wauawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watano wauawa katika maandamano ya Kupinga Vikosi vya Umoja wa Mataifa Nchini DR Congo

    Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mamia ya Waandamanaji wanadaiwa kulazimisha kuingia katika kituo cha ujumbe wa...
  2. Wawili wauawa Dodoma kwa Wivu wa Mapenzi

    Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma, ACP Martini Otieno, amethibitisha kutokea kwa vifo vya Dominick Kagula aliyekuwa dereva bodaboda na Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Esta baada ya kudaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali. Vifo hivyo vinadaiwa kutokea mtaa wa Msangalale...
  3. Watu watano wauawa na wanamgambo Mashariki mwa DRC

    Watu watano wameuawa, wakiwemo watoto wanne ambao walichomwa moto hadi kufa, na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo, ambao pia waliteka nyara watu wengine kadhaa katika shambulio mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo Shambulio hilo la Waasi wa Alliance Democratic Forces (ADF) limetokea...
  4. 15 wauawa kwa kufukiwa na vifusi vya ghorofa lililoshambuliwa na Urusi mashariki mwa Ukraine

    Takriban watu 15 wameuawa na wengine takriban 20 wanahofiwa kufukiwa na vifusi baada ya roketi za Urusi kushambulia jengo la ghorofa huko Chasiv Yar, mji ulioko mashariki mwa Ukraine, maafisa wanasema. Waathiriwa watano wamefanikiwa kuokolewa wakiwa hai. Idadi ya waliofariki ilitolewa na afisa...
  5. 15 wauawa kwa kufukiwa na vifusi vya ghorofa lililoshambuliwa na Urusi mashariki mwa Ukraine

    Takriban watu 15 wameuawa na wengine takriban 20 wanahofiwa kufukiwa na vifusi baada ya roketi za Urusi kushambulia jengo la ghorofa huko Chasiv Yar, mji ulioko mashariki mwa Ukraine, maafisa wanasema. Waathiriwa watano wamefanikiwa kuokolewa wakiwa hai. Idadi ya waliofariki ilitolewa na afisa...
  6. Afrika Kusini: Watu wenye silaha wafyatua risasi baa, 14 wauawa

    Watu wenye silaha wameshambulia na kuua watu 14 mapema leo, ikielezwa 12 walifariki papo hapo na wawili walipoteza maisha baada ya kufikishwa Hospitalini kwa matibabu. Vilevile, watu wengine 10 wamejeruhiwa Kamishna wa Polisi Gauteng, Elias Mawela amethibitisha kutokea tukio hilo akisema...
  7. Watu 9 wauawa katika Kliniki DRC

    Watu 9 wameripotiwa kuuawa katika kliniki baada ya kundi la watu kushambulia Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), washukiwa wa kwanza wakitajwa kuwa ni Wanamgambo wenye masimamo mkali kutoka Kundi la ADF Kundi hilo ni kutoka Uganda limekuwa likifanya harakati zake katika misitu...
  8. Majambazi watatu wauawa katika mashambulizi dhidi ya Askati Dar, Juni 24, 2022

    Taarifa kutoka Jeshi la Polisi ni kuwa Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na askari wa jeshi hilo wakiwa katika harakati za kutaka kupora katika duka eneo la Goba Jijini Dar es Salaam, leo Juni 24, 2022.
  9. Yadaiwa watu zaidi ya 100 wameuawa katika mapigano Ethiopia

    Inadaiwa kuwa zaidi ya watu 100 wengi wakiwa ni kutoka jamii ya watu wa Amhara wameuawa katika eneo la Oromia Nchini Ethiopia, Takwimu hizo ni kwa kujibu wa shuhuda wakati ambapo shuhuda mwingine amesema kuwa ameshuhudia zaidi ya miili 200 katika mauaji hayo. Serikali ya Oromia imekiri kutokea...
  10. Wanamgambo 67 wa Al-Shabaab wauawa Somalia

    Imeelezwa Wanamkambo 67 wa Al-Shabaab wameuawa katika mapigano katika Mji wa Galgaduud Nchini Somalia dhidi ya Wanajeshi wa Somalia. Waziri wa Habari wa Jimbo la Galgaduud, Ahmed Shire amesema katika mapigano hayo Wanajeshi walimkamata mshambuliaji wa kujitoa mhanga ambaye alikuwa akipanga...
  11. Watu 50 wauawa katika shambulizi Burkina Faso

