watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Busega ajira ya kuanzia January 2025 hadi April 2026 hatujalipwa pesa za kujikimu

    HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA KUNA UTAPELI MWINGI KWA VIONGOZI TUNAOMBA WACHUNGUZWE. Mimi ni mwajiriwa kada ya afya ni nurse by professional, niliajiriwa mwaka Jana lakini cha kushangaza Toka turipoti kazini ni mwaka sasa na miezi umepita hatujalipwa pesa za kujikimu. Tumekuwa tukifatilia...
  2. JamiiForums Tanzania Responded HOJA Utumishi PEPMIS ni bomu linaloenda kutengeneza chuki baina ya Serikali na Watumishi

    Tangu awamu ya sita ingie madarakani changamoto za Watumishi wa Umma zimekuwa zikitatuliwa kwa wakati na malalamiko yalikuwa madogo sana ila kwa sasa huu Mfumo wa PEPMIS umekuwa kama mtego wa kuwagawanya Watumishi wa Umma. 1. Utendaji kazi wake upo kwa ngazi ya mtumishi, kwenda kwa msimamizi...
  3. JamiiForums Tanzania IGUWASA yatoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau aliyehoji utendaji wa Mamlaka hiyo

    TAREHE: 9 JUNI 2026 TAARIFA KWA UMMA: KANUSHO LA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI ZINAZOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Igunga (IGUWASA) imebaini kuwepo kwa taarifa mbalimbali zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii zenye lengo la kupotosha umma kuhusu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Wilaya ya Kasulu tuna Changamoto ya Pesa ya Kujikimu

    Mimi ni moja ya watumishi wapya (Kada ya Elimu) Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu. Tangu January 2026 hatujapewa pesa ya kujikimu mpaka muda huu. Hata ajira za mwaka jana (2025), February hawajamaliziwa pesa zao, wamepewa kwa mafungu mafungu na bado wanadai. Soma Pia: Ajira mpya Halmashauri ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Karatu, Arusha: HR katika hospitali ya Foundation for Africa Medicine and Education anatakiwa kuchunguzwa kwa tuhuma hizi

    Tunaiomba Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora pamoja na mamlaka nyingine husika kufanya uchunguzi wa haraka na wa kina kuhusu malalamiko na tuhuma mbalimbali zinazodaiwa kumkabili Bw. Emmanuel Tarimo, anayehudumu kama Meneja wa Rasilimali Watu katika Hospitali ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya, Nkaiti Health Center ya Babati - Manyara tunafanya kazi katika mazingira magumu

    Sisi ni Watumishi wa Afya katika Nkaiti Health Center iliyopo Minjingu, Halmashauri ya Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara eneo la ndani karibu na Hifadhi ya Tarangire, tunaomba sana msaada wa kupaza sauti juu ya changamoto kubwa tunazokutana nazo, kwani mazingira ya kazi na maisha kwa ujumla ni...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu tulioajiriwa Julai 2022 hatujapanda madaraja kutokana na kuhusishwa na mwaka wa fedha 2023. Inaumiza na kuondoa morali

    Watumishi wa kada ya Ualimu tulioajiriwa tarehe 01/07/2022 tunaomba mamlaka husika zituangalie kuhusu suala la kupandishwa madaraja. Hadi sasa hatujapandishwa daraja kutokana na sababu ya kuhusishwa na mwaka wa fedha wa 2023, jambo ambalo limefanya tuendelee kubaki katika daraja lilelile kwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumetimiza vigezo vya kuhama lakini DED anagoma kutupa kibali Watumishi Halmashauri ya Korogwe Vijijini

    Watumishi Halmashauri ya Wilaya Korogwe Vijijini tunagomewa kupewa vibali vya Uhamisho na Mkurugenzi ilihali tumefika vigezo vya zaidi ya miaka mitatu kazini, wengine tuna hadi vyeti vya ndoa. Wanaoweza kuongea nao vzuri wanapewa datasheet ila wengine hawapatiwi taarifa za datasheet ila wahame...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi hatujalipwa stahiki zetu. Tumechoshwa na ahadi zisizotekelezeka

    YAH: MALALAMIKO YA KUTOLIPWA STAHIKI NA MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI – TEMESA KANDA YA ZIWA Sisi watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi, tunawasilisha malalamiko yetu rasmi kuhusu changamoto kubwa tunazokumbana nazo kazini. Kwa kipindi cha miezi saba (7) sasa, hatujalipwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashari ya Wilaya Kishapu haiwatendei haki watumishi wake katika malipo

