watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya kuijadili sana interview ya Maxence Melo kuhusu sababu ya kufungia JF, The Chanzo walazimishwa kufuta Hiyo interview Mara moja

    Nchi hii ni ya maajabu sana , Nimekuwapo wakati wa Tawala zote ila sasa hii imekuwa ya maajabu mno! Katika interview ile aligusia: 1. Kuhusu mtu mzito kumpigia simu kuhusu kwamba atapotezwa na watanzania watapiga kelele miezi kadhaa na kusahau 2. Akagusia kwanini JF imefungiwa Sasa baada ya...
  2. GE2025 Hilda Newton: Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chadema Wilaya ya Busega ametekwa na watu wasiojulikana

    Kutoka kwenye account ya Hilda Newton kule X ameandika taarifa hii ================== Mjumbe wa Kamati Tendajji ya Chadema Wilaya ya Busega Mhe. Lobezi Kuliko Masanya ametekwa na watu wasiojulikana jioni ya leo tarehe 01/10/2025 akiwa kazini kwake NYAMIKOMA Wilaya ya Busega.Walioshuhudia tukio...
  3. Polisi wetu: Walinzi wa amani au watu wasiojulikana?

    Katika kila taifa linalojitambua, Jeshi la Polisi ndilo nguzo kuu la amani, usalama na mshikamano wa kijamii. Polisi hupewa jukumu la kulinda raia na mali zao, kuhakikisha sheria zinafuatwa, na kuwa ngao dhidi ya vitisho vya ndani na nje. Hata hivyo, maneno yanapotoka kinywani mwa viongozi wa...
  4. Polisi watoa taarifa waliomua Shyrose Mabula

    Mnamo Septemba 14, 2025 liliripotiwa tukio la kutekwa nyara kwa Shyrose Michael Mabula [21] aliyekuwa mwanachuo mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Mzumbe ndaki ya Mbeya Kitivo cha Sheria na watu wasiofahamika, ambapo Septemba 16, 2025 saa 5:00 usiku huko Mtaa wa Morovian uliopo Kata ya...
  5. GE2025 Askofu Bagonza: Wagombea wanazungumza vitu vya kawaida, sijasikia wakikemea rushwa, utekaji, haki "sera za Shopping list"

    Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema sera za wagombea katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 bado zimejaa ahadi za kawaida kama ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa Ndege, akiongeza kuwa "Sijasikia mtu akikemea rushwa, haki ya kukutana au hatma ya...
  6. Kiduku Ofisa Ngiri mtumiaji wa mtandao X zamani twitter achukuliwa na watu wasiojulikana

    Free Kiduku aka Ofsa Ngiri. Kiduku ni kijana mjasiriamali ambaye pia huwa anatoa maoni kuhusu utawala mbovu wa nchi yetu. Polisi DSM mnapaswa kumuachia Kiduku bila masharti. Serikali ya ccm haitazuia maoni tofauti kwa kukamata wakosoaji.
  7. Polepole: Polisi mtafuteni Sativa, ni mhanga wa utekaji, chukueni maelezo bila kumtisha

  8. Watu Wasiojulikana mnasubiri nini kumtafuta na kumkamata Vladimir Lopez mpate USD 15M kutoka Marekani?

    Happy Wednesday Guys, Niende kwenye Mada Kwa ufupi (remember this article is full of figures of speech for a purpose) Nimewaza kwa kina sana tena sana kuhusu hiki kikundi cha Utekaji na Kuua - Tanzania, ni kama Taasisi kwa Sasa hapa Nchini. Hawa jamaa wamekuwa wakiteka watu wasio hodari...
  9. Mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda Ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa Na Watu Wasiojulikana

    Ndugu Temba Gaspar Erasmus mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa na Watu wasiojulikana akiwa anatoka kwenye moja ya Benki jijini Arusha. Taarifa zaidi kukujia
  10. Mtoto atekwa na watu waliokuwa kwenye bodoboda maeneo ya Goba, Dar asubuhi akielekea shule

