Orodha hii sio rasmi, ni utafiti wangu binafsi. Unapingika, unajadilika na unarekebishika.
10.Mohamad.
Huyu ni muasisi wa dini ya kiislamu. Alikua mwanamapinduzi, askari na mwanasiasa. Kulingana na imani ya waislamu ndie mjumbe wa mwisho wa Mungu. Jina lake ni maarufu sana duniani. Changamoto...