watumishi wa mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kimbesa11

    Watumishi wa Mungu mnaoendekeza siasa madhabahuni mnajishushia heshima mnapuuzwa

    Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣 Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa Mungu zinamashiko hii ni aibu nikushusha chini utume wa Mungu, lakini yote hayo ni kwasababu ya...
  2. Kimbesa11

    Watumishi wa Mungu acheni kuonyesha misimamo yenu ya kisiasa kwenye nyumba za ibada tunasali/kuswali watu wa vyama vyote

    Bila shaka humu Kuna watumishi wa Mungu. Mtumishi wa Mungu ukiwa kanisani ongea kile ulichofunuliwa na Mungu acha kujitengenezea agenda zako za kisiasa unatukera sana, kwasababu huna uwezo wa kunibadilisha Mimi chama changu hata ufanyaje. Nawatakieni sikuku njema wakuu. Tuwe na kiasi Kuna...
  3. S

    Kinachofanywa na maaskofu na watumishi wa Mungu sio siasa

    Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu. Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you Pia soma >> Udini Dhidi ya Maaskofu ni Hoja Potoshi za Mafisadi wa CCM Kukwepa kuambiwa ukweli
  4. Kimbesa11

    Watumishi wa Mungu msiendekeze siasa mtaendelea kuumbuka pale unabii wenu wa kichawi na kilozi unapokwama nyie wapuliza mitungi ya gesi

    Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid! Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka kuwa Kama mchawi Sasa. Jueni kuwa wewe mtumishi wa Mungu huna uwezo wa kunibadilisha mm chama...
  5. L

    Kama mnamuamini Mitume na nabii Bulldozer,mbona baadhi yenu hamuwaamini Hawa,kwani wao sio watumishi wa Mungu?

    Kila mtu anaamini katika Imani yake. Hivyo Kila mtu aiombee Simba katika Imani yake. Haya ni maono ya mtumishi ww Mungu. https://www.facebook.com/share/r/1E2SjxMTA3/ https://vm.tiktok.com/ZMS8mPPVf/
  6. Komeo Lachuma

    Yesu alimwita Herode Mbweha. Watumishi wa Mungu huwa hawaogopi kuwakemea Mbweha, Fisi na Nyoka

    Luka 13:32 Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilisha kazi yangu. Hakuna aliye juu ya sheria za Mungu na Kiongozi yeyote atakayetaka kupingana na haki ya Mungu huyo atalaaniwa na hakuna kuheshimiwa. Ni mbweha tu...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Padri Muchunguzi: Tunaachaje kuzungumzia siasa wakati waumini wetu ni wanasiasa? Tutawafundishaje?

    Wakuu, Tusubirie kusikia na huyu ameshambuliwa kwa sababu ya kusema ukweli? Tusubiri kusikia na huyu amepigwa vibaya na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana sababu amesema ukweli? Wataumiza na kuua wangapi mpaka wajue hawawezi kunyamazisha watu kusema kweli isipokuwa tu kwa kubadilisha mienendo...
  8. N

    Hongereni watumishi wa Mungu ujumbe umefika

    Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo maaskofu wametoa UJUMBE wao kama viongozi wa dini,Hatuna budi walengwa kwuyafanyia kaz, wametimiza wajibu wao Kwa mungu na Kwa wananchi, na baadhi ya viongozi wa dini hasa manabii tunaomba watoe UJUMBE wa serekali wasikae kimya au wao wanaona mambo yote yapo...
  9. Ojuolegbha

    Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote

    Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote
  10. R

    Manabii, Mitume, so called watumishi wa Mungu wa kufaya MIUJIZA/UPAKO wameshindwa kufanya miujiza mvua zikanyesha!

    Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao. Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc. Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha? Tunao zaidi ya 400
  11. Setfree

    Madhara ya Kuwadharau Watumishi wa Mungu

    Kuwadharau Watumishi wa Mungu ni kosa linaloweza kuleta madhara makubwa kwa mtu binafsi na jamii. Biblia inatufundisha kwamba Watumishi wa Mungu wameteuliwa kutangaza Habari Njema na kuwaongoza watu katika njia ya haki. Kuwadharau ni sawa na kupinga kazi ya Mungu, jambo linaloweza kuleta laana...
  12. J

    Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu

    Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu Utumishi wa Mungu ni Nini Utumishi ni hali ya kutii na kuitumikia mamlaka au mtu mwenye mamlaka fulani na ambaye unamwamini na kumtegemea. Katika muktadha huu tunakuta kuna watumishi wa aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utumishi...
  13. Brojust

    Usipothibitisha kwa mifano hai kuhusu tuhuma za utapeli kwa watumishi wa Mungu, Basi Mungu ataendelea kuwainua watumishi hao kila siku

    Hekima ya Mungu ikuongoze kwenye comment! Wewe kijana, mkaka, mdada, mzee, umri wa makamo na kadharika. Unapoandika au kuchangia mada yoyote juu ya unaoitwa utapeli ambao wewe unahisi watu wanafanyiwa na watumishi wa Mungu basi jaribu kuwa na kiasi. Kama hujafanya utafiti wako binafsi na...
  14. Mayala B

    Kwanini wachungaji watumishi wa MUNGU wametengwa suala la uokozi kariakoo

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Serikali ikiwa inasaini miakataba yake hasa hasa ya kifasidi ambayo wananchi hawajalizika nayo huwa wana watumia sana wachungaji Lakini leo kwenye hili suala la maafa kariako naona serikali imewatenga wachungaji watumishi wa MUNGU Watumishi wa MUNGU...
  15. Nehemia Kilave

    Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu

    Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu. Ni sawa kabisa na yule kiongozi pendwa mara kwa mara tunapomuona misikitini na makanisani alijikabidhi kwa Mwenyezi Mungu. Inapendeza sana, hata CHADEMA huwa tunaanza na Mungu. Siku njema. Soma: Donald Trump ashinda Urais wa...
  16. B

    Ni Muda huu nasikiliza Mchungaji anakeme Bawasili, na kumwagiza muumini aende uani akajitazame amepona

    Ni kweli ukiwa na matatizo unakuwa na hali ya kitanga tanga sana ili upate msaada. Bawasili ni uvimbe unaotokea ktk njia za haja kubwa kutokana na kuvimba kwa mirija ya damu inaopeleka damu sehemu hizo. Mishipa hii ni matawi ya mirija mikubwa kutoka tumboni. Mishipa hiyo ni Superior Mesentary...
Back
Top Bottom