    UPDATES: Mtoto alipatikana jana Julai 26 akiwa anasafirishwa kwenda Tanga. Mtoto huyu ametekwa nyara leo asubuhi maeneo ya Goba kwa Awadh. Anaitwa Patrick Pascal Luzwilo, mwanafunzi wa shule ya Vein Academy iliyopo Goba. Leo asubuhi alikuwa getini na dada wa kazi akisubiri gari la shule...
  11. Mwabukusi: Watu wanatekwa mpaka tumezoea kutekwa tuko tunashangaa tu utafikiri Nyumbu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema "Watu wanatekwa mpaka tumezoea kutekwa, Watu wanatekwa tuko tunashangaa tu utafikiri Nyumbu wanavyokamatwa kwenye msafara wao"
  12. GE2025 Mpina: Haiwezekani vifo hivi vinatokea, halafu waziri, IGP, makamishina wapo ofisini

    Akizungumzia malalamiko ya watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana, leo Agosti 14 jijini Dares Salaam, mgombea urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema hakuna kitu cha thamani kama maisha ya watu. “Haiwezekani watu waendelee kutekwa na kuuawa. Haiwezekani uhai na thamani ya maisha ya...
  13. W

    GE2025 Gari la Mgombea Udiwani Kata ya Igwachanya lachomwa moto na watu wasiojulikana

    Gari la mtia nia udiwani nafasi ya Udiwani Kata ya Igwachanya Wilaya ya Wanging'ombe Anthony Mawata - CCM imechomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.
  14. Shinyanga: Askari Magereza auwawa na watu wasiojulikana

    Watu wasiojulikana wamemuua Mkazi wa Mtaa wa Lwelyangula kata ya Kitangiri mkoani Shinyanga Malini Kilucha (37) ambaye ni Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza kwa kumfunga mdomo na pua kwa kutumia nguo alizokuwa amezivaa karibu na nyumba aliyokuwa akiishi. Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga...
  15. Mchungaji Dkt. Kimondo: Tatizo mtu akiongelea tu utekaji anaanza kusumbuliwa na Vyombo vya dola vipo, kuna nini nyuma yake?

    Mchungaji Msataafu wa kanisa la KKKT Mchungaji Dkt. Steven Kimondo, amehoji ukimya wa vyombo vya usalama kuhusu matukio ya watu kutekwa, akisema kama kweli wametekwa, kungekuwa na juhudi za wazi za kuwatafuta, lakini yeye hajaona juhudi hizo. "Katiba ya Nchi inaheshimu uhai wa Mtu, sasa kama...
  16. GE2025 Askofu Bagonza: Kuna watu wanaua wenzao kwa kisingizio cha kulinda taifa, ndugu hao watakufa na taifa litabaki halafu litawasahau

    Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza anasema "wapo wanaowaua wenzao kwa kisingizio cha kulitetea taifa, ndugu hao watakufa na taifa litabaki alafu litawasahau" :
  17. Mwenyekiti wa BAZECHA Babati Vijijini, Francis Luumi, aripotiwa kutoweka akiwa Safarini kutoka Dar kwenda Morogoro

    Kuhusu kutoweka Francis Luumi ambae ni Mwenyekiti wa Bazecha Jimbo la Babati Vijijini na aliyekuwa Diwani wa kata ya Endakiso, Babati Vijijini. Tarehe 16/07/2025 baada ya kesi ya Mhe. Lissu kuhairishwa aliaga watu aliokuwa nao Mahakamani kwamba anaelekea Shekilango wa ajili ya kupanda Bus la...
  18. GE2025 Polepole: Watu wameruka Nyumbani kwa Dada yangu Bahari Beach, wadai wamefuata taarifa

    Wakuu! Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa." "Ninakwenda kujiridhisha. Sina tatizo kabisa, nilishamwambia Mungu wa mbinguni na anajua nina yeye tu." Andiko lake limekuja masaa...
  19. GE2025 Mchinjita: Raia kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali iseme ni Wasiojulikana, hiyo ni Serikali au Takataka?

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amesema, "Unapofika mahala una Serikali ambayo raia wake wanaweza kwenda kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali inasema walioua ni watu wasiojulikana — hiyo ni Serikali au takataka?" "Haijawahi kutokea duniani kote...
  20. TANZIA Geita: Mwalimu wa Magufuli High School auawa kinyama na wasiojulikana

    Watu wasiojulikana wamemteka na kumuua kinyama mwalimu wa shule ya Sekondari ya Magufuli High School iliyopo wilayani Chato mkoani Geita. Mwalimu huyo aliyetambulika kwa jina la Cuthbert au BIG alitekwa siku tatu zilizopita baada ya kuharibikiwa na bajaj yake eneo la Samina mkoani Geita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…