watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Watoto wenye mahitaji maalum na elimu

    Ikisiri Nitumie fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema na kunipa nafasi ya kuandika makala hii kuhusu elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum kwa makundi yao. Katika makala hii nimeeleza changamoto zinazowakumba watoto wenye mahitaji maalum katika sekta ya elimu pamoja na...
  2. JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha likizo ya sensa Wazazi wawalinde watoto wao, mitaa imefurika

    kuna likizo ndefu kwa ajili ya sensa ya watu na makazi nchini, ambapo wanafunzi kuanzia ngazi ya chekechea hadi vyuo wapo mtaani, na kiukweli mitaani pamefurika kuna kila aina ya makundi na watu wa rika tofauti tofauti. Sasa huu ni muda wa wazazi kuchukua kila aina ya tahadhari kwa ajili ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi wafundisheni watoto wenu kutii mamlaka

    Wazazi wenye watoto hususani vijana wa kiume bodada wafundisheni watoto wenu kutii mamlaka za serikali na vyombo vyake. Enyi bodaboda msijifanye mna umoja kiasi cha kuvunja sheria za nchi shauri yenu.
  4. JamiiForums Tanzania Vurugu zaibuka msiba wa watoto matajiri wa Arusha, mwandishi wa Ayo TV anyang'anywa camera

    Katika hali isiyo ya kawaida vurugu zimeibuka katika msiba wa watoto wawili wa matajiri jijini Arusha ambao walikuwa ni wachumba waliofariki ajalini jana ambapo zimepelekea mwandishi wa habari kutoka AyoTV kunyang’anywa camera. Mbali na kunyang’anywa camera mwandishi huyo alinyang’anywa kadi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Muda katika malezi ya watoto na athari zake kwenye maisha ya mtoto na jamii yake

    Yaliyomo: UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO MTOTO NA ELIMU MTOTO NA JAMII TABIA NA MATENDO MTOTO NA MTAZAMO WA MAISHA ATHARI ZA MALEZI DUNI UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO Utoto hauepukiki lakini je watoto wengi wanafurahia utoto wao? Hali ya...
  6. JamiiForums Tanzania Raia wa Nigeria wataka sheria kudhibiti Watoto wa Maafisa wa Serikali kusoma Vyuo Vikuu nje ya Nchi

    Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma nchini humo, ambao kwa sasa wamegoma kutokana na mgogoro wa malipo yao, wamesema Sheria hiyo itajenga jamii bora kwa kuendeleza Taasisi za elimu za juu na kuboresha Ufadhili wa Mfumo wa Elimu ya Juu nchini humo. Wamedai kuwa Serikali imetelekeza Vyuo Vikuu vya...
  7. JamiiForums Tanzania Kama kawaida yetu 'Waswaholi' Ajali ya Mtwara imeua Wengi, ila sasa Wote tuko tu kwa Mzazi aliyepoteza Watoto wake Wawili

    Niendelee kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Familia zilizopoteza Wapendwa wao na kwa wale waliopatwa na Majeraha nawaombeni kwa Mwenyezi Mungu awaponye upesi na huko mnakotibiwa mpate Tiba stahiki. Huu Msiba ni wa Jumla na hata tukiwa tunauongelea basi tuuongelee Kiujumla jumla na siyo kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto wanazopitia watoto majumbani

    Jamii yetu kwa ujumla tunajau/tunafikiri changamoto ziko kwa watoto wa mitaani tu ila jibu ni hapana kwani watoto wa majumbani nao kuna changamoto mbalimbali ambazo zinawapeleka kuishi kwenye mazingira magumu. Mfano wazazi/walezi kushindwa kujua wajibu wao wa kuwapa watoto elimu bora, afya...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto / Watoto kwanza

    Upande wa pili kwenye Simu "Ujue mtoto toka Jana homa imepanda sijampeleka hospitali kwasababu hujatuma hela''. Mshikaji ''inamaana umeashindwa kupata buku la kumpeleka hospitali mpaka uningojee mimi'' wakaanza kurushiana maneno mtu na bwana wake. Ikabidi niingilie Kati nikamwambia jamaa,ndugu...
  10. JamiiForums Tanzania Tafuta bar nzuri yenye watoto wakali ule Raha

    Kuna baadhi ya bar mameneja wanajua kuchagua bana. Na hapa nshakula wawili. Hawajijui. Nimekula watoto wa jikoni Hadi cashier. Kondomu ndio silaha namba Moja. Acheni bana Kuna Watoto wazuri hapa Duniani. Bia Tamu bila mtoto mkali anakuletea bia na unajua mbususu yake. Hapo Raha inazidi...
  11. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukombozi wa vijana kutoka kwenye wimbi la matumizi ya Vileo na Dawa za Kulevya Tanzania

