Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamepatiwa mafunzo maalum yanayolenga kuwajengea uwezo wa kutambua, kuepukana na kudhibiti msongo wa mawazo unaotokana na mazingira yao ya kazi pamoja na changamoto za kijamii wanazokutana nazo majumbani.
Mafunzo hayo yamenyika leo...
Mh. Waziri wa Afya sisi kama wauguzi tunakushangaa sana unapozungumzia masilahi ya upande mmoja wa taaluma ndani ya kada za afya, Ndani ya taaluma za afya tupo wataalamu wa tulisoma course tofauti tofauti na hizi taaluma zote utendaji wetu unategemeana kwa kiwango kikubwa ulikumuhudumia mgonjwa...
Tunaleta kilio chetu kwa Serikali na Mamlaka husika kwa kuwa watendaji wa huko wameshindwa kutusikiliza. Wakuu wa Idara kutoka Kurugenzi ya Uuguzi, wamekuwa na tabia ya kujiweka kwenye posho za NHIF na IPPM.
Mgao wanaopata wao ni mkubwa kuliko watoa huduma waliohudumia wagonjwa. Ili hali kwa...
Anonymous (9a81)
Thread
afya
dawa
haki
muhimbili
wahudumu
wahudumu wa afya
wauguzi
Wauguzi wa afya wametakiwa kuimarisha mawasiliano bora na wagonjwa pamoja na kuzingatia miongozo ya kitaaluma badala ya kufanya kazi kwa mazoea, ili kuboresha utoaji wa huduma za afya na kuhakikisha mgonjwa anahudumiwa kama mteja mwenye thamani.
Hayo yamebainishwa kupitia mafunzo maalumu ya...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa hoja kadha akieleza kuwa haridhishwi na utendaji wa Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) akidai halisimamii vizuri uhuishaji wa leseni na mengine kadhaa, ufafanuzi umetolewa na Baraza hilo...
Hoja ya awali ya Mwananchi huyo ipo hapa - Baraza...
Ni takribanii wiki kadhaa tangu matokeo ya Mtihani wa Leseni yatoke mpaka sasa bado tunasubiri kutangaziwa siku ya kwenda kuchukua Leseni. Hili sio shida kwa sababu huenda ni Maandalizi yanafanyika kuweka mahafali hii kwa ukubwa na ufanisi zaidi, lakini, baadhi wamekuwa wakipitia changamoto...
Wauguzi wenye sifa na vyeti waliohitimu vyuo vinavyotambulika hapa nchini kuanzia 2018--2024 kwa kazi ya kujitolea na kupata uzoefu ,kwa mkataba wa kulipwa nusu mshahara kwa muda wa miezi sita' kama upo au una mtoto ,rafiki na jamaa ,nafasi zipo chache ,wasiliana kwa namba hii 0614 922509
Hili tukio la Mr mwanya kuwadhalilisha wauguzi wa kiume binafsi naona Lina faida sana kwa wauguzi wenyewe na jamii kwa ujumla
Faida kubwa ni awareness mitaani kuhusu taaluma ya uuguzi
Pia kama hatua stahiki zitachukuliwa kwa Mr mwanya itajenga heshima kwa wauguzi hivyo jamii itatambua kwamba...
Kwa heshima kubwa, ningependa kuelezea malalamiko yangu kuhusu jinsi baadhi ya vyombo vya habari vinavyotoa taarifa zinazopotosha hadhi ya wauguzi, huku mabaraza ya uuguzi na ukunga yakiwa kimya bila kuchukua hatua za kutetea kada hii muhimu ya afya.
Mfano halisi ni taarifa iliyochapishwa na...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwasilisha hoja akilitaka Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) kuwasaidia wahitimu kwa kuwapatia Leseni mapema kwa kuwa wanapitwa na fursa nyingi Mtaani, ufafanuzi umetolewa na Baraza hilo.
Kusoma hoja ya awali, bofya hapa ~ Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC)...
Serikali ya Tanzania imesema imeongeza posho za madaktari anapoitwa nje ya saa za kazi, posho ya sare za wauguzi na ile ya kuchunguza maiti kuanzia mwaka wa fedha 2024/2025.
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni miaka mingi imepita tangu madaktari na wauguzi chini, kuomba ongezeko hilo.
Hayo yamesemwa...
Hakika tumeweza kushuhudia kazi za wauguzi kwa mgonjwa ni za kipekee sana nikafikiria mfano wauguzi wakaaamua kugoma nn kinaweza kikatokea kwa wagonjwa?
Je maisha ya wagonjwa yatakuwa hatarini kwa kiasi gani?
Je, vifo vingapi vitatokea kwa sababu ya ukosefu wa huduma za kiuguzi?
Nikawaza...
Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imechukua hatua ya kumpumzisha daktari wa zamu ili kupisha uchunguzi baada video ya Mwanamke anaedaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza kusambaa mtandaoni.
Halmashauri baada ya kufatilia...
Hi? Mnaonaje fungu la kumi au sadaka wangepewa wauguzi wa afya na vyuo vyote vinavyotoa mafunzo hayo sababu wanachokifanya katikati maisha ya mwanadamu kinaonekana sababu unaweza zidiwa na magonjwa ukapelekwa hospital na ukatengamaa kama siku zako za kufa hazijafika bado kuliko kuwapa hawa...
UZEMBE KWA WAJAWAZITO WAKATI WA KUJIFUNGUA ULIOPELEKEA MTOTO MCHANGA KUVUNJIKA MKONO KATIKA HOSPITALI YA MAGUMGA WILAYANI KOROGWE KATA YA MAGUMGA
Mama aliyejifungua mtoto siku ya tarehe 15/01/2024 katika hospitali ya Magunga ameshindwa kuruhusiwa mpaka leo hii kutokana na tukio la mtoto wake...
Serikali ilitangaza nafasi 500 za wauguzi wa kike, ambao walitakiwa kuenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia, kupitia tangazo hilo ilitangazwa kuwa kufikia tarehe 10 January watakaokuwa wamefanaikiwa kupata nafasi, watatakiwa kuonana na Waziri husika.
Je, hili hili suala limefikia wapi??
Mgonjwa aliyekuwa amelazwa wodi namba 6 “A” katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ametoa tuzo maalum ya kuwapongeza wahudumu wa wodi hiyo kwa huduma bora wanazotoa kwa wagonjwa.
Mgonjwa huyo Godfrey Mushy alilazwa wodini hapo kwa miezi Mitano kuanzia Oktoba, 15, 2022...
Leo mida ya jioni nilikuwa Bochi hospitali, wakati nikiwa kwenye foleni ya kuingia kwa daktari ambayo tayari imeshanichosha kutokana na foleni kuwa kubwa na kucheleweshewa huduma kwa mlolongo mrefu wa kumuona daktari mara akaja mgonjwa ambaye kikawaida altakiwa kupewa huduma za haraka kwa hali...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian @batilda.burian amesema jalada la uchunguzi wa tukio tata la Watoto pacha waliozaliwa kabla ya muda katika Kituo cha Afya Kaliua na mmoja wao kunyofolewa jicho la kulia na ngozi ya paji la uso, limekamilika na Watumishi wanne wa Kituo hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.