    Watu 50 wameuawa katika shambulizi la vikundi vya waasi katika Jimbo la Seno Kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo washambuliaji hao wamehusishwa kuwa na uhusiano na vikundi vya Al-Qaeda na ISIL (ISIS). Msemaji wa Serikali ya Burkina Faso, Lionel Bilgo amesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka...
  12. Majenerali wawili wa Urusi wauawa ndani ya siku moja

    Sijui Putin atatoka vipi kwenye hili shimo alilotumbukiza jeshi lake, maana majanga na aibu kila siku wanafyekwa hadi wakuu jeshini.... A second Russian general is reportedly dead after heavy fighting in Ukraine’s eastern Donbas region over the weekend. Lt. Gen. Roman Berdnikov, formerly the...
  13. Marekani: Wanne wauawa katika shambulio la risasi

    Watu wanne wameuawa baada ya Mtu mmoja kufyatua risasi Hospitalini huko Tulsa, Oklahoma. Polisi imesema Mtuhumiwa naye amefariki dunia kutokana na majeraha ya risasi ambayo inaaminika alijipiga Matukio na kushambuliwa kwa risasi yamekuwa yakiongezeka katika miezi ya hivi karibuni Nchini humo...
  14. Nigeria: Watu 50 wauawa kwa mashambulizi ya risasi

    Inadaiwa kuwa 50 wameuawa kwa mashambulizi yaliyotokea Mei 22, 2022 katika Mji wa Rann kwenye Jimbo la Borno Nchini Nigeria katika eneo la karibu na mpaka wa Cameroon. Tangu mwaka 2009 Jimbo la Borno limekuwa likikabiliwa na mashambulizi ya vikundi ikiwemo Boko Haram. Mamilioni ya watu wamehama...
  15. Wanawake watano wauawa, wanyofolewa sehemu za siri

    Wanawake watano Wilayani hapa wameuawa kikatili na watu wasiojulikana huku watatu kati yao wakikutwa sehemu zao za siri zimenyofolewa. Mauaji hayo yamefanyika katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita, hatua ambayo imesababisha wananchi kuingiwa na hofu juu ya usalama wao. Akizungumza na...
  16. Somalia: Watu 6 wauawa kwa mlipuko katika mgahawa Mogadishu

    Watu sita wameuawa katika mlipuko uliotokea katika mgahawa Jijini Mogadishu ambao ulikuwa ukitumiwa na askari Polisi na Wabunge, Ijumaa Aprili 22, 2022 “Watu wengine saba wamejeruhiwa kutokana na mlipuo huo,” amesema Abdikadir Abdirahman, Mkuu wa Gari la Wagonjwa. Aidha, mteja aliyekuwa eneo...
  17. Afghanstan: Watu sita wauawa baada ya shule ya Abdul Rahim Shahid kukumbwa na milipuko miwili

    Takriban watu sita wakiwemo wanafunzi wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa baada ya milipuko miwili kulenga shule ya wavulana katika kitongoji cha Dasht-e-Barchi katika mji mkuu wa Afghanistan, msemaji wa polisi wa Kabul amesema. Khalid Zadran aliliambia shirika la habari la AFP siku ya Jumanne...
  18. DRC: Watu 30 wauawa katika mashambulizi ya siku mbili

    Zaidi ya watu 30 wameuawa katika shambulio linalodaiwa kufanywa na Vikundi vya Jihadi, Aprili 11 na 12, 2022, Kaskazini Mashariki mwa DR Congo, Shirika la Msalama Mwekundu limetoa taarifa hiyo. Waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) ni moja ya makundi yenye silaha, waliwashambulia watu katika...
  19. UN: Raia 1,471 wameuawa kutokana na mgogoro wa Urusi na Ukraine

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Haki za Binadamu (UN-OHCHR) limeripoti raia 1,417 kuuawa tangu kuanza kwa vita vya Urusi na Ukraine, Raia wengine 2,038 wamejeruhiwa 121 kati ya waliouwa ni Watoto. UN-OHCHR imesema idadi ya vifo inaweza kuwa kubwa kuliko iliyoripotiwa. === As of...
  20. Waandishi wa habari 12 wauawa kwenye vita nchini Ukraine

    Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na mwanasheria mkuu Iryna Venediktova. Ameandika kupitia ukurasa wa Facebook kwamba pamoja nao waandishi wengine 10 wamejeruhiwa wakati wa mapigano hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…