Habari za muda wakuu , poleni na majukumu,
Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia ofisi ya Rais- Utumishi ilianzisha mfumo wa ESS ambao umerahisisha shughuli nyingi za kiutumishi, moja ya suala lililorahisishwa ni ushughulikiwaji wa uhamisho wa Watumishi kwa njia ya mtandao. Cha ajabu ni kwamba Watumishi walioidhinishiwa hamisho zao na...
Anonymous
Thread
ess
haki
lengo
mfumo
mfumo ess
mfumo wa ess
uhamisho utumishi
utumishi
watumishi
Hali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi.
Tuanze na maswali ambayo ye mtazamo wa kuchokoza fikra:
"Je, Mafao ya...
Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, habari ya leo?
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Ningependa kujuzwa, hivi raia anapoidai serikali (halmashauri) inachukua muda gani kulipwa stahiki zake?
Ninawadai Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni pesa kwa mradi wao wa Tarura uliopita kiwanjani...
Leo Juni 12 mwaka 2025 nilikwenda Morogoro kwa shughuli zangu za kibiashara kuanzia Msamvu mapa Masika na Mjini yote nyumba za kulala wageni (Gest house) zimejaa
Nikiwauliza wenye nyumba hizo za kulala wageni kulikoni sio kawaida hii hali wakaniambia Watumishi wengi wengi wa Umma wako mji huu...
Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe?
Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali...
Nabii Mtalemwa amesema madhara ya kunyamazisha watu wasihoji ni makubwa mno. Amesema "hali inakuwa mbaya zaidi pale wanapowaambia watumishi wa Mungu wasiongee kwa sababu hawataki kusikia mambo ya haki."
Apostle amekumbushia hata zamani wafalme waliwabana manabii na kufanya kuwa wasipoongea ndio...
Wakati CCM ikijinadi kuwa na wanachama milioni 13 nchi nzima, hali kwa ground sio poa. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Karatu ameandika barua na kuwataka watumishi wote wa umma na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya mwenezi wa CCM, mzee wa MPOX ndugu Amos Makala itakayoanza leo...
Napenda kutoa taarifa kwa viongozi wanaoweza kuokoa hali ya sintofahamu kuhusu watumishi wa vituo vya mizani kitolipwa malipo yao kwa takribani miezi 6.
Kutokana na hili vitendo vya Rushwa vimekithiri juu ya ukata uliopo baina ya wafanyakazi na wasafirishaji.
Natoa wito kwa viongozi...
Leo tunaona msajili wa vyama kukumbatia CCm.
Leo tunaona polisi kama sio mwana CCm basi maisha yako ni kenge.
Leo tunaona magari ya polisi kubeba wananchi washiriki mkutano wa CCM.
Leo tunaona watumishi wanaendeshwa na CCM wala sio serikali.
Hivi tutafika kwa maisha haya.
Hivi karibuni kuna fichua fichua ya ufisadi imeonekana cha ajabu, nikamsikia samia badala ya kulaani ufisadi huo na uovu huo anaanza kulaumu mtumishi wa umma aliye fichua ufisadi huo heti "jitu sio mzalendo" hii ni ya wapi ?
inasikitisha sana hapana tunataka mabadiliko ya raisi, tunataka...
Inasikitisha raisi wa nchi anatetea wizi wa mali za umma. Hahaa hapa tuna kazi kwa kweli. Watumishi wa umma tuna waomba mzidishe kutoa ya sirini ili tuzidi kupata mwanga na mwangaza sisi watanganyika wa chini.
Nimesononeka na kuumia sana.
Kumbe Limama linabariki unyang'anyi bila aibu wala...
Habarini za wakati huu!
Kumekuwa na utitiri wa taasisi nyingi za ukopeshaji zikiwalenga watumishi wa umma, wakitumia njia mbalimbali kuwarubuni watumishi kukopa ktk taasisi zao huku wakijinadi kuwa mikopo yao ni ya riba nafuu halafu unapata ndani ya masaa 24.
Ingawa sijajua wanatoa wapi...
Mbunge
Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba.
1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku
2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi
3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa
4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee
5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao
6...
Mbunge
Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba.
1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku
2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi
3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa
4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee
5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao
6...
Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu
Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa...
Mimi siku zote nakuwa honestly, mkweli. Si mbinafsi, sifurahishwi na ubadhilifu na uzembe kazini.
Ingawa mazingira yanaweza kummeza mtu.
Naamini watumishi wa umma wengi tu ni watu wenye MIOYO safi, wenye MIKONO safi lakini mazingira yao ya kazi yanawameza. Na baadaye kugeuka kuwa watu wa hovyo...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema Chama hicho kitaendelea kuwa Bora nyakati zote kwa Sababu ya Muundo wake mzuri katika ngazi zote, na Kikiweza kuhimili Vishindo vya Chaguzi za Ndani na Nje ya Chama hicho Tawala, huku akivishauri...