    UKOMBOZI WA WATOTO NA VIJANA KUTOKA KWENYE WIMBI LA MATUMIZI YA VILEO NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI TANZANIA. Nchi yetu ya Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo vijana wake wengi kila kukicha wanajiingiza kwenye wimbi kubwa la matumizi ya vilevi kama vile pombe, ugoro, bangi na madawa mengine ya...
  12. JamiiForums Tanzania Tabia ya Wazazi/Walezi kuwarekodi Watoto video zinazotwezwa Utu wao na kusambaza Mitandaoni

    Ulinzi na usalama wa mtoto mtandaoni haumaanishi kudhibiti mambo mtoto anayoyaona mtandaoni au watu anaoongea nao pekee, lakini ni pamoja na vitendo vyote vinavyomuhusu mtoto vinavyofanyika mtandaoni kumdhalilisha au kuutweza utu wake. Kushea, kupakia na kudaunlodi picha au video zenye maudhui...
  13. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu kwa Watoto wenye Usonji na kujua namna ya kuwasaidia

    UTANGULIZI. Asilimia kubwa ya jamii inayotuzunguka imekuwa na uelewa mdogo juu ya watoto wenye usonji hivyo kupelekea watoto kunyanyasika na kutojua haki zao na pia kutopewa kipaumbele katika nyanja mbalimbali Kama upande wa afya na elimu pia. MAANA YA USONJI/AUTISM. Ni Changamoto inayompata...
  14. JamiiForums Tanzania Shukrani ya Wapigania Uhuru ni kuacha watoto wasiojua baba zao Maeneo ya karibu yaliyokuwa makambi yao

    Salaam, Kwa kweli sijapenda hawa wapigania uhuru kutoka Namibia, Msumbiji, Zimbabwe kutuachia watoto wasiojua baba zao, leo siku ya mashujaa kuna kambi kule Mtwara ni huruma. Mama mmoja anajieleza walivyokuwa wanatongozwa na kuvalishwa magwanda ili waingie makambini. NB: Tunaomba zoezi la...
  15. JamiiForums Tanzania Mamia ya Watoto Haiti wahifadhiwa shuleni kukwepa machafuko ya wahalifu

    Mamia ya Watoto Nchini Haiti wamehifadhiwa katika shule mbalimbali Jijini Port-au-Prince baada ya kutokea kwa machafuko ya mapigano ya wahalifu ndani ya mwezi huu Julai 2022. Wengi wa watoto wanalala kwenye madarasa na asilimia kubwa ya Watoto hao wametengana na wazazi wao. Vurugu hizo...
  16. JamiiForums Tanzania Tabia ya wazazi kutelekeza watoto kwa babu, bibi yashika kasi Mkoani Njombe

    Tabia ya Watoto kutelekezwa kwa babu na bibi bila kujaliwa na wazazi wao imeonekana kushamiri Mkoani Njombe. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Willfred Willa anasema watoto wengi wanaopata madhara ni wale ambao wanalelewa na bibi na babu zao huku wazazi wengi wakiwa na migogoro, majukumu...
  17. JamiiForums Tanzania Siku walimu watakapogundua kuwa wanafunzi ni wateja wao ufaulu utaongezeka na watoto makini watazalishwa. Taifa litasonga

    Habari! Kuna kitu hakiko sawa kwa watumishi wa umma karibu kada zote. Wanahudumia watu ili liende tu wakijua mshahara na posho viko palepale. Leo ngoja niwazungumzie walimu. Mwanafunzi ni mteja wa mwalimu hivyo inapaswa amhudumie kama vile costomer care wa mitandao ya simu wanavyohudumia...
  18. JamiiForums Tanzania Watoto watelekezwa na wazazi wao Morogoro. Mahusiano ya wazazi yanavyoweza kuathiri watoto

    Watoto watelekezwa na wazazi wao Morogoro, DC atoa maagizo Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Ngollo Malenya, ameagiza kukamatwa kwa wazazi wawili, Thomas Ulanda na Adelyda Nakashawa kwa kuwatelekeza watoto watatu huku mmoja anayesoma kidato cha nne akiwa ndiye anayewahudumia wenzake...
  19. JamiiForums Tanzania Morogoro: DC Ngollo Malenya anawasaka Wazazi Waliotelekeza watoto 3 Ulanga

    Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Ngollo Malenya ameagiza kukamatwa kwa Wazazi wawili Thomas Ulanda na Adelyda Nakashawa na kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria baada ya kuwatelekeza Watoto wao watatu Emerinda Thomas Ulanda (17) Christina Ulanda (13) na Slyvia Ulanda (9) wanaoishi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Watoto wa China watembelea makumbusho katika mapumziko ya majira ya joto

    Julai 20, wanafunzi na wazazi wao walikuwa wanatazama maonyesho kwenye Jumba la Makumbusho la mji wa Yuncheng mkoani Shanxi, China. Wakati mapumziko ya majira ya joto yanakuja, Jumba la makumbusho la Yuncheng linawakaribisha wanafunzi na wazazi kulitembelea. Katika majira ya joto, majumba ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…