    Mimi ni mtumishi wa umma kutoka Halmashari ya Wilaya Kishapu iliyopo mkoa wa Shinyanga, halmashauri yetu imekuwa haiwatendei haki watumishi wake kama ifuatavyo: 1. Malipo ya fedha za likizo. Watumishi hulipwa kwa kuchelewa mno na mara nyingi hulipwa kiasi kidogo ukilinganisha na kiasi...
  11. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Baadhi ya Maafisa Rasilimali Watu (HR) hawatumii busara, wanawachongea Watumishi wenzao

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amekemea tabia ya baadhi ya maafisa rasilimali watu (Human Resources) kuwachongea watumishi wa umma wanapohamia taasisi nyingine kwa kutoa taarifa hasi zisizo za kitaaluma. Akizungumza Juni 1...
  12. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Kuna matumizi mabaya ya madaraka katika Ofisi za Umma, Watumishi wanalalamika

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, Utumishi wa Umma bado unakabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo kutokuzingatiwa kikamilifu kwa sheria, kanuni, taratibu, miiko na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Nini kinazuia huduma za Vyama vya Wafanyakazi kuunganishwa kwenye mfumo wa ESS?

    Kwa sasa, karibu kila huduma muhimu kwa watumishi imehamishiwa kwenye mfumo wa e-UTUMISHI (ESS). Kupitia mfumo huo, mtumishi anaweza kuomba likizo, mikopo, uhamisho, kuongeza wategemezi, kupata salary slip, na huduma nyingine nyingi bila usumbufu wa kufuatilia makaratasi kutoka ofisi moja hadi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Katika jambo ambalo Mama Samia kafanya na litaacha kumbu kumbu ni kuwapandisha watumishi madara

    Serikali ya awamu ya sita imefanya mambo mengi yapo mabaya na mzuri. Kwa upande wa watumishi Mh rais amejitahidi sana, kuanzia mseleleko mpaka kupanda kawaida , Kwahili Kwa kweli anastahili pongezi. Ushauri wangu kwako achana na washauri maslahi. Ambao always hutoa ushauri unaolinda maslahi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania TPSC na TISEZA Waungana Kuimarisha Ufanisi wa Watumishi Wapya

    Mafunzo Elekezi kwa Watumishi Wapya wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) yameanza leo, Mei 28, 2026, ikiwa ni hatua muhimu ya kuandaa wataalamu wa mamlaka hiyo kwa kuzingatia misingi ya utumishi wa umma na miongozo ya serikali. Watumishi wapya 29 wanashiriki...
  16. JamiiForums Tanzania Juma Mkomi: Uhamisho ni hadi ipite miaka minne, pia wapo Watumishi hawataki kuhamishwa kukaa na wenza wao

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi amezungumza hayo Mei, 26, 2026 kuelekea, kikao kazi cha kitaifa kitakachofanyika jijini Dodoma Juni 1 hadi 3, 2026. Kikaso hicho kitawakutanisha Wakurugenzi na Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Uhamisho wa Watumishi wa serekali kupitia mfumo wa e-uhamisho wa ESS

    Ki ukwel watumishi wengi tunapata changamoto kubwa sana hasa wakati wa kutaka kuhama kupitia mfumo wa e-uhamisho kwani unakuta mtu una vigezo vyote vya kuama taasisi moja kwenda nyingine lakini ukiomba kwenye mfumo unakataa na kuandika "your designation has staff deficit in your organisation"...
  18. JamiiForums Tanzania Watumishi mnaopanda madaraja poleni Kwa kuonewa na mfumo ESS

    Wale ambao hamjapanda madaraja poleni mfumo wa ESS umetumika kuwaumiza hela za kuwapandisha hakuna kwahiyo k8gezo Cha ess kimetumika kama fimbo Kwa wale ambao hamjafikisha asilimia. Source mnyetishaji
  19. JamiiForums Tanzania NIC Lipeni mafao ya watumishi wastaafu Kwa wakati

    Kisheria,sera na taratibu Iko wazi pale mtumishi anapostaafu anapaswa kupewa stahiki zake zote kama vile michango ya bima ya ustaafu (pensave scheme) kwaajili ya kusaidia maisha baadae ya kustaafu kazi. Sasa hawa NIC wamekuwa ni kikwazo sana katika hilo,unakuta mtumishi kastaafu zake na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa afya wa Wilaya ya Siha tuliajiriwa 2024, hadi sasa hatijathibitishwa kazini

    Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka sasa hatujapatiwa barua za kuthibitishwa wala barua za kuongezewa muda wa probation period. Kutokana na hali hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…