa ni utekelezaji wa kufungwa kwa kanisa hilo.
Hivyo Dk Shoo amewataka waumini hao kuabudia kila mtu nyumbani kwake